Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,403
- 40,320
Watoto waliozaliwa tumbo moja wakiwa wadogo huwa wana mshikamano na wanakuwa na upendo ila sasa wakikua na kila mmoja akawa na mji wake ndipo changamoto zinapoanzia.
Ule upendo wa utotoni upotea na kuanza kuwa maadui. Hii huwa ni kwanini?
Nimejaribu kupitia vitabu mbalimbali ikiwamo na biblia ili niweze kupata jibu sahihi lakini bado kufanikisha. Tatizo huwa ni nini wakuu?