wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Tz boy 4tino

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake wa kiafrika wanapenda sana kubembelezwa?

    Kwa nini Wanawake wakiafrika wanapenda kuzungushana sana. Hivi huwa hawawezi kuwa straight, yes or no?. Hiki napenda, hiki sipendi?. Aargh
  2. D

    JamiiForums Tanzania Wanawake maoni katika hili suala

    Kutongoza ndio msingi wa mahusiano na ndoa. Mahusiano mengi kama sio yote huanza kwa mwanamke kutongozwa kisha huamua akubali ama akatae. Mara nyingi mwanamke ndiye anaeamua kama haya mahusiano yaanze ama yasianze. Namna unavyomtongoza mwanamke inaweza kupelekea kukataa ama kukubali. Japo...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu wanawake wa Sinza.

    Sijui kama kuna watu wana mtazamo kama wangu juu ya wanawake wa Sinza. Kwanza, mimi ni mdau mkubwa wa kuopoa vimwana au kutongoza mitandaoni hasa hii dating sites badoo(mtandao wa makahaba, mashoga, majimama na watu waliokubuhu, tinder(my favourite), tantan(mtandao wa single mamas...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Wanawake: Wanaume kutoka Kanda ya Ziwa ndio wanaume wanaojua kuhonga ukanda wa Afrika Mashariki na Kati

    Katika utafiti ambao hivi karibuni utachapishwa mitandaoni kutoka taasisi moja ya utafiti unaonyesha kua wanawake wengi wanasema kua wanaume kutoka kanda ya ziwa ndio wanaume wanaojua kuhonga kuliko wanaume wote Ukanda wa Afrika Mashariki na kati. Wanawake walipoulzwa ni makabila gani hasa...
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Kwanini ma handsome wengi huishia kuoa wanawake wakawaida

    Natumai hamjambo wananzengo. Nimekua nikijiuliza sana jambo hili bt ukweli sijapata majibu ya uhakika hivo nikaona nililete hapa tulijadili wakuu. Mimi pia ni mhanga wa jambo hili nimeoa mwanamke mzuri wa kawaida na si mzuri wa first class kama yalivokua matarajio yangu awali, bt nampenda sana...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Mei 23, Maadhimisho ya Siku ya Fistula Duniani: Waziri wa Afya ahimiza wanawake wenye matatizo kwenda Hospitali na Kutibiwa

    Waziri wa Afya amesema Wanawake wenye matatizo ya Fistula nchini wanatakiwa kuacha tabia ya kujifungia ndani na badala yake amewataka kwenda kupata matibabu katika Hospitali zilizoainishwa na Serikali bila gharama yeyote. Leo ni Siku ya Fistula duniani Tarehe 23 Mei 2020. Waziri Ummy Mwalimu...
  7. Feld Marshal Tantawi

    JamiiForums Tanzania Fahamu tabia za Wanawake wanaopenda zaidi pesa

    1. Huwa na tamaa ya mambo yasiyo ya lazima. Wanawake wengi wapendao pesa huwa na tamaa ya mambo yasiyo ya lazima, mambo ambayo hayagusi maisha moja kwa moja. Hata nilipokuwa chuo wanawake wengi waliokuwa wanapenda pesa Sana walikuwa na tamaa za kusikitisha ambazo zilipofusha fahamu zao. Unakuta...
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Dah! Ila wanawake mnavumilia mengi

    Natumai hamjambo wakuu Jana nilikua naongea na dada angu kwa simu, katika mazungumzo nikatia utani kidogo, dada angu ulivyo mzuri hivyo ilikuaje ukaolewa na sura ngumu vile? Akajibu ukiwa na kipato sura ngumu inavumilika kaka angu. Nadhani hakupenda utani ule then mwisho akanambia kaka...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai na wabunge Wanawake (Viti Maalum)

    Leo nimemsikia Spika akiongea kuwa humo mjengoni hakuna siyejua shida wanazopitia wabunge wa viti maalum wa Chadema. Imekuwa siri ya wazi na iliyokubalika kwa jamii kuwa ukitaka viti maalum Chadema, lazima Mwenyekiti na kambi yake waridhishwe na wewe. Ila leo ndo mara ya kwanza kumsikia mkuu...
  10. Melanny

    JamiiForums Tanzania Wanawake tulio mbali na wenza wetu tujadili changamoto tunazopata na jinsi ya kuzitatua

    Habari zenu wanawake wenzangu wa MMU. Karibuni tujadili changamoto zinazotupata kipindi ambacho wapenzi wetu wawapo mbali, kikazi au kwa shughuli yoyote ile inayowafanya msionane kwa mda mrefu. Mimi binafsi MUME wangu sipo naye karibu, ninaweza kukaa week 3 mpaka miezi 3 bila kuonana...
  11. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Nimekoma kuwapigia wanawake miluzi ninapoendesha Baiskeli

    Mzuka Wanajamvi, Baada ya umbea wa COVID-19 kwenye kijiwe chetu. Nikachukua baiskeli yangu kuelekea ghetto. Njiani kwa mbele kulikuwa na mwanamke nikampigia miluzi na sauti za busu ili anipishe. Alipogeuka kwa mshangao kumbe mama mkwe wangu Yani nilinyonga faster kuelekea upande wa akina...
  12. Superbug

    JamiiForums Tanzania Siku nikifa wanawake watalia mnoo.

    Siijui hiyo siku ila itakapokuja utakuwa msiba wa wanawake hakika. Kuanzia upanga mpaka tukuyu Buzurugwa mpaka korogwe Naples mpaka turini Ngarenaro mpaka same Rukwa mpaka lufilyo Moshi mpaka makorora Kisumu mpaka horohoro Bigwa Moro mpaka wanging'ombe Songea mpaka chalinze Mtalia na...
  13. Chereko tena

    JamiiForums Tanzania Wanawake, unatumiaje vocha hadi inaisha bila kumkumbuka aliyekutumia?

    Wanabodi habarini, ninahtaji msaada wa ushauri kwa experienced people whether wamefanya au ona kwa macho au wenye kuwa na uzoefu Kumekuwa na mazoea ambayo baadhi yetu yanasokota mioyo yetu hasa pale unamtumia mpenzi wako vocha pengine ya1000/5000-unamtumia kwa lengo la upendo, ukitaraji pengine...
  14. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake wengi wa Dar es Salaam siku hizi wanapenda kuishi Kikolabo?

    Kila Mwanamke utakayekutana naye tu ukimuuliza kapanga wapi atakumbia sehemu fulani lakini ni lazima atasema anaishi na Mwenzake. Kumetokea nini kwani mbona huko nyuma Wanawake wengi wa Dar walikuwa wanaishi peke yao tu? Na kwanini pia Wadada (Wanawake) wengi wa Mkoani Dar es Salaam Siku hizi...
  15. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye miaka 38-48...

    Kwanini Wanawake walio na Umri kati ya Miaka 38 hadi 48 ni wepesi sana Kutongozeka halafu ni Ving'ang'anizi sana Kimahusiano? Uzoefu wenu unahitajika sana Wandugu juu ya hili Suala nililolileta hapa mbeleni yenu kwani lipo sana tu.
  16. safuher

    JamiiForums Tanzania Wanaume tunapokutana na wanawake kuna ambao wanavutia kwa ndoa na kuna ambao wanavutia kwa ngono tu

    Wengi hushangaa kwa nini kajikuta kaoa mwanamke mwenye heshima na adabu msomi lakini sio mzuri,hana umbile ambalo alitamani hapo mwanzo awe nalo mwanamke atakaemuoa. Wanaume wengi utawakuta wameoa wanawake ambao wako nje na malengo yao ya zamani na maisha bado yanakwenda. Wakati mwingine huwa...
  17. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje kuwasaidia hawa wanawake waliotelekezwa?

    Wakuu naandika haha huku moyoni Nikita na uchungu sana kwa. Kweli. Hapa mitaani ninapokaa kuna baadhi ya wamama wakiwa na watoto wao wadogo waliotelekezwa na waume zao wanateseka sana hapa mitaani na kutokana na kula yao kuwa ya shida afya zao sio nzuri na wengine kupelekea kuwaachisha...
  18. Maleven

    JamiiForums Tanzania Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Uzi huu ni mrefu. Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa. Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikuwa hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukuwa na...
  19. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Unadhani hawa Wanaume wangekosa hizi Silaha muhimu za Wanawake wangechukua Silaha zao zingine zipi wajikinge na CORONA?

    Baadhi ya Wanawake katika eneo la Trans Nzoia Kenya wamelalamikia tabia ya Wanaume kukata sidiria za Wake zao na kuzigeuza barakoa(mask) kwa madai ya kukosa pesa za kununua mask ili kujikinga na corona ” Wazee wanakata Bra (sidiria) zetu na kuzivaa, tena wengine hawajawai hata kutununulia...
  20. Superbug

    JamiiForums Tanzania Asilimia 98% ya mawazo yangu nawaza wanawake

    Naombeni msaada asilimia 98 ya mawazo yangu nawaza wanawake Yani kila baada ya dk 2/3 lazima niwaze wanawake hivi ni Mimi peke yangu au wanaume wote. Mimi najihisi Nina tatizo naomba msaada wa kisaikolojia. Hii Hali naona sio ya kawaida.
Back
Top Bottom