watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Hivi wanasemaga watoto ni malaika wa nani vile

    Kibo chandede
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Tanzania ni kudhani kwamba Watoto wa viongozi nao wanaweza kuwa viongozi

    Hapo ndipo tunapojikuta tunataabika na kuokota Magarasa na kuyapa uongozi. Uongozi ni Karama kutoka kwa Mungu, haujawahi kuwa urithi wa Ukoo, sasa hapa ndipo ambapo Mamlaka za Uteuzi zinapoboronga
  3. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi hawalei watoto bali wanafuga

    Kuhusu suala la kulea, watanzania wengi hawalei watoto bali wanafuga mifugo kama mifugo mingine kama kuku. Mtu ana mtoto lakini hajui mtoto anacheza wapi, mtoto anacheza na nani wala mtoto anacheza michezo gani. Mtoto akitoka asubuhi anarudi mida ya kula tu baada ya hapo haonekani mpaka usiku...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Prof. Mkumbo: Kila Mtu amlinde mtoto wake, kuna watu kwa tamaa wanawateka watoto

    Prof. Mkumbo Kufuatia hali ya sintofahamu iliyoripotiwa kutokea eneo la shule ya msingi iliyopo Mburahati Kata ya Mkurumla iliyopo Wilaya ya Ubungo kwa wazazi na walezi kukusanyika kwenye eneo la shule kutokana na hofu ya madai ya watoto kutekwa, Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo...
  5. Tuni Comics

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Application ya Katuni kwa Watoto Kujifunzia

    Ukishaipakua application kutoka Playstore, utaifunugua na kupakua katuni zinazopatikana kwenye database yetu. Katuni hizi zina mb chache hivyo kuokoa data bundle na nafasi kwenye simu. App hii ni ndogo na nyepesi hivyo inaweza kutumika kwenye simu zenye RAM na nafasi ndogo. Ingawa ni ndogo...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wazazi wajaa Shule ya Mburahati kuwachukua Watoto, hofu ya kutekwa baada ya Noah nyeusi kuonekana

    Baadhi ya Wazazi na Walezi wenye Watoto katika Shule Msingi Mburahati wamefika shuleni hapo mchana wa leo Julai 22, 2024 kwa lengo la kuwafuata Watoto wao kutokana na hofu iliyotanda ikidaiwa kuna Watu wanania ya kuwateka Inadaiwa kulitokea gari ain ya Noah nyeusi ambayo haina namba iliyokuwa...
  7. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Kuja na watoto wadogo kulikuwa kunamaanisha nini?

    Zamani za ujana wetu wakati unafukuzia binti, mkipanga sehemu ya kuonana lazima aje na mtoto au rafiki yake! Ndo kusema mlikuwa nnaogopa nini kuja peke yenu!!
  8. Roca fella

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa watoto wa kishua na matajiri

    Habari za muda mrefu ndugu Wana familia wa jamii forums. lengo la kuanzisha huu Uzi ni kukutanisha watoto wa kishua na watu wenye uwezo kiuchumi " matajiri " kwa ajili ya kubadilishana mawazo hapa na pale, tunaweza kujenga umoja na ushirikiano ikiwa ni pamoja na kutumia vyema mtandao huu kwa...
  9. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Nina miaka 27 nina watoto 5. Je, nimewahi au nimechelewa?

    Wakuu embu leteni ushauri nimechelewa? Au nimewahi? Maana agizo la Nendeni ulimwenguni mkaijaze nchi nahisi bado sijalitendea kazi kabisa au mnasemaje
  10. Evelyn Salt

    JamiiForums Tanzania Kina mama wenye watoto wa kike, ila mnaishi na baba ambao sio walio wazaa kuna ujumbe wenu hapa

    Amani iwe kwenu wote..... Kina mama ambao mna watoto especially wa kike kwa ups and down za maisha mkatengana na baba zao na mnaishi na baba wengine wa kambo, hivi hawa wababa huwa mnawachukuliaje uhusiano wao na mabinti zenu??? Huwa mnawachukulia kama ambavyo baba mzazi anakua? Mnawakabidhi...
  11. USSR

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania: Hakuna watoto waliotekwa, kuuawa na kunyofolewa viungo, puuzieni wazushi hao

    Jeshi la polisi makao makuu limetoa taarifa ya kupinga taarifa za taharuki mitaani za watoto kutekwa ,kuuwawa na kunyofolewa viungo.
  12. THE BEEKEEPER

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kwa utekaji wa watoto mashuleni maana ishakuwa ni changamoto?

    Ndugu watanzani. Maoni yenu. Kikubwa nikuhakikisha kila mmoja wetu kuwa mzazi ukiona kitendo cha kutilia shaka Amka uchunguze usije kusema niliona kabeba gunia nikajua kabeba mzigo kumbe mtoto nooooo ukiona namna uelewi fatilia uelewe utoe msaada
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania INSP Hadja Mfinaga: Wazazi Tusiwafiche Watoto wenye uhitaji

    Mkuu wa dawati la Jinsia na watoto Wilaya ya Ngara Mkoa wa Kagera Mkaguzi Msaidizi wa Polisi A/INSP Hadja Mfinaga amewaomba wazazi wilayani humo kutowaficha watoto wenye mahitaji maalum na badala yake wawafikishe katika vituo na shule maalum ambazo zitawaendeleza kielimu. Kauli hiyo ameitoa...
  14. 2019

    JamiiForums Tanzania Potea potea ya watoto imezidi, nini tatizo, mbona Serikali iko kimya?

    Kila kukicha matukio ya kupotea kwa watoto, huku wakija kupatikana wakiwa hawana viungo vya sehemu za siri. Shule nyingi Mbagala watoto wameacha kwenda shule wakihofia usalama wao. Walimu wakapendekeza kila mzazi ampeleke mtoto wake shule na kumrudisha, wazazi wamegoma ssbabu hawana huo muda...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali ililenga nini kufuta bima ya AFYA ya watoto chini ya miaka 5?

    Salaam, Shalom!! Huwa ninajiuliza juu ya vipaumbele vya Serikali ya Awamu hii nashindwa kuelewa, hivi bima ya watoto chini ya umri wa miaka 5 kufutwa, lengo Hasa ni nini? Matibabu ya watoto chini ya umri wa miaka 5 yaligharimiwa na Serikali Kwa Kodi zetu, sasa Badala ya kufuta ununuzi wa v8...
  16. Billie

    JamiiForums Tanzania Nimepiga marufuku watoto wangu kwenda kanisani

    Baada ya kuona ujinga mambo ya makanisani nimeona nipige marufuku watoto wangu kuwa brain washed na mambo ya kanisa na aina zote za imani badala yake nawafùndisha life manners mwenyewe.Kama wataamua kwenda kwenye imani yoyote wafanye baada ya kutoka kwenye himaya yangu. Mke wangu kwa vile...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Hatua ya China kuanzisha program ya watoto wa China na Afrika ni uwekezaji mzuri wa kudumisha urafiki kati ya China na Afrika

    Watu wengi wanaamini kwamba maisha yetu ya baadaye yapo mikononi mwa watoto wetu. Ndoto zao zitajenga dunia ambayo tutaishi kesho, na matendo yao, mawazo yao, na maadili yao yatajenga mwelekeo wa jamii. Kwa hiyo, tukiwa kama watu wazima, ni jukumu letu kuwaongoza katika mwelekeo sahihi. Pia ni...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Enyi wazazi mliozidiwa urefu na watoto, mnadeal nao vipi kwenye suala la adabu / discipline?

    mimi 5'8, wife 5'4, mtoto 16 years 6'0 kasoro leo alichelewa kurudi na imeanza kuwa kama tabia ikabidi nisimame nimgombeze, Ile hofu aliyokuwa nayo hapo zamani pindi akikosea siwezi kuiona tena, ni kama vile anaona kisa urefu tunaweza kuendana.
  19. walikuyu

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa ndugu yangu kakoswa koswa kutekwa na watekaji wa watoto

    Habari za usiku wakuu! Jamani juzi kati hapa kuna mtu alipost uzi fulani kuhusiana na tatizo la utekaji wa watoto baadhi ya maeneo ya dar es salaam. Leo almanusura tumpoteze mtoto wa ndugu yetu, tukio lilitaka kutokea maeneo ya kimara matosa, mtoto aliitwa na watu wasiojulikana walikuwa kwenye...
  20. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Dodoma jiji kuna utekaji watoto?

    Kuna picha moja inasambaa mitandaoni mtoto anasadikika kutekwa, kukatwa mkonona sehemu za siri huko Dodoma, na picha nyingine ya polisi Mkoa anasema mbwa wamekutwa na mkono wa mtoto. ninyi mnaoishi huko dodoma tuambieni, hali ipoje, si mnajua familia nyingi zimehamishiwa huko mkaacha wanaume...
Back
Top Bottom