Kununua wapinzani kumeisaidia nini CCM?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
Hii biashara ilipokuwa imepamba moto, MATAGA walifurahia sana wakiamini CHADEMA itakufa kutimiza azima ya mwenyekiti wao(Mwendazake).

Tulishuhudia wimbi la baadhi ya madiwani, wabunge na wanachama wa CHADEMA wakihamia CCM huku baadhi wakipokelewa kwa mbwembwe kama zile Bombardier au wafalme.

MATAGA na viongozi wao walivimba vichwa, wakanyanyua mabega na kuamimi mwisho wa CHADEMA umefika kumbe akili zao zilikuwa fupi.

Leo hii wamehamishia hasira kwa mwenyekiti wakiamini- kwa ujinga ule ule- kuwa wakimfunga mwenyekiti,, ndio CHADEMA itakufa, ila wajue tu wanajidanganya na muda utawaumbua tena.

Tunawasubiri tena katika hili la.kumuweka ndani mwenyekiti tuone mta-achieve mini zaidi ya aibu na fedheha.

Watakufa watu sio CHADEMA maana Mungu ana mpango na watanzania kupitia chama hiki.Hvyo mtasubiri sana kuiona CHADEMA inakufa.

Leo mmehamia kwa Mbowe!Tunawachora tu.
 
Kumeisaidia CCM kushinda kwa kishindo cha sunami. Ebu angalia mwenyewe ushahidi wa picha afu upime na matokeo ya kura. Yan Lisu pamoja na kujifanya anaishi ubeberuni lkn kashindwa strategy hata na mzee Lowasa wa huko Monduli umasaini!

images (19).jpeg


images (14).jpeg
Hapo juu 👆 ni mikutano ya m'beleji alietoka ulaya aje tumpe nchi kiulaini waitumbue yeye na beberu wake Amsterdam. Na hapa chini ni sunami la mzalendo wa kweli alietoka chato hapa hapa Tz akiomba watanzania tumpe dhamana ya kututumikia zaidi ya alivyotutumikia awamu ya kwanza 👇

images (41).jpeg


images (40).jpeg
Hapo mwisho kabisa ni mafuriko ya mzee Lowasa alietumwa na CCM aende akazigawe kura za upinzani ili CCM iendelee kuwa kidede katika chaguzi mbali mbali. 👇

images (13).jpeg


images (11).jpeg
Kifupi hii ndio iliyokuwa sababu iliyomfanya Lisu akimbilie ulaya kuficha aibu ya kilichotokea maana aliwaaminisha misukule yake na mabeberu kwa ujumla kuwa anakuja kuchukua nchi kiulaini ili awaite mabeberu waje kujichotea rasilimali zetu. Bahati nzuri watanzania wakampuuza kuanzia mwanzo wa kampeni mpaka mwisho.
 
Kumeisaidia CCM kushinda kwa kishindo cha sunami. Ebu angalia mwenyewe ushahidi wa picha afu upime na matokeo ya kura. Yan Lisu pamoja na kujifanya anaishi ubeberuni lkn kashindwa strategy hata na mzee Lowasa wa huko Monduli umasaini!
...
Hata Shetani anakushangaa!
 
Back
Top Bottom