Wapi nitapata nguruwe wa nyama kwa Dar?

reej99

New Member
Jul 25, 2023
1
1
Habari ndugu zangu

Nataka kuanza biashara ya kuchinja nyama ya nguruwe na kuuza kwa bei ya jumla nyama mbichi

Wapi nitapata nguruwe kwa Dar au Pwani?
 
MIKOA hii ya pwani means dar, Lindi,Tanga,mtwara na pwani yenyewe ni ngum san kumpata nguruwe coz weng ni islamic
 
Kama unasoko la uhakika njoo inbox tuyapange,,me mwenyew nina interest na hii business shida ni connection ya kupata mabucha yanayouza huyu mdudu
 
Back
Top Bottom