Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.
Hii nguo inafaida gani kwa wanawake skin Tait kwanini hasa ivaliwe mbona zamani walivaa underskirt kwanini wameacha underskirt wamerukia skin Tait hili swali linaniumiza sana.
Asili ya jinsia ya kiume ni kumiliki majike wengi, angalia wanyama, ndege, samaki n.k Na kwa idadi iliyopo duniani wanawake ni wengi kuliko wanaume. Na wengi wanahitaji kuwa kwenye mahusiano na wanaume, ila kutokana na uchache wa wanaume wanaishia kutamani kwa macho. Najiuliza huyu aliyeleta...
Kwakweli huyu mtangazaji wa clouds 360 baby kabae ana mvuto mnoo.
Ni mzuri
Ana exposure
Si mjivuni
Social
Mambo Safi
Natamani kumjua zaidi hasa historia yake na asili yake.
Baby kabae jua kabisa katika watu wanaokupenda hapa duniani superbug yupo top three. Kama upo humu jf basi like hii post...
Sijui kama ni mfumo wa maisha umebadilika au lah.
Kumeibuka kundi kubwa la washauri wa mambo ya mahusiano huko mitandaoni hususasi facebook. Baadhi yao wanatumia majina ya Iddi Makengo, Chrisa Mauki na wengine wengi
Tatizo langu sio hao washauri, bali ni hawa baadhi ya watu wanaopeleka...
Wanawake tumetoka sayari ya Zuhura (Venus), hata mawazo yetu yako ki Zuhura tofauti inaanzia hapo. Mwanaume anawaza mambo makubwa lakini anasahau kuwa haya madogo yakikosekana tofauti itaonekana
Mwanaume atanunua kiwanja, atajenga nyumba lakini hafahamu kuwa deco ndani ya nyumba ni muhimu na...
Sisemi ni wote ila wanawake wengi wakiwa wanakwenda gym ataishia kupata mchepuko au hata wale instructors watakula mzigo. Mimi ninayo experience hivyo siyo wadada mje hapa useme siyo wote mi nishasema siyo wote. Nataka ku prove my experince kwa mtu ambae amesha experience.
Wana JF, nimetoa uzi huu maksudi ila walengwa na wahusika ndio wa comment au DM, Nahitaji mke mrefu au saizi ya kati ila achague anayeona anafaa kuwa mke mwenza na wanaweza wakaishi wote kwa upendo na furaha na watahudumiwa wote kama walivyo kwa vyovyote, sina uwezo mkubwa sana kivile kama...
Hivi mbona wanawake siwaelewi?
Kuna dada mmoja tunakaa mtaa mmoja, akiwa anaongea na wanaume wengine anapenda sana maswala ya mapenzi yaani anachekelea sana mara ashikweshikwe lakini akikutana na mimi anajifanya decent.
Ukigusia maswala ya mapenzi anachukia sana na kujifanya mlokole na...
Natumai hamjambo wakuu,
Wakuu kwa nini wadada wenye matiti makubwa wengi hawana chura na miili yao ni shapeless tofauti na wadada wenye matiti madogo ambao wengi wao wanamaumbo mazuri na chura matata???
Au macho yangu tu ni mabovu, maoni yenu tafadhali.
Nipo zangu hapa home najaribu kupangilia majukumu yangu kwa siku ya kesho, kwa sababu nilikuwa sitegemei kutoka zaidi ya kuupumzisha mwili. Ghafla simu yangu inaita, kuangalia namba naona ni mchepuko wangu(chura matata)...ambaye tuliachana naye mwezi uliopita akasafiri kwenda kuangalia familia...
Imagine dunia nzima wanawake wagome kufanya mapenzi itakuwaje?
Kuanzia walio ndoani mpaka makahaba.
Hakutakuwa na uzao Tena na ndio itakuwa mwisho wa dunia.
Wanawake nawaomba muwaweke wazi wanaume kwa kutaja vitu vinavyowapelekea mtoke nje ya ndoa
Mkiwa wazi kwa kusema ukweli mimi naamini tutaokoa ndoa nyingi sana.
Karibuni
Amakweli Dunia ina mambo na haiishi vituko. Ni baada ya kupata ajira yangu ya mwanzo mwaka 2007, katika visiwa vya ukelewe huko. Nikiwa ktk ofisi yangu ya kazi nilipata mteja mmoja mwanamke mwenye umri kati ya 24 na 26 alikuwa mrembo kweli. Mnene kiasi na mwenye chura kiasi. Alikuwa anajipenda...
Wanawake yeah tumewala ki masikhara ila sisi pia huwa wanatula ki masikhara.....
Sometimes katika harakati za kumfuatilia demu au mwanamke kwa ujumla, unawezajikuta unaliwa pesa zako ki masikhara masikhara hivi halafu mwishoni hupewi papuchi, au unapewa lakini hailingani na uwekezaji...
Wiki iliyopita wanawake barani Afrika walisherehekea Siku ya Kimataifa ya Mwanamke. Siku hii muhimu husherehekea mafanikio ya mwanamke kijamii, kiuchumi, kiutamani na kisiasa na kuchagiza mjadala wa usawa wa kijinsia.
Nchini Tanzania usawa wa kijinsia umeongezeka katika miaka ya karibuni...
Nakubaliana kabisa na kauli ya mh Mbowe ambaye ni chairman wa Chadema kwamba Wanawake ni jeshi kubwa na ninaamini kabisa mh Mbowe aliitoa kauli hii kwa minajili ya kisiasa.
Lakini ni vema wanawake wa Bawacha na wengine wote wakatambua kuwa wao ni jeshi kubwa kwenye mambo ya Hamasa na kupiga...
Naomba kufahamu hasa sababu ya kuwaoa wanawake. Yani kwa kifupi zipi ni sababu za kuishi na mwanamke iwe ni kwa kukaa nao au kuwaoa kwa harusi iwe ya kiislam kikristo au kimila na kiserikali?
Mama Chui akizaa watoto wake anawalea wakishakua anawaacha anaenda porini anakaa kama juma hivi akirudi anawatisha watoto wake. Yale watoto walioshtuka wakakimbia hawawi chui tena ila wale watoto waliomtambua mama yao wanabaki na mama yao na wanakuwa chui (katika uhalisia wake). Kwa sisi wachaga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.