Hamse Abdi Barre: Waziri Mkuu asiyepeana mikono na wanawake

Malaria 2

JF-Expert Member
Oct 17, 2023
2,646
3,936

Waziri Mkuu asiyepeana mikono na wanawake​

k
Waziri Mkuu wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia, Hamse Abdi Barre, alitoa taarifa kwenye mtandao wa kijamii, baada ya kuchapishwa video akisalimiana na mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia, Catriona Laing bila kumpa mkono.

Baadhi ya watu wanaamini Laing kama kuonyesha kuudhika na hilo. Wengine wamekosoa uamuzi wa Barre, huku wengine wakiunga mkono kwa sababu za kidini.

Baadhi ya Waislamu hawapeani mikono na wanawake ambao si wake zao, wanaamini ni dhambi kuwagusa wanawake wasio wake zao.

Yapo matukio mengine ya Waziri Mkuu huyo akiwasalimia wanawake bila ya kuwapa mkono - katika maeneo anayotembelea au viwanja vya ndege akiwakaribisha wanadiplomasia, viongozi na wageni wengine.

1709549281435.png

1709549348446.png
Mtume amesema. Bora ushike kaa la moto kiganjani kuliko kupeana mikono mwanamke na mwanamme wanaoruhusiwa kuoana. Kwani dhambi kubwa kufanya hivyo. Na inawezekana
 
Back
Top Bottom