wawili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Izy_Name

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapambano ya matajiri wawili yakwamisha safari ya Yanga kurejea nyumbani

    Klabu ya Yanga ilikuwa jijini Lubumbashi kwa mechi yao ya mwisho na TP Mazembe na walitarajiwa kurejea nchini Tanzania juzi usiku. Hata hivyo, kulikuwa na vita ya kifamilia kati ya matajiri wawili jijini hapo. Tajiri namba moja wa Yanga, Ghalib Said Mohamed, alikuwa na faili zito la usajili...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenge Kijijini ina majonzi makubwa, wawili wafa ndani ya saa 24

    Hiki ni kisa cha kuhuzunisha, Mwenge Kijijini jijini Dar inalia, misiba ya watu wawili marafiki John Simba na Patrick a.k.a Masu a.k.a Masumbuko marafiki chanda na Pete. Issue iko hivi, washikaji wote wawili walikuwa wakiumwa, John Simba alikuwa mgonjwa zaidi, na Masu alikuwa akiumwa pia ila...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kiteto: Wanawake wawili wakamatwa na Nyara za serikali

    Wanawake wawili wa Kijiji cha Kimana wilayani Kiteto Mkoani Manyara, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Kiteto kwa kukutwa na nyara za Serikali, ambazo ni Swala na mtoto wa mnyama aina ya Digidigi ambaye yuko hai. Wanawake hao ni Veronica Paulo (24) na Witnes Paulo (20) ambapo Machi 20.2023...
  4. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Mamba wawili ‘watoa roho za watu’ wageuzwa kitoweo

    Wananchi wa wamegawana nyama ya mamba baada hao kuvunwa huku ikisadikaka kuwa nimiongoni mwa mamba waliowashambulia wananchi wa Kijiji cha Izindabo na kupoteza maisha. Buchosa: Mamba wawili walioshambulia watu Kijiji cha Izindabo, Kata Lugata Kisiwa cha Kome wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza...
  5. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mali: Wafanyakazi wawili wa Shirika la Msalaba Mwekundu watekwa

    Watoa huduma hao wanaofanya kazi na Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) wametekwa wakati wakiwa barabarani Kaskazini Mashariki mwa Miji ya Gao na Kidal. Mali imekuwa na changamoto ya usalama tangu Mwaka 2012, matukio ya utekaji na kisha watekaji kutaka fedha ni ya kawaida kutokea...
  6. Kanungila Karim

    JamiiForums Tanzania Picha ya Yesu wawili kutoka kwa mchoraji da Vinci

    YESU WAWILI Picha ya ukubwa wa futi 15 kwa futi 29 kwenye ukuta wa kanisa, The Last Supper ya mchoraji Leonardo da Vinci, inayoonyesha mlo wa mwisho kati ya Yesu na wanafunzi wake kabla ya kukamatwa; muda mfupi baada ya Yesu kumtamkia Yuda kuwa atamsaliti, inaweza kuwa ndiyo kazi ya sanaa...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Watu wawili washikiliwa kwa tuhuma za unyang’anyi wa kutumia silaha za moto

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin Kuzaga Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili Fred Nzunda (40) Mkazi wa Nzovwe Mbeya na John Nsemwanya [40] Mkazi wa Mbozi Mkoa wa Songwe kwa tuhuma za unyang’anyi wa kutumia silaha. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP...
  8. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Moshi: Watoto wawili wa familia moja wateketea kwa moto

    Watoto wawili ambao ni wa kike na kiume, wenye umri wa miaka miwili na nusu na mwingine miaka miwili na miezi minne katika Kijiji cha Shinga, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro wameteketea kwa moto baada ya nyumba waliyokuwa wamelala kuungua. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo leo, Februari...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Geita. Mjamzito auawa kikatili kwa kuchinjwa, wauaji nao wauawa

    Geita. Mwanamke mwenye ujauzito wa miezi saba aliyetambuliwa kwa jina la Renata Elias (27), ameuawa kikatili na mtoto wake wa kambo kwa kuchinjwa shingo huku chanzo kikidaiwa kuwa ni mgogoro wa kifamilia na tamaa ya mali. Tukio hilo lililotokea usiku wa Februari 17, 2023 linadaiwa kufanywa na...
  10. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Siku 9 tangu kutokea kwa Tetemeko, Wanawake watatu, watoto wawili wakutwa hai kwenye kifusi

    Wanawake waliokutwa hai ni Melike Imamoglu (42) na Cemile Kekec (74) wamwokolewa katika Mji wa Kahramanmaras wakati timu ya waokoaji ikiwa inasafisha maeneo yaliyoathirika, wengine waliookolewa wanatokea Mji wa Antakya ambapo ni mama na watoto wake wawili. Jumla ya watu waliofariki kwa upande...
  11. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Kama Wachumi Wawili Wazuri Hawawezi Kukubaliana, Kwanini Mwigulu Mchemba Adhani Anachoamini Yeye ni Sahihi?

    Mtunzi mmoja maarufu, George Bernard Shaw, aliwahi kusema: "Ikiwa wachumi wote wangewekwa kona hadi kona, hawangefikia hitimisho (tamati)." (Tafsiri yangu) Kwa hiyo, inakuwaje wachumi wawili wabobezi wenye uzoefu, maarifa, wanasoma na kuchambua takwimu sawa na kila mmoja anakuja na utabiri au...
  12. Hustler_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya udereva kwa watu wawili waliopo Kenya

    Habari wana ndugu, natumaini mpo salama kabisa na Bwana anazidi kuwabariki katika shughuli zenu za maisha ya kila siku. Kuna ndugu yangu ana magari mawili, moja ni Hiace na nyingine ni Tata (coaster) na anatafuta madereva wawili wa kuendesha hayo magari na yanapatikana Nairobi yote Kuna nafasi...
  13. Guru Guja

    JamiiForums Tanzania Paka wawili wamekufa dukani kwangu, jirani naye amefiwa

    Asubui ya leo nimekuta dukani ndani kabisa kuna paka wawili wamekufa na sijui walipoigilia sababu tumetafuta na wanafanakazi wagu hamna kabisa seemu ya paka kuigia. Tumewatoa tukawatupa kwenye mapipa ya takata ila tumepata habari jilani wa duka lagu amefiriwa watu wawil usiku wa kumuamkia leo...
  14. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni nani aliyekuja kutupa formula, ukiwa na mafanikio kidogo, unatakiwa uzae watoto wawili au mmoja?

    Kumekuwa na tatizo la watu kutozaa watoto wengi kama zamani; kisingizio kikiwa ni ugumu wa maisha au kuonyesha kuwa wamestaarabika. Hii imepelekea baadhi ya wazee wengi kuishi pekee yao, pamoja na kuwaongezea misongo ya mawazo; ikiwa ni pamoja na kujutia kwa nini katika ujana wao walizaa watoto...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Baraza la Ulamaa lilimpa masharti Mufti Mkuu, Amuondoe Alhad Mussa, Aondoke yeye au Waondoke wote wawili

    Baada ya kutafutwa Sheikh Alhad na kumweleza tuhuma mbalimbali zilizoelekezwa kwake, ikiwemo kupendelewa na Mufti Zubeir kutokana na ukaribu wao wa kifamilia, kuingilia majukumu ya Baraza la Ulamaa ambapo alisema leo atalitolea ufafanuzi jambo lake. “Leo nitazungumza pale Karimejee hall, karibu...
  16. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Je, waliooana wanakula bata sana kuliko sisi tunaolala kama baiskeli imepaki? Uzoefu wenu tafadhali

    Hasa msimu huu wa mvua na kibaridi huwa nahisi waliooa na kuolewa wanafadi Sana hasa nyakati za usiku. Au Ni mawazo yangu? Maoni yenu hasa wenye ndoa zao sio michepuko.
  17. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Bodaboda wawili wafariki dunia kwa kugongwa na Lori

    Aisee maisha ni mafupi nimepita Bwawani -Moro mida hii ya saa 1 jioni kuna bodaboda wawili wamekanyagwa vibaya sana na lorry, kiufupi wamekufa, yaani vichwa havieleweki. Msinidai picha nimeshindwa kupiga
  18. F

    JamiiForums Tanzania MANARA na wake zake wawili. Mbinu nzuri ya kulinda brand yake isipotee kipindi amesimamishwa kazi yanga

    Haji manara albinoz mjanjaz Baada ya Manara alipewa adhabu na TFF asingekuwa mjanja tungeshamsahau. Maana usemaji wake ndio kazi inayomfanya aonekane na kupata dili zingine. Mbinu yake ya wake wawili inambeba asisahaulike
  19. JanguKamaJangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba akamatwa kwa kuwapachika mimba binti zake wawili

    Polisi wa eneo Bunge la Kandara, Kaunti ya Murang'a wanamshikilia baba wa watoto wanne wa kike pamoja na mkewe baada ya mtoto wao kufichua kuwa mzazi huyo amekuwa akiwabaka. Inadaiwa mwanaume huyo amekuwa akiendeleza unyama huo huku mkewe akifahamu kinachoendelea. Aliyefichua siri hiyo ni...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Watoto wawili wafariki kwa mlipuko wa bomu

    Bomu lililolipuka Kaunti ya Baringo, imesababisha vifo vya watoto wawili na wengine wakijeruhiwa vibaya. Watoto hao walikuwa wakichunga mifugo yao na walikuwa wakichezea bomu hilo hadi lilipowalipukia. Wanakijiji wameitaka serikali ifanye uchunguzi wa mabomu mengine yaliyoachwa maeneo hayo ili...
Back
Top Bottom