Hongereni sana kwa wazazi wote mliokwisha lipa ada

ommytk

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
482
1,053
Kwa jf member wote hongereni sana na pongezi kubwa kwa wale wote ambao mmelipa ada na watoto kesho wanarudi mashuleni.ni jambo la kupongezwa sana mmepambana.

Pia pongezi za pekee kwa wamama wale ambao wako single na watoto wamelipa ada uku baba zao wakiwa wanekaa kimya bila kuwasaidia hongereni sanaa.
 
Back
Top Bottom