Tv sio kwajili ya katuni pekee, Naombeni tupeane mawazo ya video za kuwawekea watoto waweze kujifunza mambo mengine

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,080
Edit: Matumiz ya Tv kwa watotot Cartoon na games (playstation)

Mimi nimeona nianze kuweka vitu vya ziada kwenye flash, hizi katuni zimekuwa too much sasa na sioni faida yake.

Video nilizoanza nazo nimeona niziweke zifuatazo, walimu wanafundisha kwa vitendo zaidi kuliko kuongea hivyo inakuwa rahisi hata kama lugha ni shida

1. Jinsi ya kufunga tai
(How to tie a tie)

2. Jinsi ya kukunja nguo
(How to fold clothes)

3. kutengeneza toy kwa makaratasi, makopo, udongo mfinyanzi
(how to make paper toys with paper / bottles / clay soil)

4. Jinsi ya kupiga danadana
(how to juggle a ball)
 
Mimi nimeona nianze kuweka vitu vya ziada kwenye flash, hizi katuni zimekuwa too much sasa na sioni faida yake.

Video nilizoanza nazo:

1. Jinsi ya kufunga tai (How to tie a tie)

2. Jinsi ya kukunja nguo (How to fold clothes)

3. Jinsi ya kupiga danadana (how to juggle a ball )

hivi kuna ofs wanavaaga tai.....!

ukona ofsn kwako unavaa tai, jua kunatatizo mahala!
 
IMG_20240203_221912.jpg
 
Jinsi ya kupiga Guitar
Jinsi ya kupiga Kinanda
Jinsi ya kupiga Violin
Jinsi ya kupiga Drums
Jinsi ya kuchezea Keyboard
Jinsi ya kumix Muziki

Mimi bimkubwa (Mama Mzazi) alikua ananiwekea Basketball 🏀 tupu games za Basketball akienda Safari akirudi analeta video za Basketball ilinifanya nipende sana basketball kipindi nipo mdogo nguo zangu nyingi ni za Basketball, bimkubwa alikua anapenda sana nije kua mchezo basketball mmoja mkubwa sana duniani Ila ndio hivyo tena

Sasa wewe unamwekea mwanao tom&Jerry unataka mwanao aje kua nani tom au Jerry?
 
labda hujanielewa vizuri, nilichomaanisha ni kwamba video nazoweka zinaeleweka kirahisi kama wanavyoangalia tom and jerry, walimu wanaelekeza kwa vitendo zaidi sio maneno
Bado sijaelewa hapo rudia tena Tom & Jerry wanafundisha nini? Wanafanya mtoto anacheka au Ile milio wanayosema ni Dawa ya ubongo?
 
Jinsi ya kupiga Guitar
Jinsi ya kupiga Kinanda
Jinsi ya kupiga Violin
Jinsi ya kupiga Drums
Jinsi ya kuchezea Keyboard
Jinsi ya kumix Muziki

Mimi bimkubwa (Mama Mzazi) alikua ananiwekea Basketball 🏀 tupu games za Basketball akienda Safari akirudi analeta video za Basketball ilinifanya nipende sana basketball kipindi nipo mdogo nguo zangu nyingi ni za Basketball, bimkubwa alikua anapenda sana nije kua mchezo basketball mmoja mkubwa sana duniani Ila ndio hivyo tena

Sasa wewe unamwekea mwanao tom&Jerry unataka mwanao aje kua nani tom au Jerry?
Hata Tom and Jerry inafundisha pia.
Tom and jerry the movie.
You gotta be friends.
 
Unajua kwann watoto wanapenda katuni?,nj kitu kinachochangamsha mtu kuliko movie yyt ya kitoto it gives someone quick thinking,mtoto mpenda katuni hawezi kua jinga jinga,ukimuona mzembe jua anacheza games and not katuni.
 
Bado sijaelewa hapo rudia tena Tom & Jerry wanafundisha nini? Wanafanya mtoto anacheka au Ile milio wanayosema ni Dawa ya ubongo?
Hebu tuendelee na lengo la uzi naomba hio topic iishe, nime edit post ya mwanzo kuweka mambo direct.

Pongezi kwa Bimkubwa wako alikuwa anakuletea video za basketball, watoto huwa wanajifunza kirahisi sana kuliko watu wazima, wana mambo machache,
 
Mtoto anaecheza games usifananishe na muangalia katuni
Unajua kwann watoto wanapenda katuni?,nj kitu kinachochangamsha mtu kuliko movie yyt ya kitoto it gives someone quick thinking,mtoto mpenda katuni hawezi kua jinga jinga,ukimuona mzembe jua anacheza games and not katuni.
wakuu heshim na taadhima naombeni tuendelee kupeana idea za video nyingine za kuwawekea watoto nje ya katuni pamoja na hizo games.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom