wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. holygrail

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenye vitambi mnanikera sana

    Yaani wadada wa siku hizi sijui wakoje, wanakeraaaa. Unakuta dada mzuri ajabu, shepu shepu, nyuma ana kifurushi cha haja mweh, kuja mbele sasa, chevuuuu, tumbo hilo! Uzuri wote chalii! Tatizo siku hizi mumezidi kuwa waroho, mnakula sana kuliko hata midume, machips mayai, manyama choma, mabia...
  2. Akili Unazo!

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi wana mihemko ya Uzinzi miaka hii hata aliyeko kwenye ndoa anazini?

    Kwa kipindi cha mwaka mmoja nimefuatilia maada nyingi humu ndani hakika wanawake wamezidi kufanya ngono ndani ya mahusiano. Yaani kuna matukio yanajitokeza mpaka unashindwa kuelewa kama wana moyo wa huruma au wameingiliwa na shetani gani. Mtu unaingia kwenye Ndoa kwa kusahau yote aliyoyapitia...
  3. The only

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa Kigoma eneo dogo la Ujiji ni balaa, Tanga haioni ndani...

    Mwaveja sana! Asee mimi nilikuwa sijapata fika Kigoma maisha yangu nimedate watanga wengi tuu ila hawa balaa, kimaisha ujiji pamefanana na Bagamoyo wanaume ni wavivu hucheza bao na kahawa muda mwingi shughuli wanayoitegemea ni mawese huvuna na kuchuja baasi, na vijana ni wavuvi. Les go to ma...
  4. Teamo

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

    MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU: Salaam wakuu wangu! It's been long time since i posted a thread herein lakini haina mbaya kiviile manake makamanda mnawakilisha kama ilivyo ada! STRAIGHT TO THE TOPIC: Nimeangalia sana kwa uchunguzi wangu wa muda mrefu nikagundua kuwa: 1) Asilimia kubwa sana...
  5. Mshiiri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

    Ni muda mrefu nimekuwa nafanya utafiti katika hii kanda ya mapenzi na kugundua kuwa wanaume wengi hufa kabla ya wake zao hata kama wamezaliwa mwaka mmoja na kubaini kuwa tabia za wake zao huwafadhaisha na kuwafanya waishi maisha magumu sana na kupata yale maradhi ya kufisha kama HYPERTENSION...
Back
Top Bottom