wataalam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wataalam wa uchimbaji dhahabu (maduara) ni eneo gani bora kuwekeza kwa mtaji mdogo?

    Nimeona watu wanamiliki maduara, wengine wanamiliki crushers tu, wanasaga mawe ya watu, wengine wanamiliki plant au elusion plants. Wengine wanamiliki detectors wanakodisha, wengine ni wanunuzi wa dhahabu end products, wengine wanarundika michanga (marudio) yenye PPM nzuri na kuuza. Kwa mtaji...
  2. JamiiForums Tanzania Kutokana na kauli ya Waziri Nape kwenye matumizi ya bando; Wataalam na watumiaji majibu yenu Muhimu

    Tunaambiwa weka 500 yako alafu washa intaneti kisha endelea kuperuzi. Hiyo ndiyo kauli unayoweza kuitumia kutokana na wananchi wanaogoma kuhamia Burundi wakidai matumizi ya vifurushi wanavyonunua kwenye bando kutumika na kuisha hata kabla ya mtumiaji kumaliza ndani ya muda. SWALI: Wale...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa saikolojia na afya, Je kuna uhusiano gani hofu ya vitisho na kujaamba au kujikojolea?

    Tafti zinaonesha watu wengi wanaopigwa mkwara wa ghafla mbele ya kadamnasi au popote hujamba au kujikojolea! Je kuna uhusiano gani kati ya hofu au vitisho na kujamba?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Valves zina uhusiano gani na uendaji wa mafuta?

    Habari wakuu, Naomba ufafanuzi gari yangu ni aina ya wish cc 1700 ina 16 valves, sasa hizi valves zina uhusiano gani na uendaji wa mafuta?
  5. JamiiForums Tanzania Ninani anamshauri Rais kuhusu Hali ya uchumi wetu? Miradi inayoanzishwa inaendana na uhalisia wa uchumi wetu? Wataalam wa uchumi mpo wapi?

    Huko twita mtifuano unaoendelea ni kuhusu tozo...tozo za miamala ya simu ,na tozo katika taasisi za kifedha. Huku mtaani mnyukano uliopo ni kupanda Kwa gharama za maisha,na Hali mbaya ya chakura nchini. Kule Kwa...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wataalam wa Tally, Excel, QuickBook na Hesabu mtusaidie ile 100.01% ya Chebukati imekaaje?

    Utata umeibuka Kenya mara baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi! Hoja zilizoibuliwa mara baada ha kutangazwa matokeo ni asilimia zilizopatikana kwa kila mgombea kiasi ukijumlisha unapata 100.01% na sio 100%! Kila mmoja anasema lake huko Kenya, wengine wanadai Error za kawaida wengine...
  7. JamiiForums Tanzania Wataalam wa mambo ya anga, physics hili jambo limewezekanaje?

    Kama inavyoonekana hapo chini. Hiyo helcopter sioni engine ikizunguka ila inaendelea kuwa hewani. Je hii ikoje?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Homa ya Mgunda, ni kipimo kingine kwa Wizara ya Afya, NIMR pamoja na Wataalam wa Afya nchini

    Wana Bodi tumesikia kuhusu ugonjwa wa Homa ya Mgunda hiki ni kipimo kingine kwa Wizara ya Afya, NIMR pamoja na Wataalam wa Afya nchini Kama ifuatavyo 1. Kuweza kutafuta ukweli wa ugonjwa huu pamoja na dalili zake 2. Kujua kutofautisha kati ya Siasa, Sayansi na Utaalamu wa kada ya Afya na...
  9. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wataalam wa madini, hii ya Uganda ni KWELI au chai

  10. JamiiForums Tanzania Watangazaji wa TV wapunguze maneno wanapokuwa katika vipindi mubashara ili wataalam watoe maarifa kwa kina

    Wakuu salaam, moja kwa moja kwenye mada, Kuna watangazaji wa vipindi mubashara ambavyo kuna wataalamu wa afya, elimu, viongozi nk hualikwa kwa ajili ya kudadafua mambo fulani kwa kina. Natambua watangazaji wanajukumu muhimu la kuongoza mijadala kwa kuuliza maswali au kupokea simu za watazamaji...
  11. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Clubhouse session ya JamiiForums Mei 26, 2022: Elimu kuhusu Saratani ya Jicho kwa Watoto

    Nini chanzo cha Saratani ya Jicho kwa Watoto? Dalili zake ni zipi? Hali ya Ugonjwa huu ikoje hapa Tanzania? Kufahamu haya na mengine zaidi, shiriki katika Mjadala na Wataalamu kuhusu Saratani ya Jicho kwa Watoto utakaofanyika Mei 26, 2022 kupitia Clubhouse, kuanzia Saa 12:00 Jioni Kushiriki...
  12. JamiiForums Tanzania Watalaam wa mafuta na gesi Tanzania waishauri serikali juu ya ongezeko la bei za mbolea, mafuta ya petroli na dizeli nchini

    Watalaam wa mafuta na gesi Tanzania: Waishauri serikali juu ya ongezeko la bei za mbolea, mafuta ya petroli na dizeli nchini. Kuhusu kupanda kwa bei za mafuta ya petroli na dizeli, mtaalam wa mafuta na gesi Bwana Elia Wilinasi amesema mafuta ndio nishati inayoendesha injini ya uchumi wa dunia...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Wataalam, tafadhali naomba kujuzwa jambo lifuatalo:

    Nakumbuka nilipokuwa na umri wa miaka 6 hivi, niliwahi kuugua sana sana. Baada ya muda, kuona kwangu kukawa kwa ajabu. Nilikuwa naona vitu viwiliviwili quite exactly! Kama mapacha waliozaliwa kutokana na yai lililogawanyika, kiasi kwamba mlangoni nilikuwa najigonga kwa kukosea mlango. Kila...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa wataalam wa sheria masaada unahitajika

    Habari wadau, natumai mko vizuri.... Iko hivi, kuna mshkaji wangu mmoja hivi yeye yuko mwanza huko. Juzi jumaatatu alitangaza kuuza simu yake kwenye mtandao flani wa hapa bongo. Sasa anasema ni watu wengi waliipenda Ile simu Ila kikwazo ni kwamba walikuwa wakiuliza kama ana risiti ya simu...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa matibabu wa China waleta matumaini kwa wenye matatizo ya macho Burundi

    Kikundi cha 20 cha madaktari wa China kilichotumwa nchini Burundi hivi karibuni, sasa kinaendelea kuwafanyia watoto upasuaji wa macho bila malipo katika mpango wa msaada wa matibabu Mkoa wa Giheta katikati mwa Burundi. Katika utekelezaji wa mpango huo ulioanza mapema Aprili, wagonjwa 47 wenye...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Jumanne Kishimba: Asilimia 90 ya wataalam wetu wanajua kusoma na kuandika ila hawana maarifa

    Akichangia bungeni leo mbunge huyo wa kahama ameshangazwa na namna wataalamu wetu wanaacha mambo ya kuwasaidia wananchi na kuiga mambo na kufanya kwa kufuata mkumbo badala ya kutumia akili zao kufikiri namna ya kuwarahisishia maisha wananchi. Ametoa mfano wa baadhi ya mambo yanayofanywa bila...
  17. JamiiForums Tanzania Ripoti madai ya sumu Mto Mara zina utata, zimetofautiana, wataalam wamezichambua

    Juzi kati niliona memba humu JF akiandika juu ya taarifa za kemikali zenye sumu kutoka mgodini zilivyoharibu mazingira kwenye Mto Mara na kusababisha vifo vya samaki na pamoja maji kuwa meusi. Baadaye habari hiyo ikasambaa na kuwa kubwa mwisho Serikali ikiingilia kati na kufanya uchunguzi...
  18. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Tiba Mbadala walinipima wakaniambia sina ugonjwa ila nina upungufu wa nguvu za kiume

    Habari wakuu? Samahani, kiukweli mimi huwa nasumbiliwa na ugonjwa nisio ufaham ambapo kila baada ya miezi kadhaa naugua ugonjwa dizaini ya malaria na huu ugonjwa umenianza tangu nina almost miaka 5. Na kila Hospital ninayoenda kupima naambiwa sina ugonjwa (Kuhusu hili unaweza nipa ushauri)...
  19. JamiiForums Tanzania Wataalam wa ujenzi, hii nyumba inaweza kugharimu kiasi gani?

    Wataalam wa ujenzi hii nyumba inaweza kugharimu kiasi gani nimeipenda.
  20. J

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kupata ajira kwa wataalam wa afya na suluhisho

    Habari wanajamvi Tangu miaka michache iliyopita kulitokea changamoto ya upatikanaji wa ajira kwa wataalamu wa afya, na sasa tumefika mashala ambapo mtu anapomaliza internship, anarudi nyumbani na kukaa muda mrefu, hata miaka bila kuitwa hata kwenye usaili wa kazi nyingi ambazo ameshaomba. Hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…