Wanawake wa siku hizi ndani ya magari tofauti

SumadaVinci

Senior Member
Dec 27, 2018
161
328
Mfano kuna mdada hapa street jirani yetu lakini tukikutana huko town unamwona kwa ndinga tofauti kila weekend hadi inafika time watu wanasema anautumia mwili wake vyema kwa vigogo lakini kisomi zaid imebidi tuconclude yawezekana ana mishe mishe zake hatuzijui na venye wanawake wa sasa wamekuwa masuper women, mahustle
japo wapo wengi ambao bado wanawatumia wanaume kama source ya kila kitu

dont judge any lady by seeing her in different cars who knows maybe she is mechanic😂😂🤷‍♂️??
 
Watajijua wenyewe kila mtu anachagua aishi vip, papuchi yake mm hainihusu atajua yeye na mungu wake
 
Back
Top Bottom