wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Unique Flower

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Viherehere wanawake wanaojikomba sikilizeni hii

    https://www.facebook.com/reel/864002521844485?mibextid=9drbnH msiseme hamjaambiwa wakiolewa wengine maslay queens wasiochafua miili yao mnalia
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilikosea sana kuamini wanawake wazuro wako Chuoni tu.

    Unajua katika maisha haya exposure ni kitu muhimu sana. Yaani mtu huwa unajua na kuelewa mambo yaliyo ndani ya Upeo wako tu. Kutokana na kuishi nao na kushinda kwenye circle/ cycle yao basi unajikuta huna option nyingine. Ktk Class unakuta kuna wasiachana kama letsay 20 kwente darasa la...
  3. Travis Kitengo

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini wanawake wanamkubali sana Mwamposa Bulldozer kuliko wachungaji/ Wahubiri wengine

    Nimefanya utafiti mdogo tu ,jinsia ke inamuamini sana Mwamposa Bulldozer kuliko watumishi wa Mungu wote.Nini kipo nyuma ya pazia?
  4. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Je, kuna wanawake wasio na dini?

    swali lenyewe hili hapa. Je, kuna wanawake wasio na dini? Kuna vitu nahitaji kujua vilivyopo baina ya mwanamke na mambo ya dini dini.
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wamachinga Wanawake Watatu wa Nzega waliandaliwa Meza yao, walikuwa Wanajiamini na hawajulikani sana hapo Sokoni Nzega?

    Halafu Director wa Movie hakumpa Mazoezi ya Kutosha Actress kwani kuna mahala alipokuwa akimhoji Mmachinga Feki wa Kike wa Nzega ( ambao Watu wa Mwenge na Makumbusho ) Dar es Salaam huwa Wanamuona alikuwa akiharibu kwa kila mara Kumuuliza kwanini Yeye ni Mrembo na ni Mmachinga? Actress wa Movie...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanashambuliwa na mapepo zaidi kuliko wanaume?

    INTRODUCTON. Jinsia zote hupata mashambulizi ya kipepo, lakini Leo tuangalie sababu zinazofanya wanawake wengi kupata mashambulizi ya kipepo. Makanisani tunaona Kila siku ni wao wakiangushwa na mapepo na hayatoki, yalitoka yanarudi. Imekuwa kama mchezo sasa wa kuigiza. MAPEPO. Hizi ni ROHO...
  7. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Watu wote wanaoandaa chakula, hasa kachumbari wanatakiwa kuvaa gloves

    Nadhani hakuna chakula kinachosambaza magonjwa Tanzania hii kama kachumbari. Mtu anaenda maliwatoni na maji ya kopo. Hata hajajitawaza vya kutosha anakuja kukata kachumbari. Wewe unapewa hiyo kachumbari unafakamia. Magonjwa mengi sana yanaenea kwa mtindo huu. Amiba, vidonda vya tumbo, typhoid...
  8. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Toka nizaliwe sijawahi kuona kijiwe cha kahawa cha wanawake

    Pengine ni ushamba wangu au kukosa exposure, lakini tangu nizaliwe sijawahi kuona kijiwe cha kahawa kinachokaliwa na wakina mama (wanawake). Tumezoea muda mwingi kama sio muda wote vijiwe vya kahawa ni akina baba huku wakiendelea na mijadala mbalimbali. Wenzangu vipi mshawahi kukiona?
  9. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Wanawake Singida wamshukuru Samia Kwa "Cha Asubuhi"

    Kama Nchi tulipofika Sasa tuwe tunachagua watu wa kuongea aiseeee, hizi Sifa zikizidi ni ujinga na matusi! Eti Wanawake wa Singida wanamshukuru Samia kwakua Sasa wamepata maji ndoa zimeimarika wanapata na "kile Cha asubuhi"! Ujinga mtupu
  10. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza leo nimeona kijiwe cha kahawa cha wanawake

    Great thinker Shuhudia na wewe usingoje kusimuliwa.
  11. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi wanabweteka kwenye mahusiano akishakuzoea

    Habari wanajf Ukijaribu kuwasikiliza wanawake wengi unakuta wanasema wanapenda wanaume wapole na ambao hawana mambo mengi sio kwamba hawapati wanaume dizaini lahasha lakini wakiwashawapata vituko haviishi. Nina bro wangu hivi mpole, na si mtu wa mademu alipata demu mapenzi yalikuwa moto na...
  12. Morning_star

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume matatizo mengine tunajitafutia wenyewe na yakitusibu tunaanza kulalamikia wanawake!

    Ulishawahi kujiwekea vigezo vya huyo "ke" unayeenda kuanzisha mahusiano naye? Jiulize na jiridhishe anafanyakazi au shughuri gani ili aweze kuishi! Wengi wao hawana kipato chochote zaidi ya kudanga au kufanya ufuska wa chinichini. Hana kazi! Hana biashara! Wengine wanaishi na jamaa mbali kabisa...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Serikali imewatenga Wanawake wa Vijijini

    SERIKALI IMEWATENGA WANAWAKE WA VIJIJINI Leo dunia inapoadhimisha siku ya wanawake vijijini, hapa nchini Tanzania hali ya wanawake, hasa wa vijijini bado ipo duni. Sensa ya 2022 inaonyesha kati ya wanawake milioni 31.6, wanaoishi mjini ni milioni 11.2 na waliosalia wote wanaishi vijijini wengi...
  14. Expensive life

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake mnaovaa kipini puani mpewe maua yenu

    Ndugu zangu nimejiridhisha hakuna mwanamke anayevaa kipini puani akawa fala. Halafu wengi wao wana miili fulani hivi kama Zuchu, kwenye kuzagamuana sasa 🙌🙌
  15. Mr Why

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, wanawake wa Sumbawanga wana yapi kwenye mahusiano

    Ndugu zangu kila kabila lina mazuri na mabaya yake mnaombwa ushauri na kaka yenu kaniomba mimi nikashindwa nimshaurije nimebaki kimya nikaona nilete kwenu nanyi mumshauri Huyu braza kapata demu wa Sumbawanga anaishi Mbezi na anasimamia Gest ya baba yake sasa akashindwa achukue hatua gani je...
  16. Gol D Roger

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi tukifikisha miaka 50 na kuendelea tunatapeliwa kirahisi na wanawake

    Habari zenu wadau. Ninachosema hapa wengi mnaweza kuwa mashahidi. Wanaume wengi tukifikisha miaka 50 kwenda juu huwa ndo muda ambao wanawake wengi wanatutapeli, wanatudanganya sana na wengi wetu ndo muda ambao tunaibiwa mali zetu na wanawake, haswa wanawake wadogo(20-30) Nimesikia na kuona...
  17. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Muhimbili sasa ina teknolojia ya kuyeyusha damu (blood clots) kwa watu wenye stroke pia kutibu uvimbe kwa wanawake (Fibroids) bila kufanyiwa upasuaji

    MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi amesema hospitali hiyo inatumia mtambo wa kuyeyusha damu iliyoganda kwa mtu aliyepata kiharusi. Profesa Janabi alisema hayo Dodoma jana na akasema kwa sasa kwa wanaopata ugonjwa huo wanatibiwa kwenye kifaa hicho...
  18. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa: Wanawake wameachwa nyuma kwenye nafasi za kazi za Sayansi, Uhandisi na TEHAMA

    Mwaka 2022, watu bilioni 2.7 bado hawakuwa na upatikanaji wa intaneti. Tofauti hii inatishia kuongeza kutokuwiana baina na ndani ya nchi. Kutofikia teknolojia na taarifa kunakoendelea kutaendelea kuyatenga makundi ambayo tayari yako nyuma, ikiwa ni pamoja na wanawake na wasichana wa vijijini na...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mbona wengine wanajulikana Kitambo tu 'Kusagana' na Wanawake maarufu na Kuwahonga Pesa na Mali Dar, Arusha na Dodoma na hamuwakemei?

    Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi amekemea vikali na kupiga marufuku tabia ya wanawake watu wazima, kuwaweka kinyumba vijana wenye umri mdogo. Mgomi ameyasema hayo wakati akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Mtima, Ileje na kueleza kuwa taarifa zimemfikia kwamba vijana wengi wanaishi...
  20. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa hivi tatizo huwa ni nini au wanasaidiwaje? Mimi yamenikuta

    Mwanamke ana kifua kizuri lakini hana chuchu.... yaani ni kama zimeingia kwa ndani. Mmoja alishawahi kuzaa sielewi sasa why awe hivyo. Mwingine hajawahi zaa. Ana kifua kimesimama na kujaa vyema. Ila chuchu hazijajitokeza. Inanikata stim kiukweli.
Back
Top Bottom