wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Electrician JF

    JamiiForums Tanzania Wanawake jambo hili likiwatokea mnajisikiaje?

    Wewe ni ke alafu mdogo wako au dada ikitotea mmetembea kimapenzi na mwanaume na mwanaume mmoja ikitokea mmefahamu huwa mnajisikiaje? Dada chuo kikuu mdogo mtu A level
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kweli wanawake na maendeleo!?

    Mchezo huu ambaye hajawahi kuchezewa anyoshe kidole: Demu anakuhaidi anakuja getoo full kusafisha na perfume inaishia kuumwa milija ya pumbu popote waweze kuchezea Kwa mfanya mwanamke HELA, Gari n.k
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wanawake mjifunze kutoka kwa Meghan Markle, mpelekeshe mwanaume unavyojisikia

    Mambo ya kupiga magoti kwa wakwe yashapitwa na wakati. Wanawake siku hizi wamesoma na wana mishahara yao. Wanaume muanze kujipanga
  4. W

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini baadhi ya wanawake hamtakiani mema?

    Kwanini wanawake anapokuja mwanamke mwezako anataka ushauri unamuangamiza kwa chuki ambazo labda wewe umepitia badala ya kumtakia heri na mawazo mazuri!
  5. H

    JamiiForums Tanzania Wellu Sengo: Wanawake wanaopenda wanaume kisa hela wanakosea

    Malkia wa kiwanda Cha bongo movie kwa jina lingine anaitwa "maltida" ambaye pia yupo kwenye tamthiliya ya "Rebecca" inayooneshwa na DSTV amefunguka wakati anafanyiwa mahojiano na millardayo nakusema wanawake wenzake wanaopenda wanaume kwa kuangalia kigezo Cha pesa hawana tofauti na Malaya cos...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Anywa mikojo ya Wanawake nusu lita ili kukata pombe

    Jamaa mmoja nchini Uganda aliyetambulika kwa jina la Ismail Dholaga mwenye miaka 35, amelazimika kunywa lita moja na nusu ya mikojo ya wanawake ili kurejesha fahamu baada ya kulewa tilalila. Ismail Dholaga ambaye anafanya kazi ya udereva wa pikipiki (bodaboda) alilazimishwa kufanyiwa kitendo...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Nitaendelea kutumbua majizi 2020

    Aidha, alitaja miradi hiyo kuwa ni ununuzi wa ndege, kujenga reli na elimu bure, huku akitaka Watanzania kudumisha amani na upendo ili uwe mwaka wa maendeleo na ustawi kwa taifa. Kwa mujibu wa salamu za Mwaka Mpya kwa Watanzania zilizopo kwenye taarifa kwa vyombo vya habari, Rais Magufuli...
  8. Babu sea

    JamiiForums Tanzania Wanawake kuvaa pete kwenye 'index finger' inaashiria nini?

    Habari zenu wadau, Happy New Year Siku hizi kuna kamtindo ka wadada maeneo mbalimbali ya Tz mfano hata hapa Dar hupendelea kuvaa pete lakini pete hiyo ukiichunguza unakuta si ya ndoa inafanana fanana na springi ndogo. Mara nyingi wadada hawa unakuta wamevaa pete hizo kidole cha index (hiki...
  9. Lizzy116

    JamiiForums Tanzania Siri 6 za wanawake ambazo kamwe hawawezi kukuambia

    1. Idadi ya wapenzi wake wa zamani Wanaume wengi hupenda kujua wao ni wangapi kuwa na mwanamke Fulani. Lakini mwanamke kamwe hawezi akakwambia wewe ni wa ngapi. Kumuuliza jambo hili kunamkera sana mwanamke na ndio maana mara nyingi hawezi akakwambia ukweli. 2. Anakulinganisha na mpenzi wa...
  10. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Wanawake akili zao wanazijua wenyewe

    Wanawake ukifikiria unashindwa kuelewa hawa watu akili zao zinafanyaje kazi, zinazunguka ant-clockwise ama nini? Nilikua na mpenzi wangu, akawa ananichukulia poa, nikajua huyo ana mwanaume mwingine anaempa kiburi tu, sikujali sana, kapigwa mimba huko na mshikaji kakataa mimba, nashangaa akaanza...
  11. Etwege

    JamiiForums Tanzania Aina za wanawake wanaodumu kwenye ndoa Tanzania

    Utafiti unaonyesha kuwa ndoa za Vijijini ndio zinadumu kuliko za Mijini pia unaeleza kuwa ndoa zinazofungishwa kimila ndio zinadumu kuliko zinazofungishwa Kidini na Kikatiba (Kanisani, Miskitini na Mahakamani) Utafiti unaonyesha Wanawake wa Makabila 20 bora Tanzania wanaodumu kwenye ndoa kama...
  12. Paula Paul

    JamiiForums Tanzania Wanawake tumekuwa tukiwaweka wanaume kwenye ‘friend-zone’, sasa wamekuja na hii

    Hi guys, Kikawaida na mara nyingi mwanaume ndio wanakuwa wahanga wa kuwa friendzoned na wanawake ambao wana hisia nao za kimapenzi. Na wanawake tunayo tabia ya kuwa friendzone wanaume ambao wameshaonesha hisia za kimapenzi kwetu lakini hatujavutiwa nao kama wapenzi. Mbali na kuwakataa kama...
  13. Jadda

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

    Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?
  14. El cholo First Born

    JamiiForums Tanzania Ujasiri wa wanawake wa kipekee

    Amini mkuu, mwanamke ambaye umekutana nae kwa mara ya kwanza....Hakujui nawe haumjui. Lakini unamset na anasetika, mnaenda maeneo ya faragha....Ajabu mnakwichi na analala usingizi mzito wa fofofo kabisa. Ujasiri huu wanaume hatuna kabisa.
  15. Muuza simu used

    JamiiForums Tanzania Ukiona unawaelewa wanawake wanataka nini ujue umekaribia kufa!

    Wanawake hawaeleweki wanataka nini hasa maishani, ukiona umeanza kuwaelewa basi ujue unakaribia kufa. Akiwa na mwanaume tajiri atataka masikini na akipata masikini atataka tajiri. Halafu visichana ndio pasua kichwa kabisa, utakuta namba kamekupa chenyewe Instagram tena kwa hiari yake kabisa DM...
  16. Nyenyere

    JamiiForums Tanzania Jinsi wanaume wa kisasa wanavyomezwa na matakwa ya wanawake

    Katika lugha ya kiingereza kuna maneno mawili muhimu sana: NICE na GOOD. Katika suala la mahusiano tunapata maneno nice guy na good guy. Twende kwenye mada. Zamani ambayo ndiyo asili haswa, mwanamume alijifunza ama alifundishwa kuwa good guy, yaani ni mwanamume anayejua majukumu yake, aliweza...
  17. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Tuambiane sifa kubwa za wanawake wa Kinyarwanda. Nataka kuvuka border

    Kwa miaka mingi nilitokea kuwapenda sana wanawake wa Kinyarwanda kwa muonekano wao na naona vilevile wanaweza kuwa na kaheshima fulani ambayo wanaume wengi tunapenda tuzipate kutoka kwa wake zetu. Kwa kweli nikipata anayefaa, kipaumbele changu ni dada wa kinyarwanda. Mwenye uzoefu na watu hawa...
  18. moniccca

    JamiiForums Tanzania Kuna wanaume wengine walipaswa kuwa wanawake kabisa

    Unakuta mwanaume mzima unaongea nae haishi kula kucha, mara kuchora chini kwa kidole cha mguu, Mara kuangalia pembeni yaani wanafanana na wadada kwa kila kitu. Hivi wanaume kama nyie huwa mnatongoza kweli? Au ndo type ya madomo zege? Karne hii dume limejaa aibu tena mbele ya mwanamke loh...
  19. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Wanawake wetu naomba mtusaidie wanaume zenu mbali na pesa mnavutiwa na shape gani toka huku kiumeni

    Mara nyingi nimeona vijana wanapambana kutengeneza shape kua mwonekano mzuri badala ya kutafuta pesa. Naomba masister zangu mtuweke wazi mbali na pesa mnavutiwa na shape ipi hasa kwa sisi wanaume wenu vitambi, slim au mwili mkubwa (mbavu)
  20. Etwege

    JamiiForums Tanzania Sioni faida ya kalio kubwa kitandani

    Watu wengi wamekuwa wakisifia sana wanawake wenye makalio makubwa, hivyo kupelekea wanawake hao kujiamini sana mbele ya jamii kuliko wenzao wenye makalio madogo. Ukweli ni kwamba hamna faida yoyote ya kalio kubwa wakati wa kufanya mapenzi, mwenye mwanamke mwenye kalio kubwa na yule mwenye kalio...
Back
Top Bottom