Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe kwani ukisema tu kuwa hao Wachezaji Wawili wa Wakiso United FC wamekuja kwa 'Trials' utapungukiwa nini?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,697
109,125
Yaani kila Siku tu Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe unazidi tu Kujichoresha na Kujidhalilisha kwa Kauli zako.

Wenye Akili zaidi yako tunajua kuwa kuna Wachezaji Wawili wa Wakiso United FC ya nchini Uganda wamekuja kufanya Majaribio (Trials) na Yanga SC na cha Kushangaza Wewe umehojiwa na Mtangazaji Nasib Mkoma wa Sports Extra ya Clouds FM juu ya hao Wachezaji umejibu si tu Kipuuzi bali Kitoto kuwa wamekuja Yanga SC kufanya Field (Kujifunza) kisha warudi Kwao kueleza mema ya Yanga SC.

Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe hivi Siku hizi katika Mpira wa Miguu huwa kuna Field kwa Wachezaji kama ilivyo katika Tasnia zingine za Kimajukumu na Utendaji?

Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe kwani ukisema tu (tena kwa Kukiri) kuwa hao Wachezaji Wawili wa Wakiso United FC ya nchini Uganda wamekuja Kujaribjwa (for Trials) na Yanga SC kipindi hiki cha Usajili ili muwaone na Wakiwafaa muwasajili rasmi kwa Msimu ujao wa Michuano mbalimbali utapungukiwa nini?

Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe yaani ina maana kwa Kujifanya Kote Mtu wa Mpira na kuwa Mchambuzi tokea ukiwa Azam Tv hujui kuwa hata aliyekuwa Mshambuliaji mahiri Ibrahim Zlatan 'Ibrahimovic' huko nyuma (tena akiwa wamoto) alienda Arsenal FC kwa Majaribio (Trials) na hakuna aliyeshangaa?

Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe kama mfano huo wa Mchezaji wa mbali Ibrahimovic unakutesa turudi kwa Mchezaji na Mtanzania Mwenzetu Novatus Dismas ambaye leo hii Tegemeo letu Timu ya Taifa (Taifa Stars) nae alipoenda Ulaya alianzia Kwanza kufanya Trials (Majaribio) katika Klabu mbalimbali huko Ulaya kisha akaonekana anafaa ndipo Akasajiliwa na hadi Leo anakichafua vilivyo huko Mamtoni ( Ulaya ) aliko.

Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe Mimi GENTAMIYCINE namalizia na hili Swali Kwako kama Yanga SC imewachukua / imeenda Zjarani huko nchini Malawi na hawa Wachezaji Wawili wa Wakiso United FC kama Field (Mazoezi) kwanini hamkwenda na Wachezaji wenu wengi wa Team B ili na Wao wakajifunze mengi kama sehemu yao ya Field a.k.a Mafunzo ya Vitendo ya Taaluma?

Mkiambiwa hamna Akili mnakasirika.
 
Wanaogopa kuchekwa mambo ya majaribio, ndo wakaleta habari za Field, nadhani kuna timu si za mpira ila basi tu.
 
Ni ujinga wako na hao wachambuzi wa Clouds fm kumlazimisha Kamwe kusema mtakavyo... Wewe unapata habari za yanga kupitia yeye hutaki usimsikilize. Kwani kulikuwa na ulazima gani ww magungu kusema Simba nayo imewahi kualikwa ikulu ya Burundi miaka ya 70s!
 
Hii nimeifanyia utafiti kabisa yani:UKITAKA KUWA JITU LA AJABU AJABU BASI JARIBU TUKUSHABIKIA UTOPOLO.yaani lazima uwe huna akili sjui kwanini???

Zamani ali kamwe alikuwa mtu wa maana sana yaani,tena sana ila tangu ajiunge na hao waswahili ana adopt ujinga wao siku baada ya siku.

The same applied to priva,yaani sku hizi hawaeleweki,wanaongea pumba tuuuuu.
 
Klabu ina viongozi wa ajabu ajabu Sana. Wanafikiri Mashabiki wa vilabu vingine nao ni hamnazo kama wale wa kwao kwamba niwakudanganya tu wanakubali.
 
Hii nimeifanyia utafiti kabisa yani:UKITAKA KUWA JITU LA AJABU AJABU BASI JARIBU TUKUSHABIKIA UTOPOLO.yaani lazima uwe huna akili sjui kwanini???

Zamani ali kamwe alikuwa mtu wa maana sana yaani,tena sana ila tangu ajiunge na hao waswahili ana adopt ujinga wao siku baada ya siku.

The same applied to priva,yaani sku hizi hawaeleweki,wanaongea pumba tuuuuu.
Hapa kuna ukweli 100% sijui kwann wapo hivyo.
 
ila umeongea point tupu.

Nashangaa wanaokupinga wanawaza kutumia kalio au?

Tatizo Nchi hii ina wajinga wengi ndo mana hata huyo dogo anasema upuuzi halafu mashabiki wa yanga vijiweni na wao wanakomalia upuuzi eti”field”

maneenah zao wote hao
 
Hao wachezaji wako chini ya agency inaitwa Ubuntu Soccer Foundation ,anatafutiwa nafasi ktk ligi zetu, hiyo agency iko chini ya mchezaji wa zamani wa simba raia wa uganda
 
Hii nimeifanyia utafiti kabisa yani:UKITAKA KUWA JITU LA AJABU AJABU BASI JARIBU TUKUSHABIKIA UTOPOLO.yaani lazima uwe huna akili sjui kwanini???

Zamani ali kamwe alikuwa mtu wa maana sana yaani,tena sana ila tangu ajiunge na hao waswahili ana adopt ujinga wao siku baada ya siku.

The same applied to priva,yaani sku hizi hawaeleweki,wanaongea pumba tuuuuu.
Dhahiri,
SI unaona hata haha yanayoshabikia yanga humu jamvini akili zao kama charlie champlin
 
Yaani kila Siku tu Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe unazidi tu Kujichoresha na Kujidhalilisha kwa Kauli zako.

Wenye Akili zaidi yako tunajua kuwa kuna Wachezaji Wawili wa Wakiso United FC ya nchini Uganda wamekuja kufanya Majaribio (Trials) na Yanga SC na cha Kushangaza Wewe umehojiwa na Mtangazaji Nasib Mkoma wa Sports Extra ya Clouds FM juu ya hao Wachezaji umejibu si tu Kipuuzi bali Kitoto kuwa wamekuja Yanga SC kufanya Field (Kujifunza) kisha warudi Kwao kueleza mema ya Yanga SC.

Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe hivi Siku hizi katika Mpira wa Miguu huwa kuna Field kwa Wachezaji kama ilivyo katika Tasnia zingine za Kimajukumu na Utendaji?

Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe kwani ukisema tu (tena kwa Kukiri) kuwa hao Wachezaji Wawili wa Wakiso United FC ya nchini Uganda wamekuja Kujaribjwa (for Trials) na Yanga SC kipindi hiki cha Usajili ili muwaone na Wakiwafaa muwasajili rasmi kwa Msimu ujao wa Michuano mbalimbali utapungukiwa nini?

Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe yaani ina maana kwa Kujifanya Kote Mtu wa Mpira na kuwa Mchambuzi tokea ukiwa Azam Tv hujui kuwa hata aliyekuwa Mshambuliaji mahiri Ibrahim Zlatan 'Ibrahimovic' huko nyuma (tena akiwa wamoto) alienda Arsenal FC kwa Majaribio (Trials) na hakuna aliyeshangaa?

Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe kama mfano huo wa Mchezaji wa mbali Ibrahimovic unakutesa turudi kwa Mchezaji na Mtanzania Mwenzetu Novatus Dismas ambaye leo hii Tegemeo letu Timu ya Taifa (Taifa Stars) nae alipoenda Ulaya alianzia Kwanza kufanya Trials (Majaribio) katika Klabu mbalimbali huko Ulaya kisha akaonekana anafaa ndipo Akasajiliwa na hadi Leo anakichafua vilivyo huko Mamtoni ( Ulaya ) aliko.

Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe Mimi GENTAMIYCINE namalizia na hili Swali Kwako kama Yanga SC imewachukua / imeenda Zjarani huko nchini Malawi na hawa Wachezaji Wawili wa Wakiso United FC kama Field (Mazoezi) kwanini hamkwenda na Wachezaji wenu wengi wa Team B ili na Wao wakajifunze mengi kama sehemu yao ya Field a.k.a Mafunzo ya Vitendo ya Taaluma?

Mkiambiwa hamna Akili mnakasirika.
ha ha hakuna field kwa wacheza mpira kuna majaribio tu,shida ipo hizi timu zetu hazina communication strategy inayoingoza idara nzima ya mawasiliano
 
Back
Top Bottom