Kwanini wanawake wasio na chura wana heshima sana?

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,109
9,407
Natumai hamjambo wakuu, japo tupo katika maombelezo ya kitaifa but mambo mengine hayana budi kuendelea.

Wakuu sio siri mimi ni mpenzi wa wanawake wenye chura, bt kuna mara chache hujichanganya kwa wadada wenye flat screen zao.

Aise! Nilichokigundua kwa hawa wadada wenye flat wana heshima ya hali ya juu sana ukilinganisha na wenye chura, sasa nimekua nikijiuliza heshima hiyo ni hulka yao au kwakua tu hawana cha kuringia?

karibuni tujadili.
 
Heshima Ni buld in behavior ambayo inakuzwa na wazazi tangu wadogo tunakua.

Hao wenye tako sababu wanaangaliwa na kuhitajika na wengi ndio maana wanalinga navkukosa heshima sababu wanajua hata Kama sio wewe Basi wapo!

Japo sio wote hawana heshima
 
Akili zao zimeamia kwenye makalio kwaiyo wanaisi kuwa na tako kubwa ndio kumaliza kila kitu dunian, ila hao unao waita flat wao akiri zao zipo kichwan wanajua bado heshima kwao ni kitu bara zaid kitakacho wafanya wawe na good reputation
 
mkuu nawe huna chura?
 
Back
Top Bottom