wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. vnn

    JamiiForums Tanzania Zanzibar wanatoa wapi mafuta, mbona bei zao ni tofauto na bara?

    Nimeshangaa bei ya mafuta Zanzibar petrilo ni 2900 na diesel 3100! Hawa Zanzibar mafuta wanatoa wapi huko ambako siai hatuwezi kwenda? Hii nchi si moja? Kuna nini hapo katikati?
  2. amadala

    JamiiForums Tanzania Toa neno lolote kuhusu michango ya Harusi

    Hello Wadau!! Naenda Moja kwa Moja kwenye topic. Mimi binafsi naenda kwenye style ya uombaji michango, Jana mishale ya mchana ghafla najikuta nimeungwa kwenye group la kuchangia mchango wa harusi ya classmate wangu ambae sijaongea nae Toka mwaka Jana japo Kila mtu ananamba ya mwenzake, naona...
  3. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Bwawa Jijini Dodoma Umefikia Wapi kwa Maendeleo ya Kanda ya Kati?

    Wakuu Kama mada ilivyowekwa mezani kwa utaratibu wa swali nikiwa miongoni mwa wananchi wa Tanzania ambao pia eneo la Dodoma, Singida, Manyara Na Tabora ni mojawapo ya sehemu ninazoweza kutembelea lakini pia wakazi wa maeneo hayo pamoja na serikali kuu mradi huu wa ujenzi wa bwawa kubwa kwa...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ufaransa: Serikali yazuia Wanafunzi kuvaa mavazi ya Abaya shuleni

    Wizara ya Elimu imetangaza kuwa Kanuni hiyo inatarajiwa kuanza kutumika Mwaka mpya wa masomo unaoanza Septemba 4, 2023 katika shule zote za Serikali. Waziri wa Elimu, Gabriel Attal amesema "Unapoingia darasani hautakiwi kumtambua Mwanafunzi kwa imani yake ya dini kwa kumuangalia, nimeamua Abaya...
  5. James Hadley Chase

    JamiiForums Tanzania Wandelwe ni kabila la wapi?

    Habarini zenu Leo katika pitapita zangu huko mkoa wa Morogoro maeneo ya Ifakara ndanindani nikamuuliza mwenyeji wangu yeye ni kabila gani? Akajibu ni Mndelwe, nikashangaa ndio kwanza nalisikia leo hili kabila sijui wametokea wapi hawa sijui ni wahamiaji haramu? Mwenye kulifahamu ili kabila...
  6. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Mchina kazubaa wapi kwanini hatengenezi magari ya umeme?

    Kulingana na hali ya bei za mafuta kuendelea kupanda siku hadi siku, naiona fursa kubwa kwa soko la magari yanayotumia nishati mbadala kama vile umeme nk. Mimi binafsi ntakua mteja wa kwanza kwanza kabisa pindi magari hayo yakianza kupatikana maana nimeshachoka na hizi bei pasua kichwa za...
  7. Trainee

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Mzee Abdallah Salum, aliyejiitaga Mtume kule Mkuranga?

    Miaka ya 2000 nakumbuka kipindi hicho Sheikh Nurdin Kishk alikuwa kiboko ya bidaa basi nikawa napenda sana kuangalia kanda zake. Siku hiyo kwenye 2008-2009 nikaenda Dar kurudi nikarudi na cd za mafungu za kutosha nikawa naangalia kwa kina fulani ambaye ni rafiki yangu wa damu Miongoni mwa kanda...
  8. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Ni wapi na lini CAF walitangaza ligi ya Tanzania ni ya 5 kwa ubora?

    Kwa muda sasa kumekuwa na kupongezana kutokana na taarifa kuwa ligi kuu ya NBC ilitangazwa ni ligi ya 5 kwa ubora katika bara la Afrika. Kwa muda mrefu nimejaribu kuitafuta hii taarifa humu mitandaoni kutoka vyanzo vyovyote vya nje ikiwemo CAF wenyewe ila hadi leo sijawahi kuiona mahali...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi Powerful Laptop (Mobile Workstation)?

    Nahitaji laptop powerful iwe; 1. DELL au HP 2. 15 inch screen size and above 3. Numeric keyboard 4. 11th generation and above 5. Minimum Core i7 Wapi naweza pata?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Chuki dhidi ya January Makamba inatoka wapi?

    January Makamba, mtoto wa Katibu Mkuu mstaafu wa CCM amekuwa akiandamwa katika mitandao mingi ya kijamii na kujaribu kuaminisha umma ya kuwa ni mtu hafai katika uongozi. Binafsi Makamba nilimuona wakati wa utawala wa Kikwete akiwa ni mmoja wapo wa wasaidizi wa Rais Kikwete. Mwenye ushahidi wa...
  11. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Wako wapi wakuamini vijana

    ATI HATUJIELEWI Hatujishughulishi Na mnatujaji Hatuna mitaji Nyie wafujaji Manayajaza matumbo yenu Mtumba mitumbani Tunalipa kodi Bila ukaidi Nyie mwafaidi Mazingira yetu bado duni Shamba ni mkombozi Mbolea zauzwa Mbegu zinauzwa Maji yanauzwa Bila pesa hakuna mavuno Ajira ni kubeti 1 kwa...
  12. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Saidoo Ntibazonkiza Mfungaji Bora Msimu Uliopita?

    Mbona hakuna mwendelezo? Je alibahatisha kama George Mpole? Je TFF walimtumia kumkomoa Mayele kama walivyofanya msimu wa mwaka juzi? Nje ya mada Mnaonaje Boss la DP World nikipewa timu ya Yanga niweke pesa.
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kucheza Mpira V/s Bongo Flava, wapi angalau kuna uhakika wa maokoto ya kuendesha maisha kwa sasa?

    Diamond naomba tumuwekee exception asiwepo, hata kwa sasa pesa anavuna zaidi kwenye uwekezaji Binafsi nachoona ni wasanii ni wachache sana wanaoingiza hela kwa mziki pekee, kinachoumiza wasanii wengi ni kulazimika kuishi maisha ya juu kwajili ya brand, mfano kuishi nyumba za milioni 3 kwa...
  14. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanawahi kuchoka, Mwanaume unatoa wapi ujasiri wa kuoa mwanamke mnayelingana umri?

    Nitoe mfano, majina yakiwa ya kutunga. Mwaka 2008 Fred akiwa na miaka 26 alifunga ndoa na Recho mwenye miaka 25. Wote walikuwa bado ni vijana wabichi kabisa wanavutia. Kufikia Leo Fredi ana miaka 41 huku Recho ana 40, unaweza kuhisi Fred alioa dada yake. Fred ni rafiki yangu, anakiri kwamba...
  15. Msishangae

    JamiiForums Tanzania Gideon Kasozi, Mwalimu wa kwaya ya SDA Kinondoni hivi sasa yuko wapi?

    Wakuu humu ndani nakumbuka miaka ya tisini kuna Mwalimu wa kwaya ya SDA Kinondoni alifanya kwaya hii kuwa maarufu sana hivi sasa hivi yuko wapi?
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Uchaguzi wao umetawaliwa na Rushwa kwa 85% wanapata wapi uhalali wa Kupingana na Tamko la Werevu TEC?

    Na bahati nzuri Wanaosema kuwa Uchaguzi wenu wa Jana ulijaa Rushwa tupu ni Wenzenu ( tena baadhi yao ) ni Wapiga Kura mnapata wapi Uthubutu wa Kuukana na Kuukosoa Msimamo wa wenye Akili Kubwa duniani TEC na Kanisa Katoliki ( GENTAMYCINE nikiwemo ) juu ya Sakata la Uwekezaji wa DP World na...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnaopenda kuwapiga picha waume zenu muwapo faragha, uwa mnazipeleke wapi au mnazifanyia nini

    Niaje mabibi na mabwana Kuna manzi angu imezoea sana kunipiga picha tukiwa faragha licha ya kuikataza na kuionya mara kadhaa ila imekuwa ikirudia sana iko kitendo kiasi cha kunifanya nishtuke. Kama ni zinaweza kutumika kwa mambo ya kishirikina nataka kujua Mshana Jr na wataalamu wa haya...
  18. Termux

    JamiiForums Tanzania Mwanamke hasomeshwi, Vijana wa sasa mnafeli wapi?

    Habari JF Naona hivi visa vya mapenzi sasa vinakuwa vingi na vijana wengi wanapoteza maisha yao na ya wenzao kisa mapenzi Naomba nisisitize tena, mchumba, mpenzi hasomeshwi. Labda kidogo kama kawa mke wako na usitumie sana nguvu pia maana mnaweza pia mkaachana kwa iyo iyo elimu ulio mpa...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Wabunge hawaonekani majimboni, mko wapi? Au kwetu tu?

    In short namtafuta mbunge wangu Sijawai muona na miezi sasa. Hata vikao vya Jimbo hayupo. Chawa wake siwaoni. Huko kwenu vipi?
  20. Nkobe

    JamiiForums Tanzania Wakati Waafrika wakiuzwa kama watumwa, Mashehe, Mapadre, wachungaji wa Ulaya, Amerika na Uarabuni walikuwa wapi?

    Sote tunajua kuwa imani za dini (Ukristo na Uislam) vilikuwepo kabla ya utumwa. Umewahi kujiuliza wakati Waafrica wanauzwa kama Mbuzi kwenye masoko ya Ulaya, Marekani, Uarabuni, viongozi wa dini wa nchi hizo walikuwa wapi kupinga biashara hiyo, tena nchi kama Marekani watumwa wakilimishwa kwenye...
Back
Top Bottom