There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.
Hii issue binafsi nilikua nimeielewa visivyo, muda wote nilijua kwamba Watanzania wanagoma tusiwe tunawapima wakija huku, na ili kushinikiza waingie watakavyo bila kupimwa wakazuia ndege zetu, ila kuna hizi taarifa nimezisoma kumbe tulikua tunawaweka karantini ya siku 14, akija anatiwa lockup...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu Watanzania eti;
Kwanini baadhi ya watanzania wana tabia ya kupenda kuwafafanua binadamu wenzao kwa kutumia ulemavu/udhaifu wa maumbile walio nayo?
Yaaani unakutana na mtu anaanza kukuelezea kuhusiana na rafiki yenu mliesoma naye...
Aombe msamaha Watanzania kwa ile biti ya hatari aliyoichimba maana Watanzania wote kutoka katika vyama vyote na wasio na vyama, haja kubwa ilikuwa inagonga nguo za ndani kwa hofu.
Watanzania wengi waliingiwa na hofu kuu hasa ukinzingatia hatuna uzoefu wala mazoea ya kuvamiwa kivita kwani hata...
Lengo la kukupiga risasi lilikua Ni kukuua,ufe kabisa halafu usiwepo Tena juu ya uso wa Dunia. Naamini baadhi wangelipwa kwa kazi ya Kukuondoa na wengine wangepongezana. Hata hivyo Kuna mamilioni ya Watanzania waliungana kwa kulia na kuugulia, walifanya vitu ambavyo havijawahi kufanyika hapa...
Haijajulikana nia yao ilikua nini ila ndio hivyo majirani inatubidi tuwe makini sana dhidi yenu watu.
=======
The Anti-Terror Police Unit (ATPU) is holding three people among them Tanzania nationals who were nabbed with 1,000 pieces of explosive detonators in Taita Taveta.
The suspects were...
Visiwa kadhaa vya Msumbiji vimetekwa na kundi la magaidi wa kiislamu, wanaua bila kujali nini wala nini, pia mkoa wa Kaskazini uliopakana na Tanzania hakukaliki, hali imekua tete, watu wanatoroka vijiji vyao, serikali ya Msumbiji ni kama imeanza kukata tamaa.
Nashangaa SADC imelala chali kwa...
Huyu namfananisha na Rais ambaye ni nazi, kwani nazi ukiiangalia nje inalangi nyeusi ukiipasua ndani ni nyeupe. Rais wetu mtarajiwa ni mweusi kwa nje ila ndani mawazo, fikra, utamaduni na hisia ni kuwa mzungu.
Mwanzoni alipatakusikika akimsema vibaya Magufuli kwa kupuuzia mikopo kutoka ulaya na...
Wapendwa watanzania wenzangu,
Katika siku za hivi karibuni tumeshuhudia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kikiomba michango kutoka kwa watanzania katika kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazokikabili chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania.
Watanzania tuna utaratibu wa kuchangiana...
Mwalimu Mwakasege leo ameendesha maombi rasmi ya kuibariki siku ya uchaguzi ( 28/10/2020) na kuwataka watanzania wote waibariki siku hiyo ili pasiwepo hila na udanganyifu wowote.
Mwakasege amesisitiza kuwa maombi hayo ya baraka yahusishe siku 15 za mchakato yaani siku 7 kabla ya uchaguzi, siku...
Wakati Magufuli anaingia madarakani sukari ilikuwa kati ya 800 na 1200 Kwa Kilo Moja. Mwaka 2016, Magufuli akaingilia Biashara ya sukari na sukari ikapanda hadi 2400.
Mwaka 2016 Magufuli alisema Matajiri wataishi kama Mashetani...alidhamiria watanzania wakose pesa, na hakusema masikini wataishi...
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kondoa kimezindua rasmi kampeni zake za Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kondoa Mji, Makoa Ally ambapo mgeni rasmi alikua Spika wa Bunge na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Job Ndugai.
Akizungumza katika uzinduzi huo, Spika Ndugai amewaomba wananchi wa Kondoa wasifanye...
*Lwakalinda Kalikawe Bagonza kaandika hivi:*
NEC WAHURUMIENI WANANCHI
NEC WAHURUMIENI VIONGOZI.
Kuna jambo haliko sawa. Kama liko sawa, basi kuna jambo haliko sawa ndani yangu.
1. Ni mzigo na adhabu kubwa kwa Wananchi kuongozwa na kiongozi ambaye hawakumchagua. Ni kuwatesa wananchi, ni...
Katika kipindi hiki ambacho enzi za Anna Makinda, Tundu Lissu alikiita 'silly season' tutasikia uwongo na upotoshaji mwingi.
Tunaambiwa eti Tanzania kwa sasa hakuna Uhuru. Yaani sasa hivi Watanzania hatuko huru.
Ukweli ni kwamba mtu au nchi haiwezi kuwa huru kama mtu au nchi hiyo ni mtegemezi...
Tundu Lissu amesema haya kuhusu lugha ya kufundishia:
Ukiniuliza mimi, honest opinion Nchi yetu haiwezi kuzungumza Kiingereza, hivyo tunahitaji kuwa na mjadala juu ya sera ya lugha, tusipokuwa na mjadala huu, hatufiki popote kwani language of instruction is everything.
Mimi ni Wakili, Majaji...
Wasalaamu!
Nikiwa kama mzalendo wa kweli wa Kitanzania na tukiacha mbwembwe za kisiasa napenda kuja na waraka wa kipekee kwa maslahi ya umma.
Utangulizi
Tanzania ni nchi inayokuwa kimaendeleo kwa kutumia rasilimali zake na kwa vyovyote vile inahitaji uongozi imara katika hili. Uongozi huu...
Dkt. Magufuli asubuhi hii amefanya mkutano wa kampeni katika jimbo la Misungwi jijini Mwanza na kuwataka Watanzania tupendane.
Dkt. Magufuli amewasihi wananchi kutobaguana kwa misingi ya chama cha siasa, dini au kabila kwa mustakabali mwema wa taifa letu.
Kadhalika Dkt. Magufuli amewataka...
Uwanja wa CCM Kirumba ambao unamilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM)
Enzi za chama kimoja, majengo na maeneo yote ya umma yalikuwa chini ya Serikali. Ujenzi na uendelezaji wa maeneo hayo ulifanya na Serikali kupitia kodi za wananchi, michango, fedha za wafadhili na wahisani mbalimbali.
Kwa...
Tumeshuhudia kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita wabunge na madiwani wengi kutoka chadema wakijivua ubunge au udiwani. CHADEMA haijawahi kuwaambia wananchi sababu ya msingi iliyopelekea hayo.
Hii imeondoa imani ya wapiga kura kwao hasa hasa baada ya mchakato wa kuwapata wagombea wa CHADEMA...
Kwa kingereza ungeweza kusema how CCM underdeveloped Tanzanians for 60 years.
Kwa miaka 60 chini ya CCM bado huduma za afya sio za uhakika Tanzania. Wamama wajawazito wanafariki kila siku kwa kujifungua, watoto wachanga wanakufa kwa kukosa huduma. Vituo vya afya havina madawa wala vifaa tiba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.