Mwenye shida ya uzazi soma download hii doc

Yesu Anakuja

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
9,487
19,285
Kuna kipindi nilikuwa sina watoto, miaka nenda rudi, nilitafakari maneno haya na kumwambia Mungu kuhusu haya, Mungu alikuja kufungua tumbo la mke wangu, nina watoto hadi tunapambana kuzuia mimba wasije wengine. Mungu ni wa ajabu sana.

WATOTO NI ZAWADI TOKA KWA MUNGU
Mwanzo 1 :28, Mungu akawabarikia akisema, zaeni mkaongezeka mkaitiishe nchi.

Zaburi 127 :3, Watoto ni thawabu toka kwa Bwana.

Mwanzo 9:1,7, Mungu akambariki Nuhu na wanawe, akawaambia, zaeni mkaongezeke. We are the remnants of Noah, we are the survivors of the flood and God blessed us to go and multiply.

Walawi 26: 9, kama tukiyashika maagizo ya Mungu, ataongeza uzao wetu. Tutakuwa na uzazi mwingi, na Mungu atalithibitisha hili agano lake analoliweka nasi kwetu.

Zaburi 128:3, yeyote amchaye Bwana, mkewe atakuwa kama mzabibu uzaao nyumbani mwake. Wanawe watachipua kama miche ya mizeituni wakiizunguka meza yake.

Mwanzo 33:5, Yakobo aliinua macho akaona watoto wa Esau, Esau akasema hawa ndio watoto ambao Mungu alimpa kwa neema yake. Mungu wetu ni wa neema na rehema, anatoaga watoto. Bado anayo neema ya kuwapa watu watoto hata leo hivi, kwasababu yeye ni yeye yule jana leo na hata milele. Habadiliki.

Mwanzo 17:6-7, Mungu alimwambia Ibrahim, Nitakufanya uwe na uzao mwingi sana, nami nitakufanya kuwa mataifa na wafalme watatoka kwako. Agano hili alilifanya kuwa kwa vizazi vyake vyote. Kitabu cha Wagalatia 3:6-9 kinasema ya kuwa, sisi tu warithi wa ahadi na baraka zote za Ibrahimu.

2wafalme 13:23, Mungu aliwaangalia wana wa Israel, akawasikitikia, akalikumbuka agano aliloliweka pamoja na ibrahim. Mungu huliangalia Neno lake apate kulitimiza. Neno lake linaweza kutimizwa, lazima litatimizwa kwa mtu yeyote anayeamini. Kama Mungu katika Neno lake anasema kuwa watoto hutoka kwake, na hawatoki kwa mganga wa kienyeji wala kwa miungu iwayo yote, basi, ukidai ahadi hii kwa Mungu atakupa watoto. Ijulikane kuwa, Mungu anao uwezo wa kutoa au kutokutoa watoto kwa watu. Mungu ni juu ya yote, akisema ndiyo hakuna wa kusema hapana, akisema hapana hakuna wa kusema ndiyo. Hata kama waganga wa kinyeji au wachawi walikuharibu kimazingara usizae, au manuizo ya kiuchawi ya namna yoyote ile, Mungu ana nguvu kuliko wachawi na waganga wa kienyeji. Anaweza akakuponya na utapata watoto. Uwezo huo Mungu anao. Yeye ndiye aliyeumba mbingu na dunia, aliumba mwanadamu pia. Hivyo, hata kama wachawi au shetani amekudhuru, au hata kama dhambi imekudhuru kabisa, imeharibu kizazi mamba inaporomoka, imeng’ofoa kizazi kimazingara ili wakafanyie biashara, hauendi hedhi, hauna nguvu za kiume n.k, Mungu anaweza akakuumba upya, uwezo huo Mungu wetu anao, anaweza akakuumba upya na ukawa mzima na kutimiza yote unayotaka, na watoto utapata, maadamu tu unamtumainia Bwana peke yake, hautumainii miungu mingine, hautumainii wachawi,waganga na wasoma nyota. Wamtumainio Bwana ni kama mlima sayuni, hawatatikisika milele, mtumaini Bwana ukatende mema, ukae katika nchi upendezwe na uaminifu, nawe utajifurahisha mbele za Bwana,naye atakupa haja za moyo wako.Amina.

1Samweli 1:20, when the right time came up, Hana conceived, akazaa mwana akamwita jina lake Samweli akisema ni kwasababu ametoka kwa Bwana.

Mwanzo 18:14, Malaika walipopeleka taarifa za kuzaa kwa sara, Bwana aliwaambia Ibrahim kuna Neno gani lililo gumu la kumshinda Bwana? And in chapter 21;1,2, Sara conceived of Isaack.

Zaburi 113:9, Huweka nyumbani mwanamke aliye tasa, awe mama wa watoto wenye furaha. (ukianzia kusoma mstari wa kwanza hadi wa tisa; Haleluya, enyi watumishi wa Bwana, sifuni, lisifuni jina la Bwana. Jina la Bwana lihimidiwe, tangu leo na hata milele. Toka maawio ya jua hata machweo yake, jina la Bwana husifiwa. Bwana ni mkuu juu ya mataifa yote, na utukufu wake ni juu ya mbingu. Ni nani aliye mfano wa Bwana, Mungu wetu aketiye juu? Anyenyekeaye kutazama mbinguni na duniani? Humwinua mnyonge kutoka mavumbini, na kumpandisha maskini kutoka jaani. Amketishe pamoja na wakuu, pamoja na wakuu wa watu wake. Huweka nyumbani mwanamke aliye tasa, awe mama wa watoto wenye furaha. ).

Isaya 54:1-17, imba wewe uliye tasa, wewe usiyezaa, paza sauti yako kwa kuimba, piga kelele, wewe usiyekuwa na utungu maana watoto wake aliyeachwa ni wengi kuliko watoto wake yeye aliyeolewa, asema Bwana. Panua mahali pa hema yako, na wayatandaze mapazia ya maskani yako, usiwakataze, ongeza urefu wa kamba zako, vikaze vigingi vya hema yako. Kwa maana utaenea upande wa kuume na upande wa kushoto, na wazao wako watawamiliki mataifa; wataifanya miji iliyokuwa ukiwa kukaliwa na watu. Usiogope, maana hutatahayrika; wala usifadhaike, maana hutaaibishwa;kwakuwa utaisahau aibu ya ujana wako pia mashutumu ya ujane wako…(hadi mstari wa 17).

Galatia 4:27, imeandikwa; furahi wewe uliye tasa, usiyezaa, paza sauti ulie, wewe usiye na utungu; maana watoto wake aliyeachwa pekee ni wengi kuliko wa huyo aliye na mume.
 

Attachments

  • WATOTO NI ZAWADI TOKA KWA MUNGU.pdf
    112.3 KB · Views: 2
kati ya majaribu ambayo ombeni Mungu msije kupitia, ni jaribu la kukosa watoto. utaitwa tasa, mgumba na majina yote, namna unapokuwa na wenzio unaona wanahangaika kutafuta ada za watoto, siku za sikukuu unapoona wenzio wanadiscuss wapi pazuri kununulia watoto nguo, wenzio wanavyorushiana picha za watoto wao kwenye mitandao, maofisini wenzio wanavyojadili namna watoto wao wanavyoendelea vizuri na masomo au namna walivyofaulu, au namna wanavyowafurahisha na kuwafariji wakirudi kazini jioni, NA WEWE HAUNA MTOTO HATA WA KUSINGIZIA. ni jaribu zito, na katu, yule ambaye hajapata, mwombee, chukuliana naye, mfariji, na usimseme kwa namna yeyote ile kwenye tatizo lake lwa mtoto, hata kama kwa direct au indirect, hata akikukosea usiguse hilo jeraha, linauma mno.

wengine wanapata mimba, inachoropoka, wengine hata mimba tu hawapati. wengine wanadanganywa ati uende kwa mganga wa kienyeji, kuna mmoja aliwahi kwenda, mtoto akazaliwa, siku moja amemlaza kutoka nje, aliporudi akakuta gafla pale alipomlaza mtoto kuna bonge la chatu, ndio likapotea na mtoto akawa ndo kapotea, kumbe yule mtoto alikuwa jini, mganga aliweka jini tumboni mwake,
 
jambo la msingi, wewe mtazame Yesu tu, wala usiangalie wanadamu, Mungu atakupa watoto hadi utashanga. mimi nipo napambana na mke watu kuzuia mimba wakati nilikuwa napambana kutafuta watoto.

MTAZAME HUYO ALIYEANGIKWA JUU

JOHN 3:14
And the Son of Man must be lifted up, just as that metal snake was lifted up by Moses in the desert. Then everyone who has faith in the Son of Man will have eternal life. God loved the people of this world so much that he gave his only Son, so that everyone who has faith in him will have eternal life and never really die. God did not send his Son into the world to condemn its people. He sent him to save them! No one who has faith in God's Son will be condemned. But everyone who doesn't have faith in him has already been condemned for not having faith in God's only Son. The light has come into the world, and people who do evil things are judged guilty because they love the dark more than the light. 20People who do evil hate the light and won't come to the light, because it clearly shows what they have done. 21But everyone who lives by the truth will come to the light, because they want others to know that God is really the one doing what they do.

ISAIAH 45:22-25 "I invite the whole world to turn to me and be saved. I alone am God! No others are real. I have made a solemn promise, one that won't be broken: Everyone will bow down and worship me. They will admit that I alone can bring about justice. Everyone who is angry with me will be terribly ashamed and will turn to me. I, the LORD, will give victory and great honor to the people of Israel."

HESABU 21:8-9 But along the way, the people became so impatient 5that they complained against God and said to Moses, "Did you bring us out of Egypt, just to let us die in the desert? There's no water out here, and we can't stand this awful food!" Then the LORD sent poisonous snakes that bit and killed many of them. Some of the people went to Moses and admitted, "It was wrong of us to insult you and the LORD. Now please ask him to make these snakes go away."Moses prayed, 8and the LORD answered, "Make a snake out of bronze and place it on top of a pole. Anyone who gets bitten can look at the snake and won't die."Moses obeyed the LORD. And all of those who looked at the bronze snake lived, even though they had been bitten by the poisonous snakes.

ISAIAH 55:6 Turn to the LORD! He can still be found. Call out to God! He is near. Give up your crooked ways and your evil thoughts. Return to the LORD our God. He will be merciful and forgive your sins. The LORD says: "My thoughts and my ways are not like yours. Just as the heavens are higher than the earth, my thoughts and my ways are higher than yours. "Rain and snow fall from the sky. But they don't return without watering the earth that produces seeds to plant and grain to eat. That's how it is with my words. They don't return to me without doing everything I send them to do."

ISAIAH 43:10 My people, you are my witnesses and my chosen servant. I want you to know me, to trust me, and understand that I alone am God. I have always been God; there can be no others.

ISAIAH 65:21-24 My people will live in the houses they build; they will enjoy grapes from their own vineyards. No one will take away their homes or vineyards. My chosen people will live to be as old as trees, and they will enjoy what they have earned. Their work won't be wasted, and their children won't die of dreadful diseases. I will bless their children and their grandchildren. I will answer their prayers before they finish praying.

ISAIAH 50:7 But the LORD God keeps me from being disgraced. So I refuse to give up, because I know God will never let me down. My protector is nearby; no one can stand here to accuse me of wrong. The LORD God will help me and prove I am innocent. My accusers will wear out like moth-eaten clothes.

MITHALI 18:10 The LORD is a mighty tower where his people can run for safety

ISAIAH 40:29 The LORD gives strength to those who are weary. Even young people get tired, then stumble and fall. But those who trust the LORD will find new strength. They will be strong like eagles soaring upward on wings; they will walk and run without getting tired.

MITHALI 3:5 With all your heart you must trust the LORD and not your own judgment. Always let him lead you, and he will clear the road for you to follow. Don't ever think that you are wise enough, but respect the LORD and stay away from evil. This will make you healthy, and you will feel strong. Honor the LORD by giving him your money and the first part of all your crops. Then you will have more grain and grapes than you will ever need.

JEREMIAH 9:23 The LORD says: Don't brag about your wisdom or strength or wealth. If you feel you must brag, then have enough sense to brag about worshiping me, the LORD. What I like best is showing kindness, justice, and mercy to everyone on earth. Someday I will punish the nations of Egypt, Edom, Ammon, and Moab, and the tribes of the desert The men of these nations are circumcised, but they don't worship me. And it's the same with you people of Judah. Your bodies are circumcised, but your hearts are unchanged.

DEUTERONOMY 32:4 The LORD is a mighty rock and he never does wrong. God can always be trusted to bring justice.

2 SAMUEL 7: 28 LORD All-Powerful, you are God. You have promised me some very good things, and you can be trusted to do what you promise.

PSALMS 20:7 Some people trust the power of chariots or horses, but we trust you, LORD God.

PSALMS 52:2 You people may be strong and brag about your sins, but God can be trusted day after day.

PSALMS 62:8 Trust God, my friends, and always tell him each one of your concerns. God is our place of safety.

PSALMS 84:12 LORD God All-Powerful, you bless everyone who trusts you

PSALMS 86:15 But you, the LORD God, are kind and merciful. You don't easily get angry, and your love can always be trusted.

PSALMS 111:7 God is always honest and fair, and his laws can be trusted.

PSALMS 146:5 The LORD God of Jacob blesses everyone who trusts him and depends on him.

PROVERBS 11:28 Trust in your wealth, and you will be a failure, but God's people will prosper like healthy plants.

PROVERBS 16:20 If you know what you're doing, you will prosper. God blesses everyone who trusts him.

ZABURI 121:1, I look to the hills! Where will I find help? It will come from the LORD, who created the heavens and the earth. The LORD is your protector, and he won't go to sleep or let you stumble. The protector of Israel doesn't doze or ever get drowsy. The LORD is your protector, there at your right side to shade you from the sun. You won't be harmed by the sun during the day or by the moona at night. The LORD will protect you and keep you safe from all dangers. The LORD will protect you now and always wherever you go.
 
kati ya majaribu ambayo ombeni Mungu msije kupitia, ni jaribu la kukosa watoto. utaitwa tasa, mgumba na majina yote, namna unapokuwa na wenzio unaona wanahangaika kutafuta ada za watoto, siku za sikukuu unapoona wenzio wanadiscuss wapi pazuri kununulia watoto nguo, wenzio wanavyorushiana picha za watoto wao kwenye mitandao, maofisini wenzio wanavyojadili namna watoto wao wanavyoendelea vizuri na masomo au namna walivyofaulu, au namna wanavyowafurahisha na kuwafariji wakirudi kazini jioni, NA WEWE HAUNA MTOTO HATA WA KUSINGIZIA. ni jaribu zito, na katu, yule ambaye hajapata, mwombee, chukuliana naye, mfariji, na usimseme kwa namna yeyote ile kwenye tatizo lake lwa mtoto, hata kama kwa direct au indirect, hata akikukosea usiguse hilo jeraha, linauma mno.

wengine wanapata mimba, inachoropoka, wengine hata mimba tu hawapati. wengine wanadanganywa ati uende kwa mganga wa kienyeji, kuna mmoja aliwahi kwenda, mtoto akazaliwa, siku moja amemlaza kutoka nje, aliporudi akakuta gafla pale alipomlaza mtoto kuna bonge la chatu, ndio likapotea na mtoto akawa ndo kapotea, kumbe yule mtoto alikuwa jini, mganga aliweka jini tumboni mwake,
Ayseee...
 
Japo sijasoma Ila matatizo mengine kumpa Mungu ni kumsumbua tu...


Mtu amechezea kizazi chake kwa kutoa toa mimba

Sasa huyu atamlaumu nani?
 
Japo sijasoma Ila matatizo mengine kumpa Mungu ni kumsumbua tu...


Mtu amechezea kizazi chake kwa kutoa toa mimba

Sasa huyu atamlaumu nani?
ni kweli, mtu amechezea kizazi kwa kutoa mimba, kizazi kikaharibika, lakini mtu huyuhuyu amejua dhambi yake, akatubu kwa MUngu, Mungu akamsamehe na kuzifuta dhambi zake. hivi unajua ukitubu dhambi kwa Mungu anazifuta na unakuwa sawa tu na wale ambao hawajawahi kutenda dhambi yako? mfano, X ameua B ni mchungaji/mlokole, X akiua akaamua kubadilika akatubu kwa Mungu, Mungu huwa anafuta ile dhambi halafu anakuwa kwenye level moja tu na yule mlokole.

hivyo, ninyi ambao mlitenda dhambi zikawaathiri, wala msitishwe na watu wanaoamini walikuwa watakatifu, Mungu akikusamehe mpo level moja, wote ni watakatifu. yaani mpo kwenye kapu moja, kapu zuri, na Mungu ameahidi hatazikumbuka dhambi zako. na kwasababu Yesu alikuja kubeba matatizo yetu hata yale tuliyoyasababisha sisi wenyewe, hata kama uliharibu kizazi atakuponya na kukupatia watoto. kuna watu walishaharibu sana vizazi na wana watoto leo, mwacheni Mungu aitwe Mungu.
 
kama kuna mtu alishawahi kupitia jaribu la kukosa watoto, atupatie ushuhuda hapa, unaweza kusaidia wale ambao wanapitia tatizo hilo hapa.
 
kama kuna mtu alishawahi kupitia jaribu la kukosa watoto, atupatie ushuhuda hapa, unaweza kusaidia wale ambao wanapitia tatizo hilo hapa.
Mkuu hii kitu inanipa stress sanaa.. wife hashiki mimba yani.. nimeenda sana kwenye makanisa,kwa mitume,wachungaji, n.k lkn sijafanikiwa. Sasa wife akaamua aende kwao akapumzike, then alivorudi nilikuta chale kila sehemu yan.. kiunoni,mgongoni,kifuani n.k nilishtuka sanaa nikamuuliza kwanini umefanya hivii.. akasema mm sijachanjwa... nikapuuzia but nilimuonya mambo ya waganga sitaki na asiridie... baada ya miezi kadhaa bado hakupata ujauzito.. Nimewaza mengi kama nimuache ivi, au nibadili dini niwe islam then nioe wapili.. inshort sielewi hadi now naomba ni PM kwa ushauri zaidi
 
Kweli Bukoba wapo njema kwenye hiyo secta ya dawa za kupata watoto
hakuna shetani wala mganga anaweza kukupatia mtoto, hata akija jua ni aidha jini au kama kweli ulitegewa mtego ameutegua yeye mwenyewe basi kuna garama utalipa. wengi wa watoto hao huwa hawaishi muda mrefu, na huwa ni connection ya mashetani, kwasababu shetani hajawahi kumpa mtu kitu bure. sisemi anatoa watoto, lakini kwa fikra ya kawaida tu kama yeye mwenyewe alifunga tumbo, yeye mwenyewe anaweza kufungua pia, ila lazima ulipe garama utakayoona bora hata usingempata huyo mtoto. na siongei hivi ili watu waende kwa waganga as if waganga wanatoa watoto, NOoo, watoto ni zawadi toka kwa Mungu, hao wengine kama sio jini basi ni msiba kwenye familia yako na hawatoki kwa Mungu.
 
hakuna shetani wala mganga anaweza kukupatia mtoto, hata akija jua ni aidha jini au kama kweli ulitegewa mtego ameutegua yeye mwenyewe basi kuna garama utalipa. wengi wa watoto hao huwa hawaishi muda mrefu, na huwa ni connection ya mashetani, kwasababu shetani hajawahi kumpa mtu kitu bure. sisemi anatoa watoto, lakini kwa fikra ya kawaida tu kama yeye mwenyewe alifunga tumbo, yeye mwenyewe anaweza kufungua pia, ila lazima ulipe garama utakayoona bora hata usingempata huyo mtoto. na siongei hivi ili watu waende kwa waganga as if waganga wanatoa watoto, NOoo, watoto ni zawadi toka kwa Mungu, hao wengine kama sio jini basi ni msiba kwenye familia yako na hawatoki kwa Mungu.
Aliekwambia au kusema waende kwa waganga nani? Tanzania kuna dawa zilizotumika toka enzi na mababu,, kila mtu aamini anachoona kinamfaa na kumpendeza
 
kuna response za wengine humu sikutegemea kama wangeongea hivi. hii kitu isikie kwa mtu tu.
 
Back
Top Bottom