Mwanamkee wako asikufanye usahau wazazi wako

yuda75

JF-Expert Member
Aug 16, 2020
520
1,377
Habarini jamani,

Kumekuwa na mambo mengi haswa wanaume kusahau wazazi wetu haswa wakishaowana au wakiwa na uchumba yani watu wanajisahau sana wanashindwa kujua kuwa wazazi ndo baraka kwa maendeleo.

Mzazi alijitoa kwako kwa hali na mali, alijinyima alifungu ili wewe ufike hapo galfa unaobwa elfu kumi au laki tu unatangaza nakulalamika sana pia unalialia sana

Baadaye yakikukuta wa kwanza kumlilia ni wazazi wako so wazazi ndio kila kitu

Mheshimu baba yako na mama yako ili siku zako zipate kuwa nyingi katika...
 
“Mwanamme atawaacha baba yake na mama yake, naye ataambatana na mkewe”.... Asema Bwana.
 
Back
Top Bottom