Kwanini wazazi wengi (zaidi wamama) hupenda watoto wao kuoa/kuolewa katika familia za rafiki? Did you marry from a family friend? How do you find it?

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,893
16,317
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.

Ndugu zangu watanzania eti;

Kwanini wazazi wengi (hususan wamama) hupenda watoto wao kuoa/kuolewa katika familia za rafiki?

images (1).jpg


Did you marry from a family friend au uliwahi kushawishiwa kuoa/kuolewa katika familia rafiki? How do you find it?

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO.
 
Wengi huwa wanafanya ivyo maana wanakuta wanamtambua kwa kiasi kikubwa yule mwenza wako kuliko uwaletee mtu wasiyemjua tabia zake! Pia wanataka kudumisha mahusiano yao zaid kama wazazi kwa pande zote mbili

MUHUMU:- Tarehe 28 mwezi huu mkamchague M'beba maono TUNDU LISSU kwa kudumisha mahusiano mazuri na Jirani zetu pia Dunia nzima kwa Diplomasia nzur ambayo tumeikosa kwa miaka 5
 
Back
Top Bottom