Siasa ya Afrika inaongozwa na njaa. Hata wapinzani wanatumwa na njaa

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,002
2,000
Nimejaribu kufanya tathimini fupi ya namna siasa za bara letu zinavyofanyika, inasikitisha kwamba msukumo mkubwa wa watu kuingia kwenye siasa ni njaa tu.

Nimejaribu kuangalia mataifa yaliyojaribu kubadili vyama, ukweli ni kwamba hakukuwa na jipya malalamiko ya wananchi yalibaki pale pale kama si kuongezeka.

Mifano ya nchi zilizochagua upinzani:

Malawi, Zambia, Kenya, Uganda nk.
Kwenye mataifa yote hayo walichagua upinzani kwa matumaini makubwa sana lakini upinzani uliposhika hatamu wananchi wakagundua wamedanganywa

Wito wangu tuchape kazi siasa ni ajira kuwashabikia sana wanasiasa kujitoa ufahamu ni kujidhalilisha.
 
econonist

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
466
1,000
Hata TANU CCM ya Sasa kilikuwa chama Cha upinzani kipindi Cha mkoloni. Kwa Sasa wamebaki kutukana nonsense wao kwa wao na ufisadi miaka yote.
 
econonist

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
466
1,000
Lisu na Lema wameolewa Ulaya sababu ya njaa
Ndicho ulichobakiza. Damu ya Lissu inakutesa Sana umebakiza matusi ili ujifariji. Mwisho wa siku muuaji akafa akamuacha Lissu. Kitendo Cha Lissu kupona kilitakiwa kiwe fundisho na kitendo Cha Rais Kufariki mafichoni ni funzo pia . Tukiendelea kujidanganya Kuna fundisho la tatu linakuja ambalo litaacha watu midomo wazi na wengine kutubu na kujuta.
 
Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
3,502

Damu ya chacha wangwe inamtesa gaidi
 
Mr. Sound

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
982
1,000
Nimejaribu kufanya tathimini fupi ya namna siasa za bara letu zinavyofanyika, inasikitisha kwamba msukumo mkubwa wa watu kuingia kwenye siasa ni njaa tu...
hata kama hakuna mabadiliko tunalazimika kuing'oa ccm, hayo mengine yatajulikana mbeleni.
 
finn miles

Member
Dec 24, 2020
97
150
Nimejaribu kufanya tathimini fupi ya namna siasa za bara letu zinavyofanyika, inasikitisha kwamba msukumo mkubwa wa watu kuingia kwenye siasa ni njaa tu...
Hii Ni Africa, vita kubwa tulionayo Ni njaa naufukara kuanzia level ya mtu mmojamoja mpaka kitaifa. Nivzur maamuzi ya kila mmoja wetu yabase kwenye hio factor kua kuanzia ndugu madiwani wabunge Marais mawazir nakila tumjuaye Yuko kwenye vita ya njaa kwaajili ya yeye nakizazi chake sio habar yakumtegeme mtu apigane kwaajili yako.

Iwe Ni sayansi dini siasa au utapeli chochote kitatumika muhimu nimatokeo tuu sio njia utakayo tumia
 
The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,002
2,000
hata kama hakuna mabadiliko tunalazimika kuing'oa ccm, hayo mengine yatajulikana mbeleni.
Yawezekana uko sahihi inategemea una nafasi gani kama ni mtu wa mstari wa mbele kwenye chama fulani unakuwa na uhakika kikishika madaraka na wewe una fungu lako lakini kama unatokea ndolezi/kwenye kimondo kama mimi endelea kulima kahawa kwa nguvu msimu wa mavuno uuze ya kutosha
 
Nazgur

JF-Expert Member
Apr 19, 2020
3,576
2,000
W
Ndicho ulichobakiza. Damu ya Lissu inakutesa Sana umebakiza matusi ili ujifariji. Mwisho wa siku muuaji akafa akamuacha Lissu. Kitendo Cha Lissu kupona kilitakiwa kiwe fundisho na kitendo Cha Rais Kufariki mafichoni ni funzo pia . Tukiendelea kujidanganya Kuna fundisho la tatu linakuja ambalo litaacha watu midomo wazi na wengine kutubu na kujuta.
Wewe ndo mtoa roho,
Hata wewe zamu yako inakuja utainama tu.
 
Mr. Sound

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
982
1,000
Yawezekana uko sahihi inategemea una nafasi gani kama ni mtu wa mstari wa mbele kwenye chama fulani unakuwa na uhakika kikishika madaraka na wewe una fungu lako lakini kama unatokea ndolezi/kwenye kimondo kama mimi endelea kulima kahawa kwa nguvu msimu wa mavuno uuze ya kutosha
hawa ccm waliojipa kazi ya kuuza raslimali za nchi kwa maslahi binafsi hawatufai hata kidogo, ni bora kuweka utawala mpya hata kama watakua wabovu.
 
The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,002
2,000
hawa ccm waliojipa kazi ya kuuza raslimali za nchi kwa maslahi binafsi hawatufai hata kidogo, ni bora kuweka utawala mpya hata kama watakua wabovu.
Kwani una uhakika gani kwamba wao hawatauza!? Siji kusahau kijana mmoja alisafiri kwa baiskeli umbali mrefu sana akiwa amevaa skafu na sare za chama fulani pinzani alafu ilikuwa safari ya kutwa nzima akiwa amejaa mabango na mabandiko ya mgombea fulani yaani humwambii kitu, ila baada ya kuikosa nafasi yule mgombea akakikacha chama
 
Mr. Sound

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
982
1,000
Kwani una uhakika gani kwamba wao hawatauza!? Siji kusahau kijana mmoja alisafiri kwa baiskeli umbali mrefu sana akiwa amevaa skafu na sare za chama fulani pinzani alafu ilikuwa safari ya kutwa nzima akiwa amejaa mabango na mabandiko ya mgombea fulani yaani humwambii kitu, ila baada ya kuikosa nafasi yule mgombea akakikacha chama
unadhani wazalendo kama nyerere nchini wameisha? huo mtindio ubongo wa kuamini na wengine wataiba akati hawajepewa madraka ndo kunafanya ccm waendelee kufanya watakavyo
 
citizensindevelopment18

JF-Expert Member
Apr 1, 2020
1,157
1,500
Nimejaribu kufanya tathimini fupi ya namna siasa za bara letu zinavyofanyika, inasikitisha kwamba msukumo mkubwa wa watu kuingia kwenye siasa ni njaa tu.

Nimejaribu kuangalia mataifa yaliyojaribu kubadili vyama, ukweli ni kwamba hakukuwa na jipya malalamiko ya wananchi yalibaki pale pale kama si kuongezeka.

Mifano ya nchi zilizochagua upinzani:

Malawi, Zambia, Kenya, Uganda nk.
Kwenye mataifa yote hayo walichagua upinzani kwa matumaini makubwa sana lakini upinzani uliposhika hatamu wananchi wakagundua wamedanganywa

Wito wangu tuchape kazi siasa ni ajira kuwashabikia sana wanasiasa kujitoa ufahamu ni kujidhalilisha.
Umenena
 
Ze Bulldozer

JF-Expert Member
Jun 12, 2020
730
500

Unahoaja ya msingi sana,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom