watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Picha za watoto walishikiliwa na HAMAS, huku vifo vya Wapalestina vikifikia 37,431

    Hawa watoto mtawaatapika tu, mnaendelea kuliwa, mfahamu damu ya watoto wa Wayahudi sio ya kuchezea, namba za mliouawa zinaelekea kufika 40,000 Hapakua na ulazima wa kufanya huu ujinga hata kama mumeaminishwa na dini muwe makatili, mnapaswa mchague nani wa kufanyia ukatili. The Palestinian...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanamke ambaye hajijali na hajali hawezi kukujali wala kujali Watoto wako

    MWANAMKE AMBAYE HAJIJALI NA HAJALI HAWEZI KUKUJALI WALA KUJALI WATOTO WAKO Anaandika, Robért Heriel Mtibeli Unaweza ukawa kijana smart na mwenye bidii ya kutafuta maendeleo. Lakini ukajikuta jitihada zako zinaishia ukingoni baada ya kukutana na Mwanamke kisha ukamuoa(ukaamua kuishi naye)...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi unavyowatendea familia na wapendwa wako na namna unavyofanya kazi vinategemea na malezi uliyopitia

    Hili halina ubishi, kama umelelewa kwenye familia ya baba anayejali familia, mama anayejali familia, Familia iiliyo na hofu ya Mungu, Familia yenye wazazi hard workers , wanaoamini kwenye kufanya kazi kwa bidii ili kuendelea kuna uwezekanao mkubwa na wewe ukaiga mwenendo huo ingawa kuna...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Uingereza watuhumiwa kubaka na kutelekeza Watoto Kenya

    KENYA: Baadhi ya Wanawake wanaoishi karibu na Kambi ya Mafunzo ya Kijeshi inayoongozwa na Jeshi ls Uingereza ya BATUK wamelalamikia kutelekezwa na Wanajeshi wanaotuhumiwa kuwabaka na kuwaachia Watoto bila msaada wowote Kwa mujibu wa ripoti ya CNN, mamia ya Wanawake wameandika malalamiko hayo...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Tajiri Bill Gates alivyolea watoto wake ni mfano mzuri wa kuigwa na sisi waafrika wa rika mbalimbali za maisha.

    Ukiangalia namna hawa matajiri wa kizungu wanavyolea watoto wao utagundua ni kwa nini hata hao wazazi wao wanadumu na hizo mali. Na Bill Gates anasema atawapatia watoto wake watatu wakike wawili na wa kiume moja dola milioni 10 tu kila moja ili wachakarike nazo kwani kuwapatia hela nyingi sio...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Makabila mengi Tanzania hayaendelei sababu ni watoto wa mama, Wachaga wapo mbali sababu wanakuzwa kuwa watoto wa baba.

    Uzi umegeuka kuwa wa chuki zaa kikabila, haufai tena kuendelezwa Na sio wachaga tu hata waarabu, wahindi, wasomali, n.k. Mtoto wa mama - mtoto ambae kwenye makuuzi yake anaujua zaidi upande wa mama kuzidi baba, ndugu wengi anaowajua na aliowazoea ni wa mama kina mjomba, mama mdogo, mama mkubwa...
  7. JamiiForums Tanzania SoC04 Watoto wa Mtaani waonekaniwe

    “Watizamwe kwa jicho la huruma” Katika hao wapo wengi walio na utayari wa kuanza maisha mapya, ni sisi kama jamii kuamini. Tusisahau juu ya wale wengi wanaowatumia kama chanzo cha mapato, “tuna wahita omba omba, la hasha! si hivyo wote hao ni watoto wa mtaani ambao wanatumika na hao wachache...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi kuna watoto waliosomeshwa shule za kulipia na ni jobless?

    Hivi kuna watoto waliosomeshwa shule za kulipia na ni jobless maana hii inafikirisha? Iwe shule ya msingi ama sekondari au hata chuo na bado akawa jobless hii inawezekana? Na kama ni ndio tatizo linakuwa nini? Mzazi kutojitambua ama nini? Au anafanya gambling kwenye mafanikio ya mwanae? Au...
  9. JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Dar: Watoto wanaozaliwa Dar es Salam kwa siku ni zaidi ya 430

    Kwa wastani Watoto wanaozaliwa Mkoa wa Dar es Salaam kwa siku ni zaidi ya Watoto 430, ambapo kati ya hao, Watoto 86 sawa na asilimia 20 wanahitaji huduma mbalimbali za Watoto wachanga wenye matatizo mbalimbali. Hayo yameelezwa Julai 13, 2024 na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt...
  10. JamiiForums Tanzania Ni lazima mtoto kusoma tution shuleni Kipindi hiki cha likizo?

    Kuna jirani yangu ametoka safari kumfata kijana wake Kipindi Cha likizo, amejikuta akilazimishwa na walimu kuwa mtoto aendelea na masomo Kipindi hiki cha likizo. Kwenu wadau, naombeni mwongozo kuwa kuna ulazima wa mtoto kusoma likizo shuleni?
  11. JamiiForums Tanzania PS 3 GAME KWA AJILI YAKO AU WATOTO WAKO NJOO UCHUKUE

    Ps 3 hiyo, wafurahishe watoto wako kipindi hiki cha likizo 300 k Games za kutosha Nipe 300k tu Temeke. MORTAL KOMBAT GTA 5 NEED FOR SPEED ARMY WAR SPIDERMAN
  12. JamiiForums Tanzania Unawafundishaje Watoto wako kuhusu Athari za Unyanyasaji wa Kijinsia?

    Onyango Otieno, mwanaharakati mwenye umri wa miaka 35 kutoka Kenya, anasema kwamba wanaume wameshawishika na jamii kuamini kuwa nafasi yao ni juu ya wanawake, lakini kuongezeka kwa ufeministi kumewaacha wanaume wengi wakihisi wamedhoofika au nafasi yao kuchukuliwa na wanawake. Anaeleza “Wanaume...
  13. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo yenye mfumo bora wa kukomesha ukatili kwa watoto

    UTANGULIZI Nchini Ta nzania, tangu tupate Uhuru Mambo ya ukatili kwa watoto yamekuwa yakiripotiwa siku Hadi siku na vyombo mbailimbali vya habari. Ukatili umekuwa ukitokea kwa njia mbalimbali ikiwemo kimwili Kama vile ukatili wa kingono. Licha ya serikali kuweka Mambo mbalimbali kukabiliana na...
  14. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vita dhidi ya ulawiti na ubakaji kwa watoto kunusuru vizazi vyetu

    VITA DHIDI YA ULAWITI NA UBAKAJI KWA WATOTO KUNUSURU VIZAZI VYETU UTANGULIZI Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazokumbwa na ongezeko la matukio ya ulawiti na ubakaji kwa watoto wa dogo tatizo hili linaongezeka kwa kasi sanaa .takwimu zinaonyesha kufikia aprill,2024 jumla yamatukio 799 ya...
  15. JamiiForums Tanzania Kila kukicha nakosa amani ya kuitwa binadamu najuta kuwa na watoto

    Natokea kanda ya ziwa ambayo ni asili yangu,jinsia ni mwanaume niko na familia (mke na watoto). Nawashkru wazi walinilea inavyopaswa na kuna kipindi niliwachukia kwa adhabu walizokuwa wananipa utotoni bila kufahamu kwamba walikuwa wanataka niwe kijana imara hasa kama kabila langu linavyotaka...
  16. JamiiForums Tanzania Tovuti za Maudhui ya Ngono kufunguliwa baada ya kuzuiwa kwa muda mrefu ni kete ya kisiasa kuelekea Uchaguzi 2025?

    Wadau site za porn zimefunguliwa tena baada ya muda mrefu kufungiwa. Hii ni move ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu au tatizo ni nini. Kimaadili naonaa lilikuwa jambo zuri kuzifungua, najua watu walikua wana-access kupitia vpn lakini angalau kwa kiasi kikubwa ilisaidia watoto wetu kutozifikia...
  17. JamiiForums Tanzania Tuko kanisani tunaandika majina ya maaduui zetu wachomwe moto tuma majina ya maaduiwasiwe mke ama mumeo la

    NIMEKUJA KWENYE IBADA MOJA HUKU BANANA TUKO SEHEMU YA KUANDIKA MAADUI ZETU TUWAOMBEE WACHOMWE MOTO WALE WALIOKUTESA WANAOKUTESA MAKAZINI WANAOTESA NDOA ZAKO BIASHARA ZAKO AFYA ZAKO VIPATO VYAKO WEKA HAPAA NIWAANDIKE MUNGU ANASEMA ANAKWENDA KUPANDANA NA ADUI ZETU WANAOKUFANYA USISHIKE HELA...
  18. JamiiForums Tanzania Asilimia ya wanaume ambao hawajapata watoto

    Kati ya wanaume wenye umri wa miaka 15-49 mwaka 2015–2019, 55.2% hawakuzaa mtoto wa kibaolojia, 14.8% walikuwa wamezaa mtoto mmoja wa kibaolojia, 17.4% walikuwa na watoto wawili, 8.2% walizaa watoto watatu, na 4.4% walizaa wanne au zaidi. Source ni National Health Statistics Reports, Number...
  19. JamiiForums Tanzania Sakata la Mtoto kulawitiwa na Watoto wenzake Arusha:Je sheria inasemaje ?

    Kwanza kabisa niombe Jamiiforums wasiunganishe uzi huu na Nyuzi nyingine zinazoelezea kuhusu sakata la Mtoto kulawitiwa Arusha na Kesi yake kufika kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Sote ni mashahidi wa kile kilichoonekana tarehe 10 Mei wakati wa Kliniki ya Haki iliyofanyika katika ofisi za Mkuu wa...
  20. JamiiForums Tanzania Vitabu vinavyohamasisha mapenzi ya jinsia moja vyakamatwa Tabora

    Serikali Mkoa wa Tabora imekamata shehena ya vitabu vyenye machapisho ya kufundisha na kuhamasisha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja kwa wanaume na wanawake ambavyo vilikuwa mbioni kuanza kusambazwa katika shule za msingi na sekondari Wilayani Kaliua kupitia Taasisi isiyo ya kiserikali ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…