Msaada jinsi ya kufunga Flat TV ukutani

Toto mol

JF-Expert Member
Oct 18, 2022
2,407
3,576
Wakuu kwema nyote, naomba nianze tatizo hili kuna jamaa kanunua flat screen na vile vichuma wakampa vya kuvungia ukutani, maana akisema aweke ikae kwenye meza anahofia watoto watasukuma.

Sasa anatafuta fundi au jinsi ya kuifunga ukutani afanyeje?

Natanguliza shukrani šŸ™.
 
duh ni mwanamke au mwanaume ?? , sorry lakni mkuu kwa swali ..mana naona kama ni task nyepesi sana

But anaweza fanya iv ;

-apime height atakayokua nayo comfortable kutoka kwenye floor level then aweke alama ..

-Atafute drill machine then atoboe ukuta kwa bit ya 6mm , then kwenye hayo matundu achomeke fisha ya 6mm

-then achukue ile bracket ya chuma inayobeba TV na aifunge kwa screw kwenye Yale matundu yenye fisha

-Baada ya hapo aicheki kama imekaza fresh , but nilazima iwe stable but for procaution ajiridhishe kwanza .. then achukue TV yake aipachike na mpaka hapo afanye tuu connection za wire kazi itakua imeisha
 
Sote ni wanaume Asante mkuu lakini hivyo drill si mpaka kwa mafundi welding au wale wa mapazia ukutani,
usijali mkuu naelewa kama haudeal na hujawahi kukutana na hizi kazi kidogo changamoto ..drill hata ya kukodi tuu kwa fundi ile ndogo , ila kama ni ngumu kuipata Fanya iv ;

-Nunua msumali wa zege wa 4 inchi mmoja tuu , sidhani hata kama unafika 200/= tsh ..

-then kwenye ile level uliyopima unataka iyo TV ikae , chukua ile bracket inayobeba TV Fanya kucholea kwenye ukuta Yale matundu ya screw either kwa pencil au huohuo msumari

-then ondoa bracket , kwenye izo alama chukua nyundo na huo msumali anza kutoboa ayo matundu ..ukimaliza chukua fisha zako then chomeka kwenye izo shimo ulizopata .

-then chukua bracket yako ifunge , cheki kama imekaa poa , bandika TV yako ..hamna cha ajabu boss

Nb: gharama ya misumali na fisha mpaka kazi inaisha sidhan hata kama afu 3 itaisha ..
 
Dah! Asante sana mkuu nimekupata kabisa nimesoma maelekezo nimeelewa
 
Hivi samahani ukiwa unazifunga unaweza kutumia nini ukiwa unafunga
 
Ni aibu kwa mwanaume kumuingiza mwanume mwenzako chumbani kwako eti akufungie TV
Sio aibu. Nimefunga TV 2 juzi. Moja chumbani na nyingine ukutani. Nilimuita fundi Kwa sababu sikuwa na mashine ya kutobolea ukuta. Msumari wa zege ni sawa lakini Kuna haja Gani ya kuaribu ukuta au kutafuta nyufa za bure ikiwa fundi ana mashine ya kutobolea vizuri. Nilijaribu mwenyewe kutoboaga ukuta wa chooni ili niweke kile kidude cha kujisafisha ila nikaishia kuvunja tiles tu. Wakati mwingine tuwaache mafundi nao wapate kazi
 
Mkuu umeongea vizuri sana nimekupa heshima yakošŸ‘šŸ‘ achana na wakina asake
 
Kuna mmoja nilimchukua anifungie, nilimchukua dukani na tukakubaliana elfu 15 kumbe bhana ukuta ni wa mawe alikesha nami nikajifariji amekula kihalali
 
Back
Top Bottom