Historia ya Grace na Mugabe

Scottz

Senior Member
Nov 13, 2023
147
235
Grace alikuwa Mke wa Rubani wa Jeshi la Zimbabwe na akapata kazi Ikulu. Akiwa Ikulu akaanzisha Mahusiano na Mugabe, Mwisho Mugabe akampa mimba 2.

Ikabidi ndoa ya Grace na Mwanajeshi Ivunjike. Mugabe akiwa na Miaka 72 akamuoa Grace mwenye Miaka 31. Mugabe alimzidi Grace miaka 41.
 
Wanawake wenye majina ya 'Grace au Neema' ni wa kuwaangalia mara mbili, kuna mmoja kahukumiwa kunyongwa hadi kufa sababu alimfungia mwenzie ndani akamchoma moto hadi kufa anaitwa 'Grace Mushi'
 
Pesa au madaraka? Eti naye akaanza kuutamani urais; aitawale nchi!
Yani Grace hakupanga mikakati take vizuri alidhani kuliweka jeshi la polisi mfukoni mwake angeweza kuwa rais. Laiti jeshi lingemkubali nchi angeuchukua. Mnangagwa the crocodile aliporwa chupuchupu kuuawa akatoroshwa kavaa bibi mwakani mwa Zimbabwe sijui na msumbiji sikumbuki.

Mwamba GT Richard anaifaham sana hii kiundani alileta uzi mzuri sana humu wakati hule Grace alita kuwa rais.
 
Kama wewe unavyoutaka urais wa wabeba mabox huko mastate unataka umpindue Kiranga
 
Back
Top Bottom