utajuaje kama callibration ya valves ipo sawa au haipo sawa,kwa sisi ambao sio mafundi,ila gari zetu zinabugia sana wese.Valve zina control hewa inayoingia na kuoka kwenye engine..so valve zipo timed ni wataki gani hewa iningie na wakati gani hewa iwe blocked ili compression itokee na na wqkati gani iwe open kuruhusu burnt westes zotoke kwa njia ya exhaust pipe..
Sasa valve zikiwa timed inavotakiwa maana yake haitakua inaruhusu leakage ya hewa so air mixture ratio kwakila cylinder itakiwa ipo kwenye level inayotakiwa, so ikitokea kwa nanmna yoyote valve hazipo synchronized vizur na crankshaft basi leakage ya hewa inatokia na injini itaanza kula mafuta na inakua vibration.
Hapa sijajua calibration ipi ya valve unazungumzia.utajuaje kama callibration ya valves ipo sawa au haipo sawa,kwa sisi ambao sio mafundi,ila gari zetu zinabugia sana wese.
shukrani mkuuHapa sijajua calibration ipi ya valve unazungumzia.
Sijui kama ni Valve clearance au Timing.
Ila simply kama fundi ni ngumu kujua.
Timing ikihama kwenye engine cylinders zote zinakuwa na relative low compression.
Pia kama kuna ishu yoyote kwenye valve, ambayo inapelekea hewa kuleak. Ukifanya dry na wet compression tests majibu huwa yanakuja sawa kwa specific cylinder. Wakati wet inatakiwa kuwa kubwa.
Ukifanya compression leak down test, tegemea kukutana na leak ya hewa kwenye intake au exhaust manfold kulingana na ishu ipo kwenye intake valve au exhaust valves.
Kuhusu valve clearance hapo ndio either engine itakuwa na vibrations sana clearance ni ndogo au itakuwa haina nguvu kama clearance ni kubwa. [Hapa sina utaalamu sana].
16 valves inamaana engine yako ina valve 4 kwa kila cylinder. Idadi ya vavlve inaweza isiwe na uhusiano na ulaji wa mafuta... kama engine yako inakula mafuta kuliko kawaida, ni vizuri ukaenda kwa fundi aangalie tatizo ni lipi.Habari wakuu, naomba ufafanuzi gari yangu ni aina ya wish cc 1700 ina 16 valves, sasa hizi valves zina uhusiano gani na uendaji wa mafuta?
Umekibu vizuri aana mkuu asanteHapa sijajua calibration ipi ya valve unazungumzia.
Sijui kama ni Valve clearance au Timing.
Ila simply kama fundi ni ngumu kujua.
Timing ikihama kwenye engine cylinders zote zinakuwa na relative low compression.
Pia kama kuna ishu yoyote kwenye valve, ambayo inapelekea hewa kuleak. Ukifanya dry na wet compression tests majibu huwa yanakuja sawa kwa specific cylinder. Wakati wet inatakiwa kuwa kubwa.
Ukifanya compression leak down test, tegemea kukutana na leak ya hewa kwenye intake au exhaust manfold kulingana na ishu ipo kwenye intake valve au exhaust valves.
Kuhusu valve clearance hapo ndio either engine itakuwa na vibrations sana clearance ni ndogo au itakuwa haina nguvu kama clearance ni kubwa. [Hapa sina utaalamu sana].
Gari kula wese ni mkusanyiko wa factors nyingi..mkuu unawenza anza na simple diagnosis...kama unafundi mzuri anaejua tumia diagnosis machine na kutafsiri vizuri live data mwambie apime kitu kinaitwa fuel trim..aangalie je injini ina run very rich? Hapo utapata pa kuanzia..utajuaje kama callibration ya valves ipo sawa au haipo sawa,kwa sisi ambao sio mafundi,ila gari zetu zinabugia sana wese.
Hii ni Nissan Xtrail yenye engine QR20DE,Gari kula wese ni mkusanyiko wa factors nyingi..mkuu unawenza anza na simple diagnosis...kama unafundi mzuri anaejua tumia diagnosis machine na kutafsiri vizuri live data mwambie apime kitu kinaitwa fuel trim..aangalie je injini ina run very rich? Hapo utapata pa kuanzia..
Sometimes things can be oxygen sensor, unaweza air cleaner ni chafu sana so no enough air kwenye intake manifold, or MAF sensor inaahida, or or exhaust system inashida..from catalytic converter, au exhaust pipe labda imetoboka mahala labda kuna leakage ya back pressure.. inaweza kua ni spark plugs..au inaweza kua ni driving yako ndo ipo aggressive hauachi gari ika attain speed mdogo mdogo.., au unaendesha gari ikiwa na tairi zenye upepo below PSI 30, au unaweza kua leaking injectors..
Isssue za valves na compression kiujumla hiv ni vitu vikubwa sana kwenye injini, yaan mpaka injini kufika huku kiasi cha kuanza kula mafuta because of any reason inayosababisha low compression ujue injini inakua imefika wakati wa kua overhauled au kua replaced..so anza na vitu vidogo vidogo kuviangalia kama nilivo vitaja hapo juu..hasa pima fuel trim ili upate wapi pakuanzia... Asante.
Ila kama itafika wakati wa kucheck compression, fanya compression test both dry and wet uone pressure values unazopata je zipo within manufacturer spec for that particular engine or zipo out of range..
Naam lazima vibration iwekubwa kwakua variation ipo out of range...pia utakuta hata fuel consumption haipo vizuri kwakua engine haipo efficient,, Sasa ukikuta fundi kanjanja unampelekea gari kama hii atibu asee utanunulishwa mavitu mpaka ujute yet problem won't be solved.Hii ni Nissan Xtrail yenye engine QR20DE,
Hii ni first cylinder iko na around 200psi.
View attachment 2340239
Hii ni 4th cylinder iko around 165psi
View attachment 2340240
Kutoka kwenye maintenance data za hiyo engine
Standard ni 170psi
Minimum ni 144psi
Pia differential coefficient ya compression baina ya Cylinder moja na nyingine haitakiwi kuzidi 14psi.
Hiyo engine ina vibrations ambazo haziishi.
Tofauti ya compression hapo kwenye hizo picha mbili ni almost 35psi. Hii ndio sababu ya hizo vibrations.