Hayati Magufuli alijaaliwa watoto wangapi? Wangapi wapo ndani ya utumishi wa Umma?

Status
Not open for further replies.

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Taarifa sahihi ya watoto wa Mhe. JPM haijawahi kuwekwa wazi na pia yeye hakupenda kuingiza familia yake kwenye majukumu yake. Hadi Sasa ni vigumu kujua idadi ya watoto, majina yao pamoja na kazi wanaofanya.

Nichukue fursa hii kuhoji historia ya familia hii kwa kutaka kujua ina ukubwa gani na je familia ya mke mmoja au mke zaidi ya mmoja?

Haya ni Mambo muhimu kwa jamii kujua ili kuiga na kufuata yale yanayoonekana yanafaa.
 
Taarifa sahihi ya watoto wa Mhe. JPM haijawahi kuwekwa wazi na pia yeye akupenda kuingiza familia yake kwenye majukumu yake. Hadi Sasa ni vigumu kujua idadi ya watoto, majina yao pamoja na kazi wanaofanya.

Nichukue fursa hii kuhoji historia ya familia hii kwa kutaka kujua ina ukubwa gani na je familia ya mke mmoja au mke zaidi ya mmoja? Haya ni Mambo muhimu kwa jamii kujua ili kuiga nakufuata Yale yanayoonekana yanafaa
Ungehoji/uliza kabla, au hukuwa na ujasiri?

Sasa hivi hiyo ni historia.

Imeandikwa mahali, ni watoto saba.

Haikufafanuliwa kama wote ni wa mama Janet.
 
Taarifa sahihi ya watoto wa Mhe. JPM haijawahi kuwekwa wazi na pia yeye akupenda kuingiza familia yake kwenye majukumu yake. Hadi Sasa ni vigumu kujua idadi ya watoto, majina yao pamoja na kazi wanaofanya.

Nichukue fursa hii kuhoji historia ya familia hii kwa kutaka kujua ina ukubwa gani na je familia ya mke mmoja au mke zaidi ya mmoja? Haya ni Mambo muhimu kwa jamii kujua ili kuiga nakufuata Yale yanayoonekana yanafaa
Nasikia TBC wanatangaza kwamba alianza safari ya kisiasa mwaka 1995 ambapo alichaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Magharibi.

Sijui kwanini wanakwepa kusema ukweli, kuwa mwaka 1990 aligombea Ubunge katika Jimbo tajwa hapo juu na kushindwa!
 
Kabudi aliliweka wazi hili alipokuwa akisoma historia ya Hayati JPM.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom