wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Wanawake akili zao wanazijua wenyewe

    Wanawake ukifikiria unashindwa kuelewa hawa watu akili zao zinafanyaje kazi, zinazunguka ant-clockwise ama nini? Nilikua na mpenzi wangu, akawa ananichukulia poa, nikajua huyo ana mwanaume mwingine anaempa kiburi tu, sikujali sana, kapigwa mimba huko na mshikaji kakataa mimba, nashangaa akaanza...
  2. Etwege

    JamiiForums Tanzania Aina za wanawake wanaodumu kwenye ndoa Tanzania

    Utafiti unaonyesha kuwa ndoa za Vijijini ndio zinadumu kuliko za Mijini pia unaeleza kuwa ndoa zinazofungishwa kimila ndio zinadumu kuliko zinazofungishwa Kidini na Kikatiba (Kanisani, Miskitini na Mahakamani) Utafiti unaonyesha Wanawake wa Makabila 20 bora Tanzania wanaodumu kwenye ndoa kama...
  3. Paula Paul

    JamiiForums Tanzania Wanawake tumekuwa tukiwaweka wanaume kwenye ‘friend-zone’, sasa wamekuja na hii

    Hi guys, Kikawaida na mara nyingi mwanaume ndio wanakuwa wahanga wa kuwa friendzoned na wanawake ambao wana hisia nao za kimapenzi. Na wanawake tunayo tabia ya kuwa friendzone wanaume ambao wameshaonesha hisia za kimapenzi kwetu lakini hatujavutiwa nao kama wapenzi. Mbali na kuwakataa kama...
  4. Jadda

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

    Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?
  5. El cholo First Born

    JamiiForums Tanzania Ujasiri wa wanawake wa kipekee

    Amini mkuu, mwanamke ambaye umekutana nae kwa mara ya kwanza....Hakujui nawe haumjui. Lakini unamset na anasetika, mnaenda maeneo ya faragha....Ajabu mnakwichi na analala usingizi mzito wa fofofo kabisa. Ujasiri huu wanaume hatuna kabisa.
  6. Muuza simu used

    JamiiForums Tanzania Ukiona unawaelewa wanawake wanataka nini ujue umekaribia kufa!

    Wanawake hawaeleweki wanataka nini hasa maishani, ukiona umeanza kuwaelewa basi ujue unakaribia kufa. Akiwa na mwanaume tajiri atataka masikini na akipata masikini atataka tajiri. Halafu visichana ndio pasua kichwa kabisa, utakuta namba kamekupa chenyewe Instagram tena kwa hiari yake kabisa DM...
  7. Nyenyere

    JamiiForums Tanzania Jinsi wanaume wa kisasa wanavyomezwa na matakwa ya wanawake

    Katika lugha ya kiingereza kuna maneno mawili muhimu sana: NICE na GOOD. Katika suala la mahusiano tunapata maneno nice guy na good guy. Twende kwenye mada. Zamani ambayo ndiyo asili haswa, mwanamume alijifunza ama alifundishwa kuwa good guy, yaani ni mwanamume anayejua majukumu yake, aliweza...
  8. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Tuambiane sifa kubwa za wanawake wa Kinyarwanda. Nataka kuvuka border

    Kwa miaka mingi nilitokea kuwapenda sana wanawake wa Kinyarwanda kwa muonekano wao na naona vilevile wanaweza kuwa na kaheshima fulani ambayo wanaume wengi tunapenda tuzipate kutoka kwa wake zetu. Kwa kweli nikipata anayefaa, kipaumbele changu ni dada wa kinyarwanda. Mwenye uzoefu na watu hawa...
  9. moniccca

    JamiiForums Tanzania Kuna wanaume wengine walipaswa kuwa wanawake kabisa

    Unakuta mwanaume mzima unaongea nae haishi kula kucha, mara kuchora chini kwa kidole cha mguu, Mara kuangalia pembeni yaani wanafanana na wadada kwa kila kitu. Hivi wanaume kama nyie huwa mnatongoza kweli? Au ndo type ya madomo zege? Karne hii dume limejaa aibu tena mbele ya mwanamke loh...
  10. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Wanawake wetu naomba mtusaidie wanaume zenu mbali na pesa mnavutiwa na shape gani toka huku kiumeni

    Mara nyingi nimeona vijana wanapambana kutengeneza shape kua mwonekano mzuri badala ya kutafuta pesa. Naomba masister zangu mtuweke wazi mbali na pesa mnavutiwa na shape ipi hasa kwa sisi wanaume wenu vitambi, slim au mwili mkubwa (mbavu)
  11. Etwege

    JamiiForums Tanzania Sioni faida ya kalio kubwa kitandani

    Watu wengi wamekuwa wakisifia sana wanawake wenye makalio makubwa, hivyo kupelekea wanawake hao kujiamini sana mbele ya jamii kuliko wenzao wenye makalio madogo. Ukweli ni kwamba hamna faida yoyote ya kalio kubwa wakati wa kufanya mapenzi, mwenye mwanamke mwenye kalio kubwa na yule mwenye kalio...
  12. Nkolandoto

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnavyotusevu kwenye simu

    Habari za adhuhuri wapendwa! Leo nidamka mapema kwa shughuli zangu za hapa na pale, nikaingia kwenye gari siunajua tena purukushani za hapa na pale nikapata siti eeee bana we! Siti mbili mbele mdada mmoja kajitandazi kwenye siti kajaa vilivyo akanyanyua simu yake nikaona sms profile yake kuna...
  13. Bacore

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnao jiuza, mnaroho ngumu sana

    wadau, habari zenu, Dada zangu mnao uza papuchi, hivi mmekataa kabisa kufikilia aina nyingine ya biashara, mkachagua kujiuza? Siku zote yule muuzaji ndio mbaya sana, wateja watajuaje aina ya bidhaa, kama haijatangazwa" niwafumbe midomo manake mngekuja kusema vipi kuhusu wanunuzi! wengi wenu...
  14. 666999

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa sasa mna nini?

    Habari za wakati wana jukwa! Dunia inaenda kasi saana hasa kwa wadada. Ukitongoza mwanamke akikubali muwe wapenzi baada ya siku 2 tu yafuatayo yanatokea. 1.Utaletewa mahitaji meeengi yake kama vile, pesa, sijui hiki wala kile. Sasa kabla ya kupata mwanaume ulikua unaishije? Je hapo kuna...
  15. makilo

    JamiiForums Tanzania Siku niliyoacha kulala kwenye nyumba za wanawake

    Niaje wakuu? Leo sasa hivi hapa ninapoandika kisa hiki nakiandikia TEMEKE HOSPITAL kuna mshkaji mpangaji mwenzangu kaliwa ndogo, yani masela wakukodiwa wamemvisha shanga wakammwagia mafuta ya kura ndoo ndogo mwili mzima ila kumlainisha. Kisa kilichomkuta mshkaji ndio nadhani kingenikuta mimi...
  16. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa namna hii huwa wananivutia sana

    Kuna kitu cha kipekee sana juu ya wanawake ambao wako hivi, Sijui ni mimi tu na macho yangu, lakini mwanamke wa hivi naweza honga hata nyumba. Huwa najikuta nawapenda bure tu...Rangi ya ngozi na nywele zao bado za asili... Rai yangu: wanawake wa Kiafrika ni wazuri sana na Mungu aliwapendelea...
  17. mjizu123

    JamiiForums Tanzania Kujichua ama kupiga punyeto kwa wanawake

    Kujichua a.k.a kujichezea a.k.a “a little help from ur hand” (kupiga puli au punyeto sounds manly) siyo kwa wanaume tu bali hata wanawake tunafanya hivyo ila wengi wetu huwa hatuko “comfortable” kulizungumzia au kukili kuwa tukizidiwa huwa tunajisaidia. Wakati mwingine mtu unashindwa kabisa...
  18. donlucchese

    JamiiForums Tanzania Wadada muwe waaminifu mnapoazima fedha toka kwetu wanaume

    Habari za wakati huu wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza, natoa rai kwa wadada (wanawake) wote kwamba mnapoazima fedha kwa marafiki zenu wa kiume, muwe waaminifu katika urejeshaji. Kuna dada mmoja ambaye ni colleague wangu kazini, majuzi mida ya saa tano usiku nikashangaa...
  19. kedekede

    JamiiForums Tanzania Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

    Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, kila siku tunasoma tu kwenye mitandao mambo ya usagaji na Ushoga katika kila jamii. Nina imani kama hali hii ipo lazima yamemkuta mwenzetu humu mmu labda kwa kutokewa au kuwa na uhusiano wa hali hiyo. Kwa yeyote aliyewahi aje atupe ilivyokuwa...
  20. lossoJR

    JamiiForums Tanzania Kwa wale tuliowahi ficha wallets/pesa Kisa kuogopa kuibiwa na wanawake Lodge/Home

    Bwana bwana, katika zama za utundu utundu wangu nakumbuka nilichukua Goma moja kwaajili ya kuvinjari ila nikawa sina imani nae kabisa,tulipofika tu Lodge,nikamwambia tuoge kwanza, ile ametangulia bafuni me nikachukua WALLET yangu nikaenda iweka kwenye suruali yake, then nikaoga, akachezea Dushe...
Back
Top Bottom