Zile propaganda za Sukuma Gang ziliishia wapi?

The Burning Spear

JF-Expert Member
Dec 23, 2011
3,445
8,300
Wazee wanasema Ngoma ya watoto haikeshi. Hicho ndicho ninachoweza Kusema.

Sisi tulipaza sana sauti kumwambia Samia unaelekea kwenye matope tukaishia kuitwa sukuma gang. Oooh mara Tukazikwe Naye Chato. Watu wazuri hawafi.ujinga Mtupu

Kila aliyefungua kinywa na kumsonda kidole Samia aliitwa sukuma gang. Sasa Naona kimyaaaa maana sauti zinatoka kila pande ya Dunia mama hafai mama hafai.

Wacheni hizo Bana. Anayekukosea mara zote anakutakia mema. Sasa mother Naona muziki wa anaupiga mwingi ulimwingia Sana masikioni akabweteka kumbe wajanja wanampoteza njia
 
Huoni CHADEMA wameshituka wakaungana na SUKUMA Gang?

Sasa hivi sukuma gang wako palee wanasherehekea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom