wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Benjamin Sitta, Meya wa Zamani wa Kinondoni?

    Ni swali tu jamani , huyu jamaa alikuwa Meya wa Kinondoni , ni mtoto wa Samuel Sitta aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania . Baada ya ccm kuangukia pua 2015 , kwenye Halmashauri ya Kinondoni na UKAWA kutwaa madaraka , kukaundwa zengwe ili kuigawanya Halmashauri hiyo huku wakichomekwa wabunge wa...
  2. JamiiForums Tanzania TBT: Ulipokea matokeo yako ya Form Four ukiwa wapi, na ilikuwaje?

    Mimi ilikuwa mwaka 20__. Nilikuwa zangu nyumbani nimetulia naperuzi tu. Ila nilifurahi sana. Yako yalikukutia wapi, na ilikuwaje?
  3. JamiiForums Tanzania Hivi Dada zangu, huwa mnapata wapi ujasiri wa kutuambia wapenzi wenu hatuna jipya?

    Yaani nyie Mkigombana tu na Sisi Wapenzi au Waume zenu Hasira zikiwapanda mnaanza kutuponda kuwa HATUNA JIPYA Kitandani. Sasa tungekuwa kweli hatuna jipya mngekuwa mnatukatia Viuno vya bidii kama Feni za Ukutani na Darini za Phillips pale Mkuyenge ukiwa unazama na kuibuka kunako Mbunye...
  4. JamiiForums Tanzania Tambua wapi unakwenda na jua muda ni mali

    This life is so fucking terrible, people love, Crayz Love but behind Love there's Money. Money. To find money, you need time, na mtaji wa kwanza ni Afya na Akili. Health mind Even your father can just use you, only to fulfill his own desire. Oky all of us we Love. What you Love ? You...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Vituo vya Mafuta hufanya nini na Risiti wanazobaki nazo?

    Wakuu kwema? Nimeona sehemu nyingi kwenye Vituo vya Mafuta kuna watu wakishanunua mafuta huwa hawachukui risiti, unakuta ndoo za taka au mabox yamejaa risiti za kutosha tu. Huwa zinafanyiwa nini? Wanazipeleka wapi? Kuna sehemu nilisikia kuwa ni dili, anayejua undani wa hili atujuze.
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Mume HIV+ uko wapi mwenza wangu?

    Jamani naelekea kukata tamaa.. Hiivi ni kweli humu ndani hakuna HIV + hata mmoja mwanaume ambaye anahitaji familia??? Uko wapi mwenza tafadhali njoo tutengeneze maisha yetu, nikupikie chakula kizuri... Nipambe nyumba yetu nzuri kwa maua, tuwe na amani na tupendane...
  7. JamiiForums Tanzania Mafuriko Dar es Salaam: liko wapi ziwa Mwananyamala, Ziwa Tandale na ziwa Magomeni?

    Wakati tunajadili mafuriko, pia tujipe tafakari ya Dar es salaam ilivyopaswa kuwa na sisi tumeenda kinyume na hali ya mazingira kwa kiasi gani. Ninaamini mito inayotoka maeneo mbalimbali ukanda wa pwani inaamini bado haya maeneo ya maziwa yapo, hivyo mito hiyo inaleta maji ziwani. Tunashangaa...
  8. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa ndoto mpo wapi? Njooni mnipe tafsiri

    Habari wakuu. Nimeota naoneshwa na mtu wa kawaida tu na 60 60, ni kwamba 60 moja imeandikwa juu ya nyingine. Kisha akaniambia, KIJANA HUO NDIO MWISHO WAKO. Note: Ni kwa watu wenye uelewa wa ndoto pekee
  9. JamiiForums Tanzania Wanawake kama hawa wanapatikana wapi?

    Ni ndoto ya kila Mwanaume kuwa na Mke kama huyu. Wanapatikana wapi wanawake kama hawa?
  10. JamiiForums Tanzania Wapi tunaelekea kimaisha

    Habari ndugu mwanajamvi wa JF,..matumaini tu wazima na tunaendelea kuhangaika katika kutafuta mkate wetu wa kila siku (japo tuliomba atupe ila kumbe sio kupewa ni kuutafuta kwa nguvu nyingi jasho na hata damu) Back to the topic, (Tatizo ni wananchi au wenye nchi???) Na je ni nani mwenye nchi...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda kutoa Katapila 20 kusaidia kurekebisha barabara za Jimbo la Kawe

    Katibu wa Itikadi , Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda leo Januari 19, 2024 ameahidi kukabidhi katapira 20 kwa mbunge wa jimbo la Kawe, Josephat Gwajima kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa barabara. Makonda ametoa ahadi hiyo kutokana na wananchi wa jimbo hilo kulalamikia ubovu wa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ya yule kijana wa benki alikuwa anaibiia watu hela imefikia wapi?

    Mzuka wanajamvi, Kuna kijana flani alikuwa banker CRDB. Uzi wake uliletwa humu nadhani 2019-2020 akiwa mahakamani kwa uhujumu uchumi kwa kuiba hela za wateja. Alikuwa akiposti mapicha ya yakujionesha insta ana hela nyingi. Nimesahau jina na link. Hivi kesi yake imefika wapi? Yoyote humu...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka mtaji wa biashara yako uliupata wapi?

    Hellow lovers, Unakumbuka mtaji wa biashara yako ulipata wapi? Ilikuaje? Tuambie tujifunze.
  14. JamiiForums Tanzania Eicher zilizoelezwa kuwepo kusaidia shughuli za mwendokasi zimeishia wapi?

    Baada ya kelele nyingi za uhaba wa usafiri, au niseme kero ya mwendokasi. Miruzi ilikuwa mingi kuhusu uwezekano wa Mwendokasi kupata utatuzi na utatuzi ni kuleta Gari mbadala zitazoingia mjini na kutoka? Hivi ile project iliishia wapi? Nilisahau kabisa leo nikaamua nisubiri mwendokasi Pale...
  15. JamiiForums Tanzania Napata wapi majiko ya maranda Mwanza?

    Wakuu msaada, Nimetokea Iringa huko nimezoea kuona majiko ya maranda lakini Mwanza natafuta siyaoni. Msaada tafadhali
  16. C

    JamiiForums Tanzania Hussein Massanza, msemaji wa Singida Fountain Gate FC umepata wapi uhalali wa kuropoka hili?

    "Hakuna klabu ya ligi kuu ya Tanzania isiyokuwa na madeni hivyo watuige sisi Singida Fountain Gate FC ambao huwa hatufichi na wala hatuoni aibu kusema kuwa tuna madeni lukuki" amesema Hussein Massanza msemaji wa Singida Fountain Gate fc Taarifa: sports headquarters ya Efm radio hivi punde tu...
  17. JamiiForums Tanzania Tanesco wamekata umeme Dar, wapi unacheki Taifa Stars vs Morroco AFCON 23?

    Je, ni njama ya wenye mabanda ya mpira na mabar?
  18. M

    JamiiForums Tanzania Demu wa Kizaramo na Kiluguru muulize uko wapi

    Nimekuwa katika mahusiano na mademu wa jamii mbalimbali, lakini baada ya kupata demu wa kizaramo na baadae mluguru nimepata experience kubwa sana: Yaani kila unapokutana naye au kumpigia simu kuwa yupo wapi au alikwenda wapi UTASIKIA NILIKWENDA/ NAKWENDA KWENYE MSIBA WA FULANI na ikitokea...
  19. JamiiForums Tanzania Tembelea tovuti ya NIDA kujua kitambulisho chako kiko wapi

  20. R

    JamiiForums Tanzania Wapi Dar es Salaam naweza kukodi Trecta

    Nahitaji kukodisha trekta kwa ajili ya kusafiaha shamba maeneo ya Tuangoma. Wapi naweza kupata trakta la kukodi hapa Dar es salaam.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…