watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa kike wa Bongo Fleva ambao walitamba kisha wakatoweka

    Lady Jaydee ndiye gwiji wa Bongofleva kwa upande wa kinadada. Ana miaka 21 katika hii gemu tangu alipoachia wimbo wake wa Machozi mwaka 2000. Amewezaje kudumu katika gemu kwa miaka yote hiyo wakati kuna Wasanii wa kike kibao ambao walimkuta akiwa juu na wamefutika akiwa juu? Hili ni swali...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania EU: Chanjo ya Pfizer yaidhinishwa kwa watoto wa miaka 12 hadi 15

    Shirika la Dawa Ulaya (EMA) limeidhinisha Chanjo ya Pfizer-BioNTech kwa Watoto wa miaka 12-15 ambapo Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) zitaamua ikiwa zitaitoa kwa kundi hilo Imeelezwa, majaribio yameonesha Chanjo kwa kiasi kikubwa inadhibiti maambukizi ya COVID19. Pfizer iliidhinishwa kwa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

    Baada ya mimi kurudi home siku ambayo wife hakutarajia ntarudi ,sikumkuta nyumbani na nilipompigia simu yy alijibu yupo home anaangalia tamthilia. Nimekaa kuanzia saa moja usiku mpka saa sita usiku ndio anatokea, Alipatwa na kama bumbuwaz hiv hakuamin km nipo home nilimnasa vibao akadondoka...
  4. mkale

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kitanda cha kulalia watoto kinauzwa

    Kipo katika hali nzuri, watoto wenye umri mpaka miaka miwili wanaweza kulalia.. neti yake, mito na godoro lake vyote vipo. Bei: Laki na ishirini {120,000} Mahali: Kimara DSM Mawasiliano: 0657787311
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wazazi wakanyeni watoto wenu,mtawazika kwa kujihusisha na ujambazi

    Jana nilipitia taarifa ya Jeshi la Polisi Dar kuhusu ujambazi na kukamatwa kwa majambazi. Lakini leo nimeambiwa kuna vijana wanashiba bangi wanajipanga hadharani kwenda kuiba huku mchana kutwa wakiwa kwenye bar na vijiwe vya bangi wakibugia vilevi. Niwaomba wazazi, msiwalazimishe Polisi...
  6. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Asili ya watoto katika familia

    Inawezekana hujawahi kusoma popote maelezo mfano wa haya niloyaandika leo ila utaamini baada ya kunielewa na ukafanya utafiti. Katika maisha ya mke na mume, au hata kama hamjaona ila mnaishi pamoja kama wanavyoishi mke na mume basi maisha hayo yataathiliwa pakubwa na aina ya mtoto mtakaeanza...
  7. Chukwu emeka

    JamiiForums Tanzania Watoto Walindwe: Mtoto apigwa kama mnyama, ugomvi wangu ni huyu aliyechukua hii video anaroho mbaya sana

    Wazazi na jamii kwa ujumla hatuna budi kuwapa ulinzi watoto mahali popote pale unapokutana na tukio ambalo si la kiungwana kwa watoto, mtoto hata kama si wako ni wajibu wako kumlinda. Nimetafakari nikakosa majibu huyu aliyekuwa anachukua video hii alikuwa na roho gani? Badala ya kumuokoa mtoto...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Mbunge Viti Maalum, Neema Lugangira: Sheria za kugharamia matunzo ya watoto zina changamoto

    Mbunge wa Viti Maalum Neema Lugangira amesema bado kuna changamoto kubwa kisheria kwa upande wa suala la kugharamia matunzo ya Watoto kwa Wanawake wanaoachiwa kuwalea bila msaada wa Baba. Akiwa Bungeni amehoji kama Serikali haioni haja ya kurekebisha Sheria zilizopo ili gharama ya matunzo ya...
  9. mediaman

    JamiiForums Tanzania Nilifadhaika sana kupata watoto wa kike tu

    Hali hii hutokea katika ndoa nyingi. Mke anazaa watoto wa jinsia moja tu mfululizo, ama wa kike au wa kiume tu. Wazazi wengi huwa wanapenda wapate watoto wa jinsia zote. Kwa sababu hiyo inapotokea wanapata watoto wa kiume tu au wa kike tu huanza kutafuta njia ya kutatua 'tatizo' hilo. Wengine...
  10. LaRosa

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari acheni kuwaminya Watoto visogo

    Moja kwa moja kwenye point. Wazanzibar utamaduni wenu wa kuzaa mtoto na kumminya nyuma ya kichwa ili asiwe na kisogo una hatari kubwa sababu mna disturb sehemu sensitive Sana ya ubongo wa mtoto. Mkijua pale nyuma ndio pana central processing yote ya ubongo wa mwanadamu. Ukipabonyeza wakati wa...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Wazazi wa leo ni kama huyu je, tuendelee Kuwekeza katika Elimu za Watoto wetu ili waje kuwa na Maendeleo yao na Faida kwa Taifa?

    Leo nimedokezwa kuwa Wanafunzi wa Darasa la Nne wanafanya Mtihani wa Moko sijajua kama ni kwa Taifa zima au labda ni kwa baadhi ya Shule tu. Nikiwa katika zunguka zunguka yangu nimekutana na Mzazi Mmoja wa Kike akifanya Tukio moja ambalo kutokana na kwamba namjua vyema lakini limenishtua pia...
  12. entry

    JamiiForums Tanzania Kama Mahari ni asante kwa Wazazi, kwanini Wazazi wa Mwanaume hawapewi?

    Habarini wakuu, Kuna mijadala humu imetokea inayohusiana na mahari nimeona maoni kutoka katika pande mbili (ke&me). Wanawake wanasema mahari ni kama unawashukuru wazazi wa binti kwa kumlea huyo mke sasa najiuliza kama mahali ni asante kwa wazazi je. 1. Hawa mabinti nawao wanaleta asante gani...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Singapore: Watoto waonekana kuathiriwa zaidi na aina mpya za Virusi vya Corona

    Mamlaka zimeonya aina mpya za Virusi vya Corona vimeonekana kuwaathiri zaidi Watoto na kutokana na hilo, masomo ya Shule zote za Msingi na Sekondari yataendelea kutoka nyumbani kuanzia Jumatano Mei 19 hadi Mei 28 ambapo Muhula utamalizika Haijawekwa wazi ni Watoto wangapi wamepata maambukizi...
  14. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli wanaume wengi huwapenda zaidi watoto waliopigiwa kuliko watoto wao wa damu?

    Kuna hii nadharia imeenea sana kwenye jamii za kiafrika kuwa mtu anampenda zaidi mtoto ambae sio damu yake kwenye ndoa. Unakuta mtu ana watoto wanne, wakwanza anafanana nae, wa pili pia wa tatu anapigiwa na kinatoka kitu tofauti na yeye. Unakuta dingi jeusi kama dhambarau lakini mtoto white na...
  15. Quavohucho

    JamiiForums Tanzania Kweli ngono ya mapema hupoteza

    Saizi nimeamini kwamba ngono na vitendo vyovyote vinavyohusiana na ngono Asa ikiwa mapema humpoteza Mtu kimalengo ya baadaye, masomo, stara, hofu ya Mungu etc Hii kutokana ushuhuda wangu kabsa, nakumbuka navyoanza barehee darasa la sita / la saba, nilikuwa sio muongeaji kabisa, lakini mademu...
  16. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Watoto niwapeleke wapi leo Eid wakatembee hapa Dar? Nimechoka na Coco Beach

    Eid Mubarak! Baada ya kuwanunulia nguo za Eid 😃sasa niwakati wa kutafuta sehemu ya kuwapeleka wanangu kutembea Leo hii siku ya Eid. Naombeni sehemu ya kwenda maana nimechoka kila siku Coco beach tu bhana. Asanteni
  17. USSR

    JamiiForums Tanzania Profesa Ndalichako: Wanafunzi waliopata mimba kuendelea na masomo kwa njia mbadala

    Wizara ya Elimu imesema kuwa inaandaa utaratibu wa kuruhusu wanafunzi waliobeba mimba wakiwa masomoni kuendelea na masomo kwani ni haki yao ya msingi.Haki hiyo ya msingi inatajwa kuzuiwa kipindi cha uongozi wa awamu ya tano. Profesa Joyce Ndalichako amesema haya... Kwenye upande wa watoto wa...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania DC Msafiri apiga marufuku watoto chini ya miaka mitano kulipia matibabu

    Mkuu wa wilaya ya Njombe Ruth Msafiri ameagiza kituo cha afya Makambako kuacha mara moja kuwatoza fedha watoto chini ya miaka mitano kwa ajili ya matibabu kwa kuwa ni kinyume na sera ya Afya. Akizungumza na kituo hiki kufuatia malalamiko ya baadhi ya wanachi wa halmashauri ya mji wa makambako...
  19. adakiss23

    JamiiForums Tanzania Hiki anachofanya Masanja Mkandamizaji sio sahihi kabisa

    Kuna video imesambaa mtandaoni ikimuonyesha Masanja Mkandamizaji na vijana wengine nadhani ni wafuasi wake katika kanisa lake lile liko pale Leaders club. Clip inaonyesha wako ktk shule fulani nmeshindwa kujua ni shule gani exactly lakini kwa mazingira inaweza kuwa Arusha, anaonekana Masanja...
  20. namraroh

    JamiiForums Tanzania Shule za akademia na kudumaza kwa vipaji vya watoto wetu

    Habari za mchana wanabodi, hongera kwa waliofanikiwa kufunga mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhan mpaka siku ya leo, hakika mola yupo nanyi! Baada ya salamu hiyo napenda kutoa maoni yangu machache kuhusu hizi shule zetu zinazoibuka kila siku kwa jina english medium, kwa kweli napenda kukiri...
Back
Top Bottom