Ukistaajabu ya Musa utaona ya Bunge kuoneshwa LIVE leo bila uwepo wa wapinzani bungeni

kasenene

JF-Expert Member
Jun 6, 2008
1,632
2,413
Nimeona kwenye mitandao mbalimbali watu wakianza kusifia serikali ya awamu hii kuruhusu bunge live kama njia moja wapo ya kusahihisha makosa yaliyokuwa yanafanywa na serikali ya "Mwendazake".

Jambo ambalo pengine hao wasifiaji wanatakiwa kuelewa kama kweli "hawajatumwa" kuwa kilichosababisha bunge kurudishwa "live" ni baada ya kubakia wao tu bungeni (wanalumumba) na kwamba hawawezi kuibua hoja zenye mashiko au kuikosoa serikali zaidi ya kumsifia Mh. Rais.

Kwa msemo wa Kiswahili ni kwamba wameruka mkojo na kukanyaga, hakuna jipya kwa ufupi.
 
Mimi nitauita huo ni weledi wa Kitanzania wakileo, au weledi wa wazalendo maslahi binafsi.
 
Mimi nitauita huo ni weledi wakitanzania wakileo, au weledi wa wazalendo maslahi binafsi.
Kwa mtu mwenye akili zake hawezi kulichukulia hili jambo kwa +bali atajiuliza maswali mengi sana.

Kwanini leo hii ndiyo wameona huo umuhimu wa kuonyesha live hilo bunge.

Je yale mambo yaliyo sababisha bunge kuendeshwa gizani yameenda wapi?
 
Sababu zilizotolewa na serikali kuzima bunge!
1.Bunge live ni gharama Dana
2.Bunge live kinafanyika watu wasifanye kazi!

Ajabu ni kuwa sasa watu wamelipuuza bunge!Wao wenyewe wanatamani watu walifuatilie bunge kama zamani
Inawezekana leo katokea mfadhili wa kulipia hizo gharama na sasa hivi tanzania ni matajiriii sana
 
CCM mamtu ya ovyo sana, yaliiba uchaguzi nchi nzima bila aibu, yana bahati watanzania ni waoga/wastaarabu la sivyo yanapoelekea yanaweza kufanya bongo iwe worse kuliko Mogadishu, na yalivyo mapuuzi yanafikiri yatakuwa safe kuliko wengine
 
Back
Top Bottom