watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Dkt. Kigwangalla kushauri "Herd Immunity" dhidi ya Corona, ndio msimamo wa Serikali?

    Hamis Kigwangala ambaye ni daktari wa afya ameandika meengi katika mtandao wake wa instagram. Kwa tafsiri rahisi ni kwamba anashauri herd immunity. Kutokana na mwenendo wa serikali katika mapambano dhidi ya corona Je,huu ndio msimamo wa serikali? Mbona maambukizi mapya hayatangazwi,mbona vifo...
  2. T

    Watanzania mtakapoona kila nyumba kuna msiba ndipo mtatubu kusifia kila neno

    Tusidanganyane Covid 19 inamaliza watu silence na kwakuwa serikali yetu imeamua kufanya siri na kuficha kila kitu basi ndugu zangu vifo vitatuumbua nataka kuwaambia dunia itakuja kuangalia nini kimetokea Tanzania. Watu watakufa na watashindwa kuzika mbaya zaid watakao jifanya wanaume kuzika...
  3. TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Wakili Avod Mmanda afariki Dunia. Atazikwa Mtwara na Serikali na wahudhuriaji wasiozidi 10

    Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Advocate Evord Herman Mmanda, afariki Dunia alfajiri ya leo. Aliwahi kulazwa Muhimbili miezi 4 iliyopita kwa presha akaruhusiwa. Mauti imemkuta akiwa kalazwa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mtwara Ligula, akisumbuliwa na maradhi ya Moyo. Mmanda aliteuliwa kuwa mkuu wa...
  4. Madereva wanne zaidi wa Tanzania wemekutwa na Covid-19 nchini Uganda

    Uganda has confirmed 4 new COVID_19 cases out of 1,989 samples tested on Sunday 26th April. All patients are Tanzanian truck drivers who arrived via Mutukula border, Ministry ofHealth says. 411 samples from communities tested. Uganda’s total confirmed cases are now 79. [emoji832]4 new COVID-19...
  5. T

    Hii dunia inatisha sana, Watanzania tuzidi kukaza roho

    Hii dunia inatisha sana, nashindwa kuandika ila nawahusia Watanzania kuzidi kaza roho maana hatupo huru kivile tunafikiri. Dunia hii kuna mataifa nihatari kuliko nyoka mwenye sumu kali. Nani anakumbuka habari ya taifa moja linaitwa Zambia? Zambia baada ya Keneth Kaunda shindwa uchaguzi...
  6. Ipo Ziku Yaaja Ccm Mtakuja Kuwaomba Msamaha Watanzania Huku Mkitembelea Magoti Na Kulia Machozi Ya Damu.

    Kwahaya yanayo endelea nchini ,ipo siku ccm watakuja kujuta na kuomba msamaha hadharani wakitembelea magoti na kutoa machozi ya damu kwa walichowafanyia watanzania, mwenye masikio na asikie,mwenye macho na atazame siku yaaja haina tarehe wala mwaka wala saa, huhitaji kuwa na digrii kuelewa...
  7. Mhe. Rais Watanzania tunaitaji kusikia zaidi ya hotuba yako kwa vyombo vya ulinzi na usalama

    Mhe. rais km mpambanaji namba 1 kwenye taifa letu la tanzania lenye kila aina ya maliasili tulizobarikiwa na mungu. tunahitaji kusikia kitu kutoka kwako tunahitaji kufahamu hapa tulipo tuna fanyaje na huko mbele tunaendaje. Katika kipindi hiki kigumu mno kwa dunia na sisi tukiwemo janga hili...
  8. W

    Mungu amejibu maombi ya Watanzania, Kujifukiza katika mvuke kutawaponya wagonjwa wa corona

    April 16/4/2020 Rais John Magufuli aliandika ujumble katika ukurasa wake wa Twitter akiwaomba Watanzania kufunga na kuomba kwa kipindi cha Siku tatu aliandika, Ndugu zangu Watanzania, kutokana na ugonjwa wa Corona, nawaomba tutumie siku 3 za kuanzia tarehe 17- 19 Aprili, 2020 {Ijumaa, Jumamosi...
  9. Kiswahili cha Kisiasa Kwa Watanzania: Ikulu sio Eneo Specific, ni Makazi ya Rais, Tuna Ikulu ya Magogoni, Chamwino, Sasa Hadi Ikulu ya Chato!

    Wanabodi, Salaam, Neno "Mjinga" ni tukano, ila sio tusi!. Mtu kuwa mjinga ni ile hali ya kutokujua. Hivyo mtu akikuita mjinga, anamaanisha wewe hujui kitu fulani anachokuitia mjinga. Ukiwa hujui kitu fulani na ukaitwa mjinga, hujatukanwa bali umeambiwa ukweli kuhusu hali ya kutokujua kwako...
  10. J

    Rostam Aziz atoa msaada wa sh 500 milioni kukabili Covid 19 Zanzibar, makamu wa Rais Idd Seif awataka watanzania waache ukaidi

    Mfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz ametoa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya sh 500 milioni kuisadia Zanzibar katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Covid 19. Akipokea msaada huo na michango mingine ya sh 100 milioni kutoka Kagera Sugar na sh 12 milioni kutoka kwa Subash...
  11. Kwako Waziri Ummy Mwalimu kuhusu maambukizi ya COVID-19: Watanzania tunahitaji kupewa taarifa za kila siku (Daily Updates)

    Kichwa cha uzi kimejitosheleza. Watanzania tunahitaji kujua kinachoendelea kuhusu hili janga. Source ya taarifa za jambo kama hili yapaswa iwe ni mamlaka husika, ambayo ni wizara inayoshughulikia masuala ya afya (hapa Tanzania wizara hii ina jina refu sana). Upande wa pili wa muungano...
  12. J

    Kama kuna kitu Watanzania tunakihitaji basi ni maarifa

    Naam, wanajamvi siku tatu za maombi zimeisha Jana. Kama maombi ya waombaji yameswihi hilo litajidhihirisha siku si nyingine kuanzia leo. Ila kwa maoni yangu hayajaswihi au hajapokelewa. Kwanini nasema hivi? Ni ubatili wa maombi yenyewe. Waombaji wengi walimtukuza binadamu badala ya Mungu. Rejea...
  13. Natoa ombi kwa uongozi wa JamiiForums mumualike Naibu Waziri wa Afya aje afafunue na kujibu dukuduku na maswali ya watanzania

    Natoa hii rai sababu sasa tunakoelekea ni pabaya maana idadi ya maambukizi ya wagonjwa wa Covid -19 inazidi kuongezeka. Mgonjwa wa kwanza kulipotiwa ilikuwa ni March 16 na leo ni April 19 kakini idadi inavyoendekea kuongezeka inatia hofu naashaka kwa sisi wananchi wa hali ya chini. Napendekeza...
  14. Wachina wakutwa na hatia ya kuwatupa wazamiaji wawili wa Tanzania baharini

    Wachina saba wamekutwa na hatia ya kujaribu kuwaua watanzania wawili kwa kuwatupa baharini karibu na mwambao wa KwaZulu Natal, mwezi uliopita Amiri Salamu(20) na Hassani Rajabu(30) walitoswa baharini wakiwa wamepewa ‘life jackets’ na chupa za maji wakaamriwa kuogelea. Siku tatu baadae...
  15. Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

    Yumkini hali si nzuri. Rais kafunguka. ===== Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe magufuli ameandika: "Ndugu zangu Watanzania, kutokana na ugonjwa wa Corona, nawaomba tutumie siku 3 za kuanzia tarehe 17- 19 Aprili, 2020 {Ijumaa, Jumamosi na...
  16. NCCR Mageuzi jipangeni upya mrudishe heshima yenu, Chadema wamewasaliti Watanzania

    Nccr mageuzi kilikuwa ni chama ambacho kilisheheni wasomi na watu ambao ki msingi walijua siasa ni kitu gani. Lyatonga Mrema, Mabere marando ,Dk S.Mvungi Masumbuko Lamwai,Dr Ringo Tenga na wengine wengi tu ambao huko mikoani walijitoa kwa ajiri ya Chama kama Mzee Cosmas Chenyenge wa Mwanza...
  17. Narudia kuuliza! na nitarudia kuuliza watanzania tuna matatizo gani kufurahia matatizo?

    Watanzania tuna matatizo gani? Magonjwa tunafurahia! Vifo tunafurahia! Mtu akitumbuliwa tunafurahia! Mtu akipigwa risasi tunafurahia! Nashindwa kuwaelewa Watanzania ni Nini tunataka kwa nchi wananchi wanafurahia nchi kupata matatizo unakuta mwananchi Hali ya chini akifurahia eti watu Fulani...
  18. Je, ni Siasa za sasa za Tanzania ndizo zinawakwaza IMF na WB hadi hawatujali tena Watanzania au kuna 'Kirusi' Kimewakwaza sana?

    Mpaka leo najiuliza hili Swali ni kwanini Taasisi Kubwa na Muhimu kabisa za Masuala ya Fedha Duniani (Ulimwenguni) za WB (Benki ya Dunia) na IMF (Shirika la Fedha Duniani) kwa Siku za karibuni na niweke tu wazi tokea 2016 hadi huu wa 2020 wamekuwa ' Wazito ' mno Kuisaidia Tanzania kwa Pesa...
  19. Watanzania inabidi tusali sana kwa bidii---corona

    Polisi Wakusanya Mitaani Maiti 800 za Waliofariki Kwa Corona na Kutelekezwa Ecuador imesema polisi wameondoa karibu miili 800 katika wiki za karibuni kutoka katika makazi mjini Guayaquil, sehemu iliyoathiriwa kwa kiasi kikubwa na mlipuko wa virusi vya corona, baada ya ugonjwa huo kuzidi...
  20. H

    Watanzania ni wanafiki hasa kuhusu Sakata la BSS

    Watanzania wengi wanatatizo lakuwa wanafiki na wasio na shukrani hata kidogo, nimeona wengi wakiiponda BSS na wengine kwenda mbali zaidi kuitukana na kutoa lugha chafu juu yao Cha ajabu mpaka washiriki wenyewe walioshiriki bss nao wameingia kwenye Huu mkumbo. Pamoja na BSS kutuumiwa kula...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…