Kuna ubaya chumba cha watoto wa kike kuwa karibu na watoto wa kiume katika ujenzi?

Sasa kama imefikia wazazi wanahofia ndugu wa damu kupandana kama wanyama...dunia imekwisha.

Labda we mleta mada nae kwa nini umeuliza au nae ulikuwa unawapanda dada zako? Hii dunia hii
Unaijua balehe au unaisikia?
Nyumba yetu ilijengwa kama mkuu anavyoomba, chumba cha dada zangu na changu vilipakana, nilipata shida sana wakati nabalehe kwa kuwatamani dada zangu. Bahati nzuri MUNGU akanisaidia nikajiongeza, kulikua na banda la uani nikahamia huko. Masista zangu kama walinisoma, wakawa wanajifanya wanaleta marafiki zao ghetto niwasaidie kusolve hesabu, nikawa naponea hapo.
Ushauri kwa mtoa post, kama umependezewa na hiyo ramani na unataka kuijenga kama ilivyo, jenga tu, ila weka na vyumba/chumba cha dharura.
 
Nina dada zangu pia na ushetani wa aina hiyo haujawahi kukatiza karibu yangu.

Kwamba usingekuwa na dada upo tu na Mama yako? Ungehamishia majeshi kwa bi mzazi au?

Acheni kuendekeza upuuzi!!
 
Acha uchawii ..amna ambae aja balehe kusema haijui .una anzaje kutamani dada ako

Adi mimi nme shtuka
 
Nina dada zangu pia na ushetani wa aina hiyo haujawahi kukatiza karibu yangu.

Kwamba usingekuwa na dada upo tu na Mama yako? Ungehamishia majeshi kwa bi mzazi au?

Acheni kuendekeza upuuzi!!
Mama ni kitu kingine, siyo cha kucheza nacho. Unaweza kuvaa chupi kichwani hivihivi, kisa kumuwazia vibaya mama.
Mkuu, kuna balehe nyingine hazivumiliki unajishangaa unawawazia mabaya ndugu zako wa kike unaoishi karibu nao, balehe yangu haimuwa mchezo, kitu kikisimama kilikua kinagusa kitovuni.
 
Unaijua balehe au unaisikia?
Nyumba yetu ilijengwa kama mkuu anavyoomba, chumba cha dada zangu na changu vilipakana, nilipata shida sana wakati nabalehe kwa kuwatamani dada zangu. Bahati nzuri MUNGU akanisaidia nikajiongeza, kulikua na banda la uani nikahamia huko. Masista zangu kama walinisoma, wakawa wanajifanya wanaleta marafiki zao ghetto niwasaidie kusolve hesabu, nikawa naponea hapo.
Ushauri kwa mtoa post, kama umependezewa na hiyo ramani na unataka kuijenga kama ilivyo, jenga tu, ila weka na vyumba/chumba cha dharura.

Upo serious?ulikuwa unawatamani ndugu zako wa DAMU???????????aiseeeeeee hiyo balehe yako ilikuwa sio ya kawaida...
 
Back
Top Bottom