buzitata
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 1,997
- 7,068
Wale ambao mshakuwa single Maza poleni sana Sina Cha kuwaambia zaidi ya kuwakumbusha kwamba maji yakishamwagika hayawezi kuzoleka Tena
Enyi mabinti
Usibebe mimba wakati upo kwenye mgogoro na mwenza wako..jiepushe kadri iwezekanavyo
Usibebe mimba wakati ushajua mwenzio anakuhisia vibaya kwamba unamwanaume mwingine zaidi yake hata kama hakuna ukweli jitahid usibebe mimba mpaka mwenzio awe na amani na wewe
Kama ikiwezekana(nakazia ikiwezekana), usitembee na wanaume wawili kabla hujaona siku zako Kujua kwamba uko safe ama laa hii itakusaidia kwenda direct na kumjua baba wa mtoto
Usibebe mimba ya mtu mwenye majukumu mengi ama asiyeweza kujihudumia Kwa asilimia 95%
Usiwape mtoto wako wanaume wawili Ili kujipatia kipato(wakishajua Kuna asilimia kubwa za kuwakosa wote)
Usidanganyike na kauli za wahenga kwamba kitanda hakizai haramu, vijana wa Miaka hii sio wahenga hivyo hiyo kauli haiwahusu wao wanataka damu zao pure
Usibebe mimba Ili kumteka ama kumfurahisha mwanaume...itakula kwako( you are in for eat)
Narudia Tena usibebe ujauzito endapo mwanaume wako anamashaka na uaminifu wako
Duniani hakuna bahati mbaya kupanga ni kuchagua either ulambe ama unuse ama vyote Kwa pamoja ila faini IPO pale pale