There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.
Ninauhakita kwa sasa Sio CCM pekee bali anaechukiwa ni mgombea wao.
- sijui mikakati gani CCM wanayo huko maana kwenye sanduku la kura mchuano utakua mkali sana .
Jionee mwenyewe mapokez ya lisu kwenye strong hold ya maghufuli kanda ya ziwa.
Its like watu wanataka inchi ikombolewe. Ikombolewe...
Nimejaribu kufanya Utafiti mdogo tu mitandaoni nimeona Tanzania inaongoza kwa kulalamikiwa kuua biashara za majirani zetu wote.
Hivi ninyi watanzania mnaosifika wa uvivu na uzembe ni kwanini mnawaua biashara za watu hivi? 🤔
Cheap Tanzanian rice leaves 1,000 Busoga farmers stranded
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Baghosha...![emoji23][emoji23][emoji23]
Siandiki waraka hapa.
Kwakifupi Leo watu wa Mwanza wameamua kuonesha hisia zao za kumpenda Rais Tundu Lissu usiku huu kwa kuandamana hadi alipofikia.
Maelfu ya watu hawa yanaibua hisia kali juu ya kile kinachosemwa serikali hii...
Tundu Lissu angeweza kurudi nchini na kuamua kujikalia kimya kama walivyofanya wengine walioumizwa. Yeye siyo tu aliumizwa! Aliumizwa sana!
Sasa isikilizeni sauti yake inayolia nyikani, ndani ya sauti hiyo zipo sauti za mamilioni kwa mamilioni ya watanzania.
Mnyoosheeni njia pale anapokuja...
Tofauti na vipindi vya Uchaguzi wa vyama vingi nilio ushuhudia, 1995 Hadi 2015, Uchaguzi wa mwaka huu wananchi wengi zaidi wako radhi kusema hadharani ama kukuambia Kura yake atampa Nani.
Kwa Chaguzi zilizopita ilikua ni kwa wale wakereketwa wa vyama husika tu ndio walikua wakitoa misimamo yao...
CCM let's be matured, hii propaganda ya kumuita Tundu Lissu kibaraka wa mabeberu imebumba tutafute neno lingine zuri la kummaliza.
Kutumia hili neno hakujabadili kitu kabisa mtaani kila ninapopita sioni sehemu yeyote akiitwa Bebebru zaidi ya kuitwa Mkombozi, mimi sijui ni mkombozi wa nini...
Mshindi wa Jackpot ya SportPesa, Lilian Ngitoria Laizer, amekabidhiwa kitita chake kiasi cha Sh. 267,800,060 na Kampuni ya Michezo na Burudani ya SportPesa Tanzania, huku akieleza mipango yake ni kufungua biashara kubwa.
Nipashe
Kuna Mtu aliwahi kuniambia huko zamani kuwa Pesa, Elimu na...
Hii ni sauti inayonisumbua kila kukicha ya Mungu Ikiniambia Huyu Ni Mwanangu Mpendwa Nimpe Kura yangu.
Naamini ni sauti inayokusumbua pia wewe Mtanzania ikijurudirudia na kukusii uitii kua " Huyu alie Hai leo ni Mwanake Mpendwa na Tumpe Kura Zetu"
Tanzania itapona tu kwa Kuitii Sauiti Hii ya...
Huu ni ujumbe toka kwa sauti ya mtu aliyae nyikani. Baada ya kulimia meno for 5 yrs Safari hii mtalimia kucha tabia ya mtu ni ngozi, furaha yake ni kuona machozi ya watu wakilia. Kuna watu Kama wakipewa haki ya kugawa pumzi duniani Wallah hakuna ambae angebaki duniani.
Kama Kimara...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu Watanzania eti;
Kuna tofauti gani kati ya Mamlaka (Authority), Tume (Commission) na Bodi (Board)?
(1) Kwanini zamani ilikuwa Income Tax Department ila ikabadilishwa na kuwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na sio Tume au Bodi...
Kwa ambao washawahi kuishi nje ya Tanzania nina imani watakuwa na ufaham wa hiki nilichokiandika hapa.
Nimewahi kuishi ktk nchi ambayo ina mchanganyiko wa raia kutoka katika nchi mbali mbali duniani nikajiridhisha kwa macho yang kwamba raia wengi wanaotoka Tanzania ni wafupi wafupi mno...
Wanajamiiforums, fikisheni salamu hizi kwa kila Mtanzania mpiga kura bila ya kujali itikadi ya chama chake kwani kama ni CCM huenda akaiona haki na yeye akatamani kutenda haki. Haki ambayo inahubiriwa na Tundu Lissu ,ya kuwa Mashehe wote wakiislamu walioko magerezani bila ya hatia yeyote...
Kwa hali ilivyo kwa sasa na maendeleo yaliyofikiwa tukae chini na kufikiri kwa makini tuchague CCM kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu.
Tusifanye ushabiki na wala tusifanye hamaki na kuchagua kwa mihemko tutajuta sana. Ninaamini Watanzania wamekuwa makini muda wote linapofikia suala la...
Ninapozungumzia CCM mpya ninamaanisha hii CCM iliyoibuka kuanzia 2015, kuna wanaoiita CCM ya Magufuli. Matatizo yalianzia kwenye kusimamisha shughuli za ziasa kwa vyama vya upinzani baada ya uchaguzi.
Kazi ya vyama vya upinzani zaidi ya kuikosoa serikali ni kutoa elimu ya uraia kwa wananchi na...
Nyakati zinabadilika aisee,inaonesha Tanzania ya nyakati hizi imekuwa na wajinga wengi kuliko nyakati za kale.
Leo hi Mtanzania anyepinga ndege za Magufuli halafu akaonekana anapanda ama anashuka ndani ya Ndege hizo Basi Lumumba B7 watamsema.kwamba alikua anapinga Nini na amepanda Nini.
Hoja ya...
Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho.
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
ajira
asante
basi
body
ccm
chadema
chato
haki
haki za binadamu
hana
healthcare
hotuba
jpm
kagera
kampeni
kanda ya ziwa
kazi
kununua
kuomba
leader
lissu
lisu
maadili
mabeberu
madaraka
maendeleo
matokeo
mbunge
media
mji
morogoro
mpango
mwanza
nchi
ndege
nyumbani
party
picha
polisi
reggae
sayansi
serikali
sgr
sheria
siasa
siku
siri
song
tanga
tanganyika
tanzania
tarime
tundu lissu
ubunge
uchaguzi
uchaguzi mkuu
ukweli
ulinzi
upinzani
urais
ushindi
video
vijana
vitu
wananchi
wasanii
watanzania
wote
Ukiona yanayo tokea, badhasha, furaha inayoambatana na mapokezi ya Wagombea udiwani, ubunge na Urais kupitia Chadema na ACT wazalendo unagundua yafuatayo.
- wanainchi walikua na kiu ya kusikia Sera mbadala za upinzani ,
- kuna kundi la wananchi ni die hard wa upinzani hivyo katazo la shugjuri...
"NCHI HII INAHITAJI RAIS MCHUMI NA MWENYE HURUMA NA WATANZANIA MKINICHAGUA KUWA RAIS NTAFUTA UMASIKINI KATIKA NYANJA ZOTE," PROF. LIPUMBA, NZEGA - TABORA
Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na kasi kubwa ya kupungua kwa watu masikini. Idadi ya watu masikini kwa kutumia kipimo cha taifa...
Habari ndugu zangu wana JamiiForums.
Katika uzi huu nitaelezea sababu zinazofanya Magufuli apendwe na watanzania wengi zaidi.
Mimi mwenyewe binafsi najikuta sana navutiwa na mwanasiasa mchapakazi Dkt Magufuli kama ilivyo kwa watanzania wengine hili hata wanasiasa wa vyama upinzani wanalijua na...
Kampeni za vyama mbalimbali vya siasa zimeendelea kutimua vumbi maeneo mbalimbali ya nchi yetu. Leo naomba nitoe dukuduku langu kwa uchache sana. Kwa mshtuko sana nimesikitika kuona baadhi ya vyama vya upinzani kuanza ubaguzi wa waziwazi kwa kuumia na kuweka nongwa Serikali kupeleka maendeleo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.