wapinzani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uncle Araali

    JamiiForums Tanzania Wapinzani nendeni taratibu na Rais Samia

    Nianze kwa kunukuu usemi wa wahenga usemao "Mjusi ukimkimbiza sana hugeuka na kuwa nyoka". Maana huru ya usemi huu ni kuwa mtu hata akiwa mwema au mpole kiasi gani,ukimchokoza sana anaweza kubadilika na kuwa mbaya sana. Niseme wazi kuwa kwa sasa Tanzania inahitaji katiba mpya kuliko katika...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dhana ya mikutano ya hadhara kufanyika majimboni vipi wapinzani wasiokuwa na madiwani na wabunge

    Katiba ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 ambayo mh rais aliapa kuilinda inatoa nafasi ya vyama vyote kufanya mikutano ya hadhara kuzungumza na wanachama wao. Kauli ya mama ya kwamba mikutano ya hadhara kwa sasa hapana na inaruhusiwa kwa mbunge au diwani afanyie Jimboni kwake...
  3. Memento

    JamiiForums Tanzania Tutakukosoa tu, hakuna aliyelazimisha uwe Rais. Sikiliza wapinzani tunataka nini

    Ukisikiliza tena kwa makini ni kama naye hapendi kukosolewa. Anasema kabisa sio na kigazeti chako mara uandike samia hivi mara vile, vingine vya uongo vingine vya ukweli. Hii kauli inalenga kuwatisha waandishi na wakosoaji. Siku 100 tu unaanza kuona kwamba kukosolewa kunauma je miaka mitano...
  4. funaku

    JamiiForums Tanzania Katika siku 100 za Rais Samia wapinzani mmetendewa haki sasa tusisikie kelele

    Katika siku 100 za Rais Samia yapo mengi yaliyokuwa yanalalamikiwa na wapinzani wa CCM yametekelezwa.tunapoelekea katika kukamilisha ilani ya CCM kamwe na sio busara kusikia kelele za kihuni kutoka upinzani badala yake tujikite kwenye mada za maendeleo ya nchi kupitia utekelezaji wa ilani ya CCM.
  5. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Kwa anayoyafanya Rais Samia tumpe mpaka 2035, Wapinzani nao wamemkubali

    Nmefuatilia sana toka achukue uongozi Rais Samia, kiukweli anaonekana kufaa sana. Nimeona Wapinzani nao wanakubaliana sana na maamuzi yake. Ushauri wangu: Huyu Rais tuliye naye sasa apewe nafasi ya kuendelea kuongoza mpaka 2035. Tumeona anaweza na anakubalika. Kwenye nafasi ya Urais Wapinzani...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wapinzani na wanaharakati, andaeni maandamano ya amani kutaka uwazi wa mikataba ukiwemo wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo

    Naomba nitoe wito kwa wanasiasa upinzani pamoja na wanaharakati, waombe kibali cha kufanya maandamano ya amani kushinikiza uwazi wa mikataba ukiwemo mkataba wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Mradi huu ni mkubwa sana na kwa maana hiyo, unaweza kuleta matokeo makubwa kwa nchi yetu ambayo yanawe...
  7. Determinantor

    JamiiForums Tanzania UVCCM: Wapinzani walikwamisha upatikanaji wa KATIBA mpya

    Kwa kumbukumbu zangu, sikumbuki ni lini na kwa namna gani Mbowe, Lipumba na Mbatia walikwamisha "nia njema ya CCM" ya kuunda katiba mpya. UVCCM hebu mjifunze kusoma matukio hata kama mlikua hamjapevuka bado. Msiwe wajinga kupitiliza, siasa ni sayansi na sio uropokaji. Ile sherehe mliyofanya...
  8. JF Member

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wapinzani hawavai Barakoa?

    Naomba sababu, kwà nini Wapinzani wote hawavai Barakoa kwenye mikusanyiko yao? Miezi kadhaa iliyopita tuliona Wanaharakati na Wapinzani wakisisitiza sana watu wavae Barakoa. Naona sasa wamemuachia mama na waandamizi wake.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Napingana na hoja ya wapinzani kuonana na Rais, inafifisha mapambano dhidi ya udhalimu

    Wapinzani kukutana na Rais nikubariki adhabu inayotolewa na watawala dhidi wa wananchi. Naaamini wapinzani wanapofanya siasa bila kuweka mashirikiano na utawala uliopo wanakuwa na nguvu kubwa yakuikosoa serikali na kuwasemea wananchi kuliko kwenda kupeana mikono kusiko kuwa na tija kwa Taifa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Waziri Simbachawene, 'mortgage plan' kwa wafanyakazi wote wa Serikali ndiyo suluhu ya muda mrefu

    Ameandika hivi kupitia Twitter: Waziri Simbachawene, kuwapatia Polisi viwanja vya ujenzi wa nyumba, utekelezaji wake ni mgumu. Muhimu ni kuongeza masilahi bora kwa Polisi na Serikali ije na mortgage plan kwa wafanya kazi wote,ili mtu aamue anataka kuishi/kustaafu wapi. Mortgage plan ya muda...
  11. MR BINGO

    JamiiForums Tanzania 2021 - Oktoba 2025: Muda mwafaka wa wapinzani nchini Tanzania kujijenga ili kufanya mageuzi ya kisiasa

    Salaam wana jamvi, Twende kwenye mada tajwa moja kwa moja. Tukianza na utawala wa awamu ya tano wa John pombe magufuli ambako tulishuhudia mtikisiko mkubwa wa upinzani nchini Tanzania ambao uliosukumwa na matumizi mabaya ya demokrasia hayo yalithibitishwa kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020...
  12. nashicha

    JamiiForums Tanzania Ole Sabaya asomewa Mashtaka Sita (6) kwa Uovu aliotenda Hai. Aenda Rumande hadi Juni 18

    Aliyekuwa mkuu DC wa Hai amesomea mashaka yake sita UHUJUMU UCHUMI UJAMBAZI KWA SILAHA KUTAKATISHA FEDHA NK AMEKWENDA RUMANDE MPAKA TAREHE 18/6/2021 ======= Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya (34) na walinzi wake watano wamefikishwa katika Mahakama ya...
  13. Bams

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akifanya haya, Wapinzani watakuwa na wakati mgumu

    Matatizo mengi ya Tanzania, kwa kiasi kikubwa yanasababishwa na uongozi mbaya unaolindwa na sheria mbaya na Katiba mbovu. Rais Samia, kwa dhamira yake, anaonekana ni mtu anayependa haki - hili amelitamka mara kadhaa. Rais Samia anapenda demokrasia ya vyama vingi - hili alilitamka hata kule...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Wapinzani waendelee kuhakikisha inapatikana Tume Mpya ya Uchaguzi kabla ya 2022 au 2023

    Waacheni CCM waseme usiku watalala huku upinzani hakuna kulala; tunafahamu Samia hagombei, hili halina utata anawaachia Watanganyika zigo lao. Timu zilizopo CCM ni nyingi na kila moja ina mtu wake agombee urais, mjue ndani ya CCM kuna mito kama iliyopo ndani ya bahari na mingine ni mikondo ya...
  15. JF Member

    JamiiForums Tanzania Baada ya kifo cha Magufuli, Wapinzani walituaminisha chuki zitaisha kumbe bado?

    Kuna msemo unaosema, asifuye mvua imemnyea. Wakati wa Hayati Dkt. Magufuli, CHADEMA walikuwa na propaganda kali sana kwamba Magufuli ameshindwa kuleta umoja kwa taifa. Kwa vile Mara nyingi wanalalamika kwenye mitandao mambo yao yakaenda hadi nje ya nchi. Kuna wengine hadi wakaomba uhamisho kwa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya yaja, somo la awamu ya tano linatosha

    Katiba mpya itaundwa tu. Utawala wa awamu ya 5 ndiyo umeleta chachu na hamu ya uhitaji wa kuundwa kwa Katiba mpya. Kila kundi katika jamii linahitaji Katiba mpya. Wanaccm, Wapinzani, Wanaharakati, n.k. Wananchi wa makundi mengi katika jamii hawakufurahishwa na mwenendo wa mwendazake lakini...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Wapinzani msije mkaingia au kuingizwa chaka, CCM ni ile ile

    Hii ni mbiu ya mgambo kwa upande wa Upinzani, msilegeze kamba katika kuhakikisha madai ya tume huru na iliyobora inapatikana sambamba na Katiba mpya, hayo ya CCM ya kutumbuana kuhamishana, kusifiana kukandiana hayo ni yao na yawachwe kama yao. Leo mnasema au inasemwa ndani ya CCM kuna...
  18. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi ungefanyika sasa, Samia Suluhu angepata 98% ya kura zote maana wapinzani wote wanamsifu

    HAPA KAZI TU IENDELEE. Leo nataka niwape fact moja Kuhusu Kujifia kwa Upinzani a natural death baada ya Mama Samia Kuchukua Nafasi ya Hayati JPM. Kama ungeitishwa uchaguzi Leo hii, Mama Samia angemshinda Lissu kwa Zaidi ya 98% na hapo angemtibulia kabisa Dili lake la kuwekwa Unyumba huko...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Kiongozi Mshamba wa UVCCM Tarime atangaza kipigo kwa wapinzani, wala hajaguswa na Polisi

    Ushahidi huu hapa .
  20. Jackwillpower

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani vinamsakama Zitto kabwe kwa kushiriki uchaguzi mdogo Muhambwe na Buhigwe

    Chadema walisusia uchaguzi jimbo la Lazaro Nyalandu Singida kwa madai ya Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya Wakaja kushiriki Uchaguzi ndogo wa Kinondoni Wakasusia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Sababu haukuwa na manufaa yoyote kwa mbowe na genge lake...wakaja kushiriki uchaguzi Mkuu ili kupata...
Back
Top Bottom