Ipo Ziku Yaaja Ccm Mtakuja Kuwaomba Msamaha Watanzania Huku Mkitembelea Magoti Na Kulia Machozi Ya Damu.

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
7,567
9,026
Kwahaya yanayo endelea nchini ,ipo siku ccm watakuja kujuta na kuomba msamaha hadharani wakitembelea magoti na kutoa machozi ya damu kwa walichowafanyia watanzania, mwenye masikio na asikie,mwenye macho na atazame siku yaaja haina tarehe wala mwaka wala saa, huhitaji kuwa na digrii kuelewa haya.One doesn't have to be a genius to understand this.A country lead by tabulalasa ever government massive failure economilly, socially, politically ever seen in the world
 
Mtaji wa Ccm = umaskini + ujinga wa watanzania wengi! Siku vikiisha hivi ccm nayo bai bai, la sivyo hili balaa bado tunalo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika vitu vya hovyo mno

Chadema Ndio mnatakiwa muombe msamaha kwa kutumika na Mabeberu
 
Bac ukikutana na wenzako unajisifu kua ,"Mimi nawashughulikia kisawa Sawa mtandaonii yaan wanakiona cha Moto" haha maisha hayaishii hapo tunaishi Nchi moja kama kuna faida ni yetu sote na kama kuna hasara ni yetu sote ,,,nyinyi endekezen uchadema na u CCM ,,,,,,Nchi hii ITAKUA maskin Hadi Kiama
 
Mkuu ubarikiwe sana kwa kutoa darasa adimu.
 
Bac ukikutana na wenzako unajisifu kua ,"Mimi nawashughulikia kisawa Sawa mtandaonii yaan wanakiona cha Moto" haha maisha hayaishii hapo tunaishi Nchi moja kama kuna faida ni yetu sote na kama kuna hasara ni yetu sote ,,,nyinyi endekezen uchadema na u CCM ,,,,,,Nchi hii ITAKUA maskin Hadi Kiama

🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌
 
Kwahaya yanayo endelea nchini ,ipo siku ccm watakuja kujuta na kuomba msamaha hadharani wakitembelea magoti na kutoa machozi ya damu kwa walichowafanyia watanzania, mwenye masikio na asikie,mwenye macho na atazame siku yaaja haina tarehe wala mwaka wala saa, huhitaji kuwa na digrii kuelewa haya.One doesn't have to be a genius to understand this.A country lead by tabulalasa ever government massive failure economilly, socially, politically ever seen in the world
Hata kama ni chuki sio hivi!
 
Back
Top Bottom