Wanawake mnaisemeaje hii kauli ya Diva?

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,109
9,407
Diva anasema "mwanamke hudatishwa na show za kibabe kunako 6*6 na sio pesa za mwanaume, anasisitiza kua pesa ni ziada tu katika mapenzi "

Je, ni kweli au anajitoa tu fahamu Diva
 
Share location ya wanawake wasiotaka pesa wao wanataka show za kibabe tu.
 
Huyu angeolewa kwanza ndo aje azungumzie masuala ya Mapenzi, anachanganya watu na kauli zake za hovyo hovyo aingie kwenye ndoa kwanza,Experience ya haya mambo hana akae kimyaa yeye afundishe mabinti namna ya kuvaa pedi na sendiria tu!
 
Back
Top Bottom