Hyrax
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 604
- 1,534
Familia nyingi zenye watoto wengi zinastruggle sana kiuchumi hata uwe na hela vipi roho ya umaskini itasumbua sana uzao wenu kama sio wazazi basi watoto yatawakuta mambo ya umaskini umaskini tu.
Baada ya kufuatilia haya mambo kwa muda mrefu nahitimisha kwa kusema kuwa kuna uhusiano mkubwa kati ya kuwa na watoto wengi na umaskini, the more kids you brings to world the more poor you become ukiachana na malezi yatakayokugharimu kwa hao watoto uliowazaa pia kusimamisha uchumi wa familia ulio na nguvu za kuishi miaka 100 mbele ni shughuli pevu sana kwa watu wenye watoto wengi.
Kwaherini.