The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.
Habari zenu wakuu
Nahitaji kuondoa mistari kwenye flat screen ya TV yangu.
Kuna hii huduma ya LCD LED OLED etc screen bonding ambayo ndiyo suluhisho.
Jee, kwa anayejua, niende wapi kupata huduma hii kwa Dar es Salaam, na gharama yake ni kiasi gani?
Natanguliza shukrani.
Umeme upo kidogo na hivyo makusanyo ni kidogo. Ukiweka gharama za uendeshaji wa mitambo na miundombinu ni dhahiri fedha inayobaki ni kidogo.
Swali langu ni je wanaendelea kulipwa? Kama ni ndio, fedha zinatolewa wapi kulipa hao wasioleta tija? Waziri na wizara nzima ya nishati wanalipwa kutoka...
Wasichana wa ki-islamu wamekamatwa wakiwa wamefungiwa kwenye nyumba Dodoma inayosadikika kuwapa elimu ya dini leo 19-02-2024.
Wapo zaidi ya mabikra 200, wanakula na kunywa bure kwa siri kubwa sana.Fedha za kuwalisha, kuwapa vinjwaji, kununua pedi[taulo] kila mwezi hazijulikani zitokapo na...
Wakuu naomba mnisaidie connection au sehemu ambayo naweza kupata kazi ya malipo ya kiasi cha shilingi elfu tano kwa siku MWANZA MJINI au ILEMELA kama ipo.
NB: Wakuu hata kazi ngumu za ujenzi pia kama zinapatika naomba mnielekeze nikaombe kazi.
Wasalaam
Kabla magari ya KUKODISHA maarufu kama Costa hayajarasimishwa nilikuwa nashuhudia ABIRIA WENGI WAKIIMBA NYIMBO ZA MAOMBOLEZO
Naukiza swali, zile nyimbo zimepitwa na wakati? Maana siku hizi ni KIMYA KIMYA
Yule mama aliyesema ametengana na mme wake na kwamba anakosa pesa ya kula imebainika ni bosheni ya mzee baba kutafuta kick.
Kwanza hawa wafu siyo wenyeji wa kanda ya ziwa, lakini pia yule mwanamke na mwanaume inasemekana walikuwa na usafiri wao kwenye mkutano ila mwanamke akawa anajidai hana...
Hello!
Huyu dogo kama atakuwa humu atasoma bandiko hili maana si baya kivile. Imepita mwaka sasa tangu nimuunganishe kwenye ajira (sekta binafsi) kama dereva wa malori. Kampuni kubwa tu hapa Bongo. Anapokea around 500k -800k kwa mwezi.
Sasa ile stori na wenzake anapata kujua fursa zaidi kwenye...
Uvumbuzi siku hizi duniani umekwisha ? Au watu wenye akili nyingi wamepungua ?
Ile dunia wakati huo wanasayansi mbalimbali wakipigana vikumbo na mchaka mchaka wa kushindana kubuni formula, vitu na mambo mbalimbali ya kisayansi sasa kimya.
Ukisoma historia mchaka mchaka duniani enzi hizo wakina...
Kutokana na umeme kutokuwa wa uhakika ni vyema kuangalia plan B.
Ni wapi wanauza power bank za uhakika zisizo feki zenye guarantee?
Wadau wenye kujua tujulishane.
2025 tukienda na mama, umeme si ndo utakuwa wa Ikulu peke yake
CCM mnataka 2025 twende na mama, atupeleke wapi kusikojulikana? Tangu amekuwepo hapo, tumepoteza vingapi na bado mnataka aongoze njia tena? Hamuogopi hata nyinyi kwamba kweli tunapotea tukiwa na mama?
Jana ilikuwa wamasaai...
Kuna siku nilikutana na mkwamo ambao niliripoti hapa baada ya kutaka kununua kiwanja Unguja nikazuiliwa kisa mimi si Mkaazi wa nchi ya Zanzibar.
Leo nilikuwa Matombo ama kwa hakika uhamiaji ni kama wamelala maana raia wa nchi ya Zanzibar wamejaa na wanamiliki ardhi.
Tangu lini raia wa kigeni...
Habari wakuu;
Naomba kufahamishwa kati ya wilaya Kahama na Mwanza mjini ni wapi pazuri kuwekeza Lodge ya kisasa na biashara ikasonga?
Zingatia haya unaposhauri;
1. Upatikanaji wa kiwanja wenye ukubwa wa angalau ukubwa wa mraba 30mx40m
2. Maeneo yapi mwa mji utapata ukubwa huo na bei yake
3...
Hapa ni maduu, mabitozi na machizi wa kipindi hiyo.
Hili goma la mtu mzima joslin lina kukumbusha wapi na tukio gani ?
Hili goma lina historia nami nzito sana kila nikikumbuka huwa nabaki kucheka😀 tu kifala yule nyang'au alinijulia haswa😃😃
Akili ni nywele kila mtu anazake ila wingi wa nywele haimaanishi kuwa unaakili nyingi au kubwa dhidi ya wenzako,mimi Muhafidhina nimeona nyuzi zenye hoja nyingi zisizo mashiko kwa baadhi ya member wa humu kuishutumu serikali yao ya CCM kuwa haijafanya lolote na hata napojaribu kuangalia mitandao...
Wakuu,
Hali ya usafiri Kigamboni leo sio shwari. Kama mnavyoona watu wapo wa kutosha. Pantoni linalotumika ni moja tu, likipakia tunasubiri ligeuze kuja kutufate wengine huku. Utafikiri sio weekend.
Hakuna backup ikitokea kuna shida kama hivi? Maana jinsi watu wanasukumana kuingia ni balaa...
Ni swali tu jamani , huyu jamaa alikuwa Meya wa Kinondoni , ni mtoto wa Samuel Sitta aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania .
Baada ya ccm kuangukia pua 2015 , kwenye Halmashauri ya Kinondoni na UKAWA kutwaa madaraka , kukaundwa zengwe ili kuigawanya Halmashauri hiyo huku wakichomekwa wabunge wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.