wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Muhimbili sasa ina teknolojia ya kuyeyusha damu (blood clots) kwa watu wenye stroke pia kutibu uvimbe kwa wanawake (Fibroids) bila kufanyiwa upasuaji

    MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi amesema hospitali hiyo inatumia mtambo wa kuyeyusha damu iliyoganda kwa mtu aliyepata kiharusi. Profesa Janabi alisema hayo Dodoma jana na akasema kwa sasa kwa wanaopata ugonjwa huo wanatibiwa kwenye kifaa hicho...
  2. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa: Wanawake wameachwa nyuma kwenye nafasi za kazi za Sayansi, Uhandisi na TEHAMA

    Mwaka 2022, watu bilioni 2.7 bado hawakuwa na upatikanaji wa intaneti. Tofauti hii inatishia kuongeza kutokuwiana baina na ndani ya nchi. Kutofikia teknolojia na taarifa kunakoendelea kutaendelea kuyatenga makundi ambayo tayari yako nyuma, ikiwa ni pamoja na wanawake na wasichana wa vijijini na...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mbona wengine wanajulikana Kitambo tu 'Kusagana' na Wanawake maarufu na Kuwahonga Pesa na Mali Dar, Arusha na Dodoma na hamuwakemei?

    Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi amekemea vikali na kupiga marufuku tabia ya wanawake watu wazima, kuwaweka kinyumba vijana wenye umri mdogo. Mgomi ameyasema hayo wakati akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Mtima, Ileje na kueleza kuwa taarifa zimemfikia kwamba vijana wengi wanaishi...
  4. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa hivi tatizo huwa ni nini au wanasaidiwaje? Mimi yamenikuta

    Mwanamke ana kifua kizuri lakini hana chuchu.... yaani ni kama zimeingia kwa ndani. Mmoja alishawahi kuzaa sielewi sasa why awe hivyo. Mwingine hajawahi zaa. Ana kifua kimesimama na kujaa vyema. Ila chuchu hazijajitokeza. Inanikata stim kiukweli.
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanaume kuwa na tabia za kikekike ni janga linaloikumba Nchi yetu

    WANAUME KUWA NA TABIA ZA KIKEKIKE NI JANGA LINALOIKUMBA NCHI YETU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nyakati za zamani nikiwa nakua zipo tabia ambazo tuliaminishwa ni tabia za kike(inaweza kuwa ni kasumba), ambazo ilikuwa mwiko kwa mwanaume kuwa nazo. Ilikuwa ni aibu na fedheha kwa kijana kuwa...
  6. AKILI KIJIKO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanateswa na wanawake wa aina hii lakini wanaumia ndani kwa ndani matokeo yake kupelekea maafa

    Tuna miaka 8 tunaishi pamoja tuna mtoto mmoja wakike. Hatujafunga ndoa kutokana na changamoto za kiuchumi na kutokubaliana Kwa ndugu wa pande zote mbili kiumeni na kikeni hataivyo mpango tulionao sasa ni kufunga ndoa ya kimya kimya bila kuhusisha ndugu maana wanakuwa kikwazo katika hili. Licha...
  7. Magdalene_joseph

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume JF acheni kuwafanya wanawake kuwa "objects"

    Michango yenu humu wanawake ni watu wabayaa sana! Yaani ni wachepukaji, malaya, wapenda hela n.k. Hivi tukichepuka huwa tunachepuka na mbwa au nyie wanaume mso na maadili? Tukiuza chini huwa tunawauzia beberu au nyie nyie tamaa ya fisi? Kazi yenu kujisasibu jinsi mlivyotembea na wanawake...
  8. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rasmi nimeacha wivu kwenye mapenzi wanawake ni wengi options ni nyingi

    Imechukua muda sana kukubali kuwa sharing is giving and receiving, pia kuna kupata na kukosa na kupata tena na kukosa tena, game on. Baada kipindi kurefu cha ujinga wa wivu kwenye mapenzi na mahusiano na wanawake sasa nimeachana na uzuzu na upumbavu wa kuwa na wivu. Wanawake ni wengi na...
  9. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake huwa hawaombani pesa kama sisi wanaume ?.

    Kwetu wanaume ni suala la kawaida kabisa kusaidiana pesa japo inabidi uwe na hoja ya kuweka msisitizo kwamba una shida ama utairudisha. Kwa wanawake hali ni tofauti, wao kupeana pesa huwa ni ngumu sana, watachekeana huko lakini kwenye mambo ya fedha pana kigingi
  10. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Dar es Salaam inayothamini usawa wa kijinsia inatangaza ajira kwa wanawake

    Kampuni yenye ofisi zake jijini Dar es Salaam inayothamini usawa wa kijinsia inatafuta wanawake 10 wa kushusha lori 4 za saruji. Yaani kwa siku ni kushusha saruji kwenye malori manne. Hii ajira ni ya kudumu. Changamkieni fursa kina dada.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu utando mweupe kwenye mwili mtoto anapozaliwa

    Ni utando mweupe unaotengenezwa kwenye ngozi ya mtoto kwenye kipindi cha mwisho cha ujauzito, kitaalam huitwa Vernix caseosa. Huundwa na maji kwa asilimia 80, mafuta kwa asilimia 10 na protini kwa asilimia 10. Tofauti na jinsi inavyoaminika sana mtaani, utando huu hautokani na kushiriki tendo...
  12. The Assassin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Double Standards za wanawake kwa waume zao dhidi ya ndugu zao wa kiume kama vile kaka zao

    Wanawake ni viumbe wa kustaajabisha sana. Nakupa mifano michache kuonesha jinsi wanawake wanakuwa na double Standards kwa jambo moja lile lile dhidi waume ama wapenzi wao na ndugu zao wa kiume kama vile kaka zao. 1. Wanawake wako tayari na wanafurahia sana kuona kaka ama ndugu zao wa kiume...
  13. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenye akili ndogo

    Habari wanajamvi, Kutokana na utafiti wangu wa hapa na pale kuhusiana na wanawake nimekuja kugundua asilimia kubwa ya wanawake ambao uwezo wao ni mdogo wa kufikiri(especially hawa wa uswahilini ila sio wote) wanakua na kidharau fulani ivi cha kijinga kwa mfano unaeza mfuata ukamsalimia demu...
  14. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa waraka wa mapendekezo ya sheria ili wanawake wengi washike nafasi za uongozi

    Asasi za kiraia zinazotetea haki za wanawake Zanzibar kwa pamoja zitazindua waraka wa mapendekezo ya sheria ambao una lengo la kuwawezesha wanawake wengi kupata haki ya kushika nafasi za uongozi katika ngazi za maamuzi. Uzindizi huo utafanyika siku ya Alhamis tarehe 05 Oktoba, 2023 katika...
  15. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Aina gani ya wanawake wanapenda wanaume wafupi?

    Mwanamke mrefu anapenda mwanaume mrefu. Mwanamke mfupi, anapenda mwanaume mrefu, Sasa mwanaume mfupi atapendwa na nani?
  16. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wanawake kuua ndoto za Vijana wengi

    Unaweza kuwa na ndoto zako, greatest ones, ukazipangilia lakini mwanamke akakufanya usizifikie hizo ndoto. Bro! Kama haupo sahihi na mwanamke unayetaka kumuoa, acha, usioe. Kuwa alone kama mimi, piga zako Puchu maisha yasonge. Mwanamke ndiye mtu anayeongoza kuua ndoto za watu hapa duniani...
  17. Gol D Roger

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanaume tukiingia kwenye mahusiano na wanawake wanaotuzidi umri tunazama sana kimapenzi?

    Habari zenu wana JF. Nitajaribu kuifupisha kadri niwezavyo ili nisiwachoshe, sitaingia kweny details sana. Kuna kipindi wakati bado nipo chuo nilibahatika kuingia katika mahusiano na mrembo mmoja aliyenizidi sana umri, wakati huo nilikuwa nina miaka 22, yeye alikuwa ana miaka 38, Aisee...
  18. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana, kaa mbali na hawa wanawake

    Ukimtongoza tu, lazima aombe ushauri kwa marafiki zake; hawa huwa ni wasumbufu sana, iwe ni kwa malengo ya muda mfupi au mrefu. Utakachomwambia tu, anawashirikisha wenzake; na kama hao marafiki zake hawakukubali, jiandae kupigwa chini. Wengi wao huwa wanashindwa kujisimamia katika maamuzi...
  19. Fabian Vitus

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha wanawake kuifanya miili yao kama biashara ni nini?

    Hivi karibuni kumekuwa na lindi la wanawake katika maeneo mabalimbali mpk katika mitandao hii ya kijamii kufanya MIILI YAO kama BIASHARA ikifika kipindi hiki nakumbuka tangu mwenyezi Mungu alivyoumba ulimwengu nakumfanya hawa kama msaidizi tangu alivyoingia katika kishawishi kudanganywa na...
  20. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi TAMWA ZNZ ataka Vijana, Wanawake kujiamini kugombea nafasi za uongozi

    MKURUGENZI wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA-ZNZ), Dkt. Mzuri Issa, amewashauri wanawake kujiamini na kuondosha woga wakati wa kugombea nafasi za Uongozi ili kuleta mabadiliko chanya katika jamii. Dkt. Mzuri ameyasema hayo akifungua mafunzo ya siku mbili ya...
Back
Top Bottom