wapinzani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Siasa ya Afrika inaongozwa na njaa. Hata wapinzani wanatumwa na njaa

    Nimejaribu kufanya tathimini fupi ya namna siasa za bara letu zinavyofanyika, inasikitisha kwamba msukumo mkubwa wa watu kuingia kwenye siasa ni njaa tu. Nimejaribu kuangalia mataifa yaliyojaribu kubadili vyama, ukweli ni kwamba hakukuwa na jipya malalamiko ya wananchi yalibaki pale pale...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali ya kijeshi ya Chad imetoa msamaha kwa karibu waasi 300 pamoja na wapinzani

    Serikali ya kijeshi ya Chad imetoa msamaha kwa karibu waasi 300 pamoja na wapinzani, ikiwa hatua kubwa kuelekea shinikizo kutoka kwa makundi ya upinzani yaliyoalikwa kuhudhuria kikao cha pamoja cha kujadili hatima ya kisiasa ya taifa hilo lenye matatizo. Kwa mujibu wa shirika la habari la...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Sisi tuliochagua wapinzani tumekatiwa umeme na maji. Vipi upande wenu huko majimbo yanayopendwa na serikali?

    Hahahahahaa!! Inabidi nianze uzi kwa kicheko. Tumepitia kipindi kigumu kama nchi. Licha ya kuwashauri kwa muda mrefu kwa kurudia rudia tukidhani wanatuelewa wakashupaza shingo. Leo Rais Samia, Makamu wa Rais na makundi yake yote hawawezi kukwepa mdororo huu wa maji na umeme. Tumerudi mwaka...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini wapinzani Tanzania wanatamani kufanya siasa kwenye mazingira laini bila kuyalainisha!?

    Mapambano ya kisiasa hayajawahi kuwa rahisi mahali popote duniani na hii ni kutokana na ukweli kwamba inakupa madaraka makubwa sana kwa njia nyepesi tu yaani kushawishi watu wakuunge mkono. Ni kutokana na ukweli huo ndio maana ni kazi ngumu sana kumtoa madarakani anayetawala hivi sasa, kuliko...
  5. happyxxx

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli bado anawanyima usingizi wapinzani wa Tanzania

    Historia imeandikwa na hakuna anaeweza ifuta kwamba John Pombe Magufuli ni rais bora kabisa kuwahi kutokea Afrika. Dunia nzima na Watanzania wote wanajua namna alivyoipenda nchi yake na namna alivyowapigania Watanzania haswa wale wa hali ya chini. Hii ni kitu hakuna anaeweza kuja kuifuta hata...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Balozi Tsere ataka Rais Samia kukaa na Wapinzani kama Kikwete ili kujadili Katiba Mpya

    Balozi mstaafu, Patrick Tsere amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kukutana na kufanya mazungumzo na wadau wanaotaka Katiba mpya ili kupata mwafaka wa kitaifa. Kauli ya Tsere, aliyewahi kuwa balozi wa Tanzania nchini Malawi imekuja wakati kukiwa na harakati mbalimbali za madai ya Katiba, huku...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ukistaajabu ya Musa utaona ya Bunge kuoneshwa LIVE leo bila uwepo wa wapinzani bungeni

    Nimeona kwenye mitandao mbalimbali watu wakianza kusifia serikali ya awamu hii kuruhusu bunge live kama njia moja wapo ya kusahihisha makosa yaliyokuwa yanafanywa na serikali ya "Mwendazake". Jambo ambalo pengine hao wasifiaji wanatakiwa kuelewa kama kweli "hawajatumwa" kuwa kilichosababisha...
  8. mshale21

    JamiiForums Tanzania Amani Karume: Nilishangaa wana-CCM wenzangu wanahofia wapinzani kushinda, Uchaguzi 2015 Zanzibar nilisikitika, niliwauliza hawa wenzetu si Watanzania?

    Rais Mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume amesema miongoni mwa mambo yaliyowahi kumsikitisha ni kuitishwa kwa uchaguzi wa marudio mwaka 2015, wakati wakiwa kwenye kikao cha kujadili yaliyotokea katika uchaguzi huo akisema yeye alikuwa miongoni mwa wajumbe wa CCM waliokuwa wakifanya...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Manara ifanyiwe kazi; kwanini Yanga & Simba hawezi shinda bila kubebwa kwa penati na kadi nyekundu kwa wapinzani wao?

    Nilikuwa naangalia mechi baina ya Yanga na Ruvu na mpira ulikuwa umebalance huku Ruvu wakimiliki mchezo vyema hadi pale referee kwa mapenzi binafsi alipoamua kuharibu mpira kwa kuwazawadia Yanga penati ya bure bila kufuata kanuni 17 za mpira wa miguu achilia mbali kumtoa nje mchezaji wa Ruvu...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kununua wapinzani kumeisaidia nini CCM?

    Hii biashara ilipokuwa imepamba moto, MATAGA walifurahia sana wakiamini CHADEMA itakufa kutimiza azima ya mwenyekiti wao(Mwendazake). Tulishuhudia wimbi la baadhi ya madiwani, wabunge na wanachama wa CHADEMA wakihamia CCM huku baadhi wakipokelewa kwa mbwembwe kama zile Bombardier au wafalme...
  11. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Wanaosema miaka mitano ya Magufuli wapinzani waliufyata na sasa wanamwonea Mama nadhani hawana kumbukumbu

    Kuna baadhi ya watu,hasa Watu wa CCM, mara baada ya Mbowe kutekwa na kufunguliwa mashitaka ya ugaidi kwa sababu tu kadai katiba mpya walisikika wakisema,Mbowe acha akome, kwa sababu miaka yote mitano ya Magufuli alikua kimya sasa kaja Samia ana/Wana muonea,wakati wa Magufuli waliufyata. Wale...
  12. CCM Music

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo huko CCM watakavyojutia matendo yao waliyowatendea wapinzani..!

    Hivi sasa huko Marekani kuna mijadala inaibuka kwa kasi sana kwamba: Kwenye mifumo ya shule zao kuwepo na mafundisho kuhusu 'Slavery' ama kwa kifupi kuhusu Civil Rights Movements na hata kuhusu Dr. Martin Luther King Jr. Sasa moja ya hofu kuu kwenye hili ni kwamba: Wazungu na hasa watoto wa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wa nchi hii Uchaguzi huru na haki ni mpaka nyie mshinde? ACT- Wazalendo Konde mmeshinda kwa Tume gani ya Uchaguzi?

    Hivi upinzani wa nchi hii Uchaguzi huru na haki ni mpaka nyie mshinde tu | Je! ACT- Wazalendo Konde mmeshinda kwa tume gani ya Uchaguzi? Hongera Rais Samia kwa kusimamia demokrasia nchini "Hakuna kama Samia " Upinzani wa nchi hii umekuwa ukipoteza sifa ( credibility ) siku baada ya siku...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Lile Jambo kutoka kwa Rais Samia ni Leo, tega masikio yote mawili

    Bwana Yesu asifiwe wapendwa. Kama tulivyokwishatangaziwa na Mwenezi wa CCM komredi Shaka kuwa leo Rais Samia atakuwa na jambo letu. Tega sikio hapa hapa bwashee. Nawatakia Dominica yenye baraka!
  15. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Taliban kujadiliwa na UN ili kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa

    The Taliban wants its envoy to address the annual United Nations General Assembly’s high-level meeting of world leaders this week, a UN spokesman said on Tuesday, raising the question of who should represent Afghanistan in the intergovernmental organisation. The Taliban, which captured power on...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Wapinzani tusimamie sera za Hayati Magufuli zitatulipa

    Kwa kifupi awamu ya 5 ilisimamia sera zetu wapinzani tulizozisimamia kwa muda mrefu tofauti iliyokuwepo ni kwamba tofauti za kisiasa zilifanya awamu hiyo itushambulie na sisi wapinzani. Ni wakati sasa kwa wapinzani kurejea katika sera zetu za kumkomboa Mtanzania mnyonge kwa kusimamia rasiliamli...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Wapinzani na wazalendo wa nchi hii anzisheni chama kipya chenye sura ya kitaifa mtafanikiwa kuungwa mkono na wananchi kipindi hiki muhimu sana!

    Nasema hivo kwa sabau zifatazo:. •CCM imekuwa madarakani tokea kaundwa kwake mwaka 1977 na kwa sababu hiyo kutokana na hurka za wanadamu kimeonesha kupoteza ushawishi kadri siku zinavoenda. •CCM kukosa sera au kupungukiwa mawazo mbadala kutokana na mfumo wake ila kwa sasbubu CCM inamuundo...
  18. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia nchini Marekani, wapinzani wakichezesha vizuri karata zao za diplomasia itasaidia sana kurejesha Demokrasia

    Najua mfumo tulionao umewaumiza Sana na kuwatupa nje ya keki ya taifa. Hivyo hawaumii tu Kama sisi raia wa kawaida Ila wao uumia Mara mbili. Shida wapinzani wanaamua Mambo kwa hasira na kushindana. Raisi anaenda Marekani kwenye mkutano. Na Kama mjuavyo washauri wake ambao naamini NI wacomunisti...
  19. B

    JamiiForums Tanzania CCM na Serikali wengi wanasikiliza, kusoma na kufuatilia akaunti za wapinzani na activists kuliko akaunti zao

    Hakuna akaunti yoyote ya mitandao ya kijamii inayomilikiwa na serikali, Wana CCM na Watumishi wa serikali ambayo ipo active kwenye mijadala na inayopata usomaji na uchanguaji wenye afya. Wakati huo huo tunaambiwa wananchi wengi na watu wengi walioelimika na kuwa na uwezo wa kifedha wapo...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna wakati mwingine wowote zaidi ya sasa wapinzani kuchukua nchi kama kungekuwa na wapinzani wa kweli

    Kama tungebahatika hata kupata chama kimoja tu kinachojiendesha kitaasisi hapa Tanzania, 2025 tunge zungumza mengine, maana kilamtu leo anajua kuwa CCM inakuna nazi. Lakini lolote linaweza tokea kwani mama tayari amesema kunavijicho choko ndani tena vinapitia kwenye vijigazeti vya Uhuru.
Back
Top Bottom