Pesa zilizotolewa na mfalme wa Morocco ujenzi wa uwanja wa mpira Dodoma ziko wapi?

Mdude_Nyagali

Member
Dec 11, 2022
60
1,237
Tunakumbuka miaka mitano iliyopita mfalme wa Morocco alitoa pesa ylza kujenga msikitini na pia uwanja wa mpira pale Dodoma. Zikaandaliwa ramani za uwanja huo na Rais Magufuli akapelekewa ramani. Serikali ikatuambia uwanja huo utakuwa mkubwa kuliko ule wa Mkapa pale Dar kwani utabeba watu elfu 85.

Miaka kadhaa imepita sasa na kuna ukimya mwingi wa serikali kuhusu jambo hili. Kabla ya kuanza ujenzi wa uwanja wa mpira Arusha tunataka kujua kwanza pesa za mfalme wa Morocco kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa Dodoma ziko wapi? Ni vema serikali ikaja na majibu yanayoeleweka kwenye hili jambo.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.

Pia soma
- Ujenzi wa Uwanja wa Mpira Dodoma kwa msaada wa Mfalme wa Morocco umeishia wapi?
 
Nafikiri aulizwe Magufuli maana alikaa nazo two yrs hakuacha hata msingi ili mama amalizie
 
Tunakumbuka miaka mitano iliyopita mfalme wa Morocco alitoa pesa ylza kujenga msikitini na pia uwanja wa mpira pale Dodoma. Zikaandaliwa ramani za uwanja huo na Rais Magufuli akapelekewa ramani. Serikali ikatuambia uwanja huo utakuwa mkubwa kuliko ule wa Mkapa pale Dar kwani utabeba watu elfu 85.

Miaka kadhaa imepita sasa na kuna ukimya mwingi wa serikali kuhusu jambo hili. Kabla ya kuanza ujenzi wa uwanja wa mpira Arusha tunataka kujua kwanza pesa za mfalme wa Morocco kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa Dodoma ziko wapi? Ni vema serikali ikaja na majibu yanayoeleweka kwenye hili jambo.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.
Bado hazijafika, kama hutojali pitia pale ubalozini kwao kujiridhisha🐒

vipi zile za join the chain zilikua ngapi na zilienda wapi 🐒
 
Tunakumbuka miaka mitano iliyopita mfalme wa Morocco alitoa pesa ylza kujenga msikitini na pia uwanja wa mpira pale Dodoma. Zikaandaliwa ramani za uwanja huo na Rais Magufuli akapelekewa ramani. Serikali ikatuambia uwanja huo utakuwa mkubwa kuliko ule wa Mkapa pale Dar kwani utabeba watu elfu 85.

Miaka kadhaa imepita sasa na kuna ukimya mwingi wa serikali kuhusu jambo hili. Kabla ya kuanza ujenzi wa uwanja wa mpira Arusha tunataka kujua kwanza pesa za mfalme wa Morocco kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa Dodoma ziko wapi? Ni vema serikali ikaja na majibu yanayoeleweka kwenye hili jambo.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.

Pia soma
- Ujenzi wa Uwanja wa Mpira Dodoma kwa msaada wa Mfalme wa Morocco umeishia wapi?
Mfalme alitupiga changa la macho, hakutimiza ahadi yake!
 
😆😆😆😆😆
 
Hakuna hela yoyote ile iliyotolewa na huyo Mfalme msanii wa Morocco. Huyo Mfalme alimghiribu tu Rais wa wakati huo ili Tanzania iipigie kura nchi yake kurejeshwa kwenye Umoja wa Afrika (AU).

Baada tu ya kupigiwa hiyo kura na hatimaye kurejeshwa AU, kijamaa kilipotea zake kimya kimya. Sidhani kama na ule msikiti alioahidi kuujenga kama nao ulijengwa!
 
Tunakumbuka miaka mitano iliyopita mfalme wa Morocco alitoa pesa ylza kujenga msikitini na pia uwanja wa mpira pale Dodoma. Zikaandaliwa ramani za uwanja huo na Rais Magufuli akapelekewa ramani. Serikali ikatuambia uwanja huo utakuwa mkubwa kuliko ule wa Mkapa pale Dar kwani utabeba watu elfu 85.

Miaka kadhaa imepita sasa na kuna ukimya mwingi wa serikali kuhusu jambo hili. Kabla ya kuanza ujenzi wa uwanja wa mpira Arusha tunataka kujua kwanza pesa za mfalme wa Morocco kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa Dodoma ziko wapi? Ni vema serikali ikaja na majibu yanayoeleweka kwenye hili jambo.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.

Pia soma
- Ujenzi wa Uwanja wa Mpira Dodoma kwa msaada wa Mfalme wa Morocco umeishia wapi?
Hakuna hela zilizotolewa. Mfalme aliahidi kujenga uwanja huo mwaka 2016 ikiwa ni pamoja na majengo ya Msikiti mkubwa Afrika ya Mashariki na ofisi za Bakwata. Planning haijakamilika, na mfalme hawezi kutoa pesa bila kuona plani ya matumizi yake. Hatua za awali za planning ya uwanja zilifanyika mwanzoni mwa 2020 lakini bado hakuna linaloendelea kwenye planning tena. Ahadi bado ipo, lakini pesa hazijatolewa
 
Back
Top Bottom