Utachukua uamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako kumbe sio wako?

Half american

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
26,091
68,365
Mchezaji wa zamani wa Chelsea, Real Madrid na timu ya taifa ya Cameroon 🇨🇲 Geremi Njitap, ametangaza kuvunja ndoa yake na mkewe Laure Fotso, ndoa iliyodumu kwa muda wa miaka 12, baada ya kugundua ya kwamba, watoto wawili mapacha (pichani, wa kike katikati na wa kiume kulia), sio watoto wake.

Utachukua maamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako, kumbe sio wako?
FB_IMG_17112120985498882.jpg

njitap-sad.jpg
 
mchezaji wa zamani wa Chelsea, Real Madrid na timu ya taifa ya Cameroon 🇨🇲 Geremi Njitap, ametangaza kuvunja ndoa yake na mkewe Laure Fotso, ndoa iliyodumu kwa muda wa miaka 12, baada ya kugundua ya kwamba, watoto wawili mapacha (pichani, wa kike katikati na wa kiume kulia), sio watoto wake.

Utachukua maamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako, kumbe sio wako?
View attachment 2942848
View attachment 2942852
ni kweli hawafanani, anafanana na huyo wa kwanza kushoto tu. hata hivyo, angetumia busara tu.
 
Back
Top Bottom