Hivi ndivyo watoto wa Gaza wanavyokufa kwa njaa wakati chakula kimezuiliwa kuwafikia

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,183
10,913
Hawa ni baadhi tu ya watoto wanaoendelea kufa njaa na kiu mbele ya ulimwengu wakati vyakula vimejaa mpakani mwa Gaza
1711625493595.png

1711625431527.png
 
Hizi picha wanatakiwa waone viongozi wa Hamas waliosababisha vita na madhila kwa wapalestina wasokua na hatia, huku wao na familia zao wakiishi maisha ya kifahari huko Doha.

Humu mlipokuwa mkichekelea Hamas ikiua wayahudi tuliwaambia kisasi atajacholipa myahudi dunia nzima miili itasisimka mkswa mnabisha haya kiko wapi sasa.

Humu mlibweka ohhh Iran hatakubali gaza wapigwrme ataingilia kati yuko wapi ? Kalala zake kimya Tehran anakula tende zake .Ya Gaza kawaachia wenyewe.Hata chakula cha msaada tu hapeleki
 
Hawa ni baadhi tu ya watoto wanaoendelea kufa njaa na kiu mbele ya ulimwengu wakati vyakula vimejaa mpakani mwa Gaza

View attachment 2947004

View attachment 2946993
w980-p16x9-2023-07-26T141827Z_1771353974_RC2YA2A3INPP_RTRMADP_3_SUDAN-POLITICS-CHAD-REFUGEES.jpg

Angalia weusi wenzako tena waislam kama wewe wanateseka na kuteswa na kufa na njaa na maislam mengine miarabu. Ila wewe hiyo haikuumi kisa unapambana ili baadaye ubadilike mwarabu ukifa kwenye imani yako. SI NDIO??9😡😡😡😡

HIYO MITOTO YA KIPALESTINA IFE TU KWA NJAA.

NO MERCY!

adriz
 
Humu mlipokuwa mkichekelea Hamas ikiua wayahudi tuliwaambia kisasi atajacholipa myahudi dunia nzima miili itasisimka mkswa mnabisha haya kiko wapi sasa.

Humu mlibweka ohhh Iran hatakubali gaza wapigwrme ataingilia kati yuko wapi ? Kalala zake kimya Tehran anakula tende zake .Ya Gaza kawaachia wenyewe.Hata chakula cha msaada tu hapeleki
Kalala mbele chezea kichapo wewe
 
Tuwaombee msamaha walizani yesu ananjia moja ya kulipiza wakati mpaka marekani anaiogopa israel taifa teule ILA HAMAS WOTE HAWANA AKILI WANALUKA SARAKASI HUKU WAMEVAA MISULI
 
View attachment 2947112
Angalia weusi wenzako tena waislam kama wewe wanateseka na kuteswa na kufa na njaa na maislam mengine miarabu. Ila wewe hiyo haikuumi kisa unapambana ili baadaye ubadilike mwarabu ukifa kwenye imani yako. SI NDIO??9😡😡😡😡

HIYO MITOTO YA KIPALESTINA IFE TU KWA NJAA.

NO MERCY!

adriz
Tusiwadhihaki wenzetu jamani kama ww umeokolewa na yesu tumsifu na kushukuru tu
 
View attachment 2947112
Angalia weusi wenzako tena waislam kama wewe wanateseka na kuteswa na kufa na njaa na maislam mengine miarabu. Ila wewe hiyo haikuumi kisa unapambana ili baadaye ubadilike mwarabu ukifa kwenye imani yako. SI NDIO??9😡😡😡😡

HIYO MITOTO YA KIPALESTINA IFE TU KWA NJAA.

NO MERCY!

adriz
Tatizo lao ni tofauti na la Gaza.
pamoja na hivyo tunawaombea hao wababe wanaopiganishwa watie akili na wao wasudani wapate utulivu.
 
Back
Top Bottom