Wapi nitapata dagaa wa mwanza wa mafuta

Mapensho star

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
3,052
4,075
Nahitaji wale dagaa wa mafuta wale wanaokaangwa baada ya kuvuliwa sio wale mafuta wanaoanikwa kwanza juani

nahitaji kwa bei ya jumla mwenye nazo anicheki pm au mwenye connetion anisaidie zinapopatikana huko mwanza nahitaji bei halisi na sio bei za mtandaoni nitashukuru nikipata msaada
 
kama bado haujapa uje PM mkuu
 
"nahiraji bei halisi sio ya mtandaoni", nchi ipo kwenye ubepari sasa hivi Kila kitu unachotaka lazima bei iongezeke kidogo ili mtoa connection apate chochote nae.

Upo wapi? Najua Dar wanauza 25,000 Kwa sado ila mie pamoja na kuweka cha juu nakufikishia Kwa 23,000 kama upo Dar ila kama unachukua sado 10
 
Nahitaji wale dagaa wa mafuta wale wanaokaangwa baada ya kuvuliwa sio wale mafuta wanaoanikwa kwanza juani

nahitaji kwa bei ya jumla mwenye nazo anicheki pm au mwenye connetion anisaidie zinapopatikana huko mwanza nahitaji bei halisi na sio bei za mtandaoni nitashukuru nikipata msaada
Wapo insta mkuu wafate huko.
 
Wapo insta mkuu wafate huko.
Unajua wauzaji wa jumla ni ngumu kuwakuta mitandaoni ni wavuvi wao wenyewe mara nyingi hata simu za smart inaweza kukuta hawana nilishawahi kufanya biashara ya dagaa miaka ya nyuma kidogo hata namba zao nikapoteza
 
Yupo najua anauza jumla ndoo kwa ndoo, ukitaka jumla ongea nae tu akuletee mzigo.
Yuko hapo Dar ila mzigo anatoa Mza.
 
Nahitaji wale dagaa wa mafuta wale wanaokaangwa baada ya kuvuliwa sio wale mafuta wanaoanikwa kwanza juani

nahitaji kwa bei ya jumla mwenye nazo anicheki pm au mwenye connetion anisaidie zinapopatikana huko mwanza nahitaji bei halisi na sio bei za mtandaoni nitashukuru nikipata msaada
Huwa nauza, sado elfu 20 ukichukua nyingi naweza kukupunguzia Hadi elfu 18 , karibu sana
 
Back
Top Bottom