wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Hivi yule Tapeli Nicholaus Musonye na bonanza lake la Cecafa amefia wapi?

    Musonye anastahili kuitwa tapeli, huyu ndio aliyeiuwa Cecafa ambayo miaka ya nyuma wakati Katibu akiwa Mganda Cecafa ilibamba sana. Musonye kwa kuonesha kwenye Cecafa alichokuwa anajali yeye ni pesa tu alifikia hatua Yale mashindano kuyafanya yawe yanafanyika Tanzania tu na ili apige mpunga...
  2. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Bashe na kilimo chake? 'DPWedi' kila wizara!

    Sakata la bandari limeibua yote nyuma ya mipango ya rais na waarabu. Bandari waarabu, Ngorongoro waarabu, na BBT ya bashe waarabu. Wakati tunapinga mipango ya Bashe kwa kuacha mipango ya wizara wengine walimuona ni star, ana maono kumbe yote hiyo ni mbwembwe kuwafurahisha waarabu ambao ndo...
  3. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Mipango miji: Sehemu za wazi kufanyia mazoezi hasa calisthenics zipo wapi?

    Habari wana JF Juzijuzi tu tumesikia taarifa mbaya ya watu kugongwa na gari wakiw wanafanya mazoezi barabarani. Maoni ya wadau yakawa mengi mbalimbali. Mi nina swali kwa wapangao miji. Kutokana na ongezeko la urahisi wa kazi maofisini. Watu wengi zaidi wanaingia kwenye kutakiwa kufanya...
  4. Unasemeje

    JamiiForums Tanzania Picha: Ulikuwa Wapi Enzi za Shujaa Huyu?

  5. N

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kufunga Flat TV ukutani

    Wakuu kwema nyote, naomba nianze tatizo hili kuna jamaa kanunua flat screen na vile vichuma wakampa vya kuvungia ukutani, maana akisema aweke ikae kwenye meza anahofia watoto watasukuma. Sasa anatafuta fundi au jinsi ya kuifunga ukutani afanyeje? Natanguliza shukrani 🙏.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Fedha anazotumia Tulia kwenye kampeni zinatoka wapi?

    Fedha anazotumia Spika wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson kwa ajili ya kampeni ya kuzunguka dunia nzima ili achaguliwe Urais wa Spika wa Bunge la Dunia anazitoa wapi. Ni muda mrefu sasa Spika yuko nje ya nchi na jopo lake la wapambe kumuombea kura nchi mbalimbali kwa gharama za nani? .
  7. Evody kamgisha

    JamiiForums Tanzania Star TV mnakwama wapi? Habari zenu zinaboa sana na hazina mvuto (sio habari za kichunguzi)

    Naleta masikitiko yangu kama mtanzania juu ya kituo Cha habari Cha Star Tv vhenye makao yake Mwanza Tanzania. Hawajui kusoma alama za nyakati. Uandaaji wa habari zao ni wa kiwango Cha chini sana ukilinganisha na vituo vingine vya television nchini. Ukiangalia habari ya Azam ni habari nzuri...
  8. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Konyagi zenye fleva ndani zinauzwa wapi?

    Hivi kuna mtu ambaye amefanikiwa kuonja ladha ya hizi konyagi mpya ambazo zimejaa kwenye mabango barabarani? Maana ni muda mrefu naenda maeneo ila kila nikiagiza haiji yenye ndimu ndani? Hebu tupeane muongozo wadau wapi inapatikana ili nikaonje ladha mpya.
  9. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Nijuavyo! Kuna kesi mbili za wanachi wakiishitaki serikali! Moja tu inasikika, ile ya mkulima na kina makamba imeishia wapi?

    Wakati mawakili wa serikali wakiendelea kunyeshewa mvua ya mawe mahakani kwa mkataba tata wa bandari zetu, shauku yetu kama watanzania na wafia nchi, ningependa kusikia hili la ufujaji wa mapesa yetu walipa kodi Huyu mkulima aliyetangaza kuwafikisha mahakamani mawaziri kadhaa wa serikali kwa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata nguruwe wa nyama kwa Dar?

    Habari ndugu zangu Nataka kuanza biashara ya kuchinja nyama ya nguruwe na kuuza kwa bei ya jumla nyama mbichi Wapi nitapata nguruwe kwa Dar au Pwani?
  11. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Zile propaganda za Sukuma Gang ziliishia wapi?

    Wazee wanasema Ngoma ya watoto haikeshi. Hicho ndicho ninachoweza Kusema. Sisi tulipaza sana sauti kumwambia Samia unaelekea kwenye matope tukaishia kuitwa sukuma gang. Oooh mara Tukazikwe Naye Chato. Watu wazuri hawafi.ujinga Mtupu Kila aliyefungua kinywa na kumsonda kidole Samia aliitwa...
  12. Siri yangu

    JamiiForums Tanzania Nchi yangu Tanzania na wasomi wake wapi tunatamani kufika?

    Mungu ibariki nchi hii na watu wake, Mungu mbariki mmiliki wa mtandao huu na timu nzima ya kazi inayofanywa hapa ili sisi tupate sehemu ya kutolea dukuduku zetu. Ndugu zangu Kwa heshima na taadhima nipo mbele yenu nami kule kero yangu hapa kwa viongozi na wataalamu wetu tuliowapa nafasi...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sakho wa Simba SC tumeshajua Sakho Kauzwa wapi, mbona Mtikisa Manyonyo, Mvaa Bukta Kata 'K na Mjichubuaji' hatuambiwi wameenda wapi?

    Simba SC bado wanaendelea Kuonyesha jinsi gani wanaelekea pazuri kuwa Klabu yenye Uweledi. Tayari Mchezaji Sakho wa Simba SC tumeshajua Kauzwa wapi ila kwanini Mtikisa Manyonyo, Mvaa Bukta Kata K na Mjichubuaji si tu hawaonekani bali hata hatutangaziwi Hatima zao wakati Wafuatiliaji wa Masuala...
  14. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mchango wa kuwezesha kesi ya bandari umefikia wapi?

    Mimi nataka kujua mchango uliombwa kwa wazalendo wote tuchangie kesi ya bandari iliyo funguliwa na wakili msomi mwaa........ lengo la mchango uho ilikuwa ni kusaidia kesi nataka kujua ulifikia wap? Je walisema kuwa mchango umetosha? Je walipata kiasi gani? Matumizi yake? Je watz au...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi mbegu za bamboo inayokua kwa kasi?

    Kuna ile specie ya Chinese bamboo inayokua kwa kasi zaidi. Wapi nitapata mbegu?
  16. Shark

    JamiiForums Tanzania Yanga Staff vs Wasanii; Huyu Golikipa H. Kidiaba JR anaujua. Anatokea wapi?

    Kwema Wakuu? Hii mada kila nikipost jana iliikua inakataa. Jana siku ya Wananchi nilikua naangalia matukio mbalimbali na washikaji wa kitaa ambao tunakuaga nao pamoja siku zote kwenye michezo (mipira, ndondi etc). Sasa mojawapo ya mechi za jana kwenye siku ya Wananchi ni mechi kati ya Staff wa...
  17. that manzi

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu upo wapi?

    Habarini za jioni wakuu.. Bila shaka mko na weekend nzuri kabisa, Kwangu mimi weekend ni mbaya nimekaa leo nikamkumbuka huyu kaka, alikuwa rafiki yangu sana tukaja kupotezana, sijui ntampata wapi namba aliyokuwa anatumia sasa inatumika na mtu mwingine na hata hamjui😥, mitandao ya kijamii yake...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kamanda Sugu yuko wapi?

    Muda mrefu umepita sijamsikia Kamanda Sugu akizungumzia suala la Mkataba wa Bandari. Je ni mgonjwa?. Ni vema tukajua Kamanda yuko wapi na hali yake ikoje?.
  19. N

    JamiiForums Tanzania Mziki wetu wa Tanzania unaelekea wapi?

    Yanayoendelea kwenye tasnia ya Musiki Tanzania naona wasanii wanaturudisha miaka 10+ iliyopita. Teams na ushabiki usio na tija unapewa kipaumbele sana balada ya kusongesha mziki kimatafa. Tunazipa nafasi battle za ndani, tena mbaya zaidi hadi kwa wasanii ambao walianza kuonesha kupiga hatua...
  20. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Wapi alipo Nurjehan aliyefaulu mtihani wa kitaifa na professor issa shivji 1960?

    NURJEHAN ALIYEOONGOZA MITIHANI AKIWA NA PROF. SHIVJI MIAKA YA 1960s YU WAPI? Jina la Nurjehan Walli limekuwa maarufu sana katika mitandao ya kijamii baada ya picha yake kuonekana akiwa na Issa Shivji wakati wawili hao walipoongoza mitihani adhimu ya Senior Cambridge Examinations (sasa Form...
Back
Top Bottom