Bora mwanaume mnywa pombe au mvuta bangi?

DAN LOKOMOTIVE

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
1,503
1,906
Jana katika mizunguko yangu nilienda sehemu kupata chakula kidogo kukawa kuna wadada wanabishana kuhusu jambo moja.

Kati ya mwanaume mvuta bangi na mnywa pombe yupi ana afadhali ikiwa wote wanajiheshimu..

Je, wanawake wa humu JF swali langu ni bora uwe na mahusiano na mwanaume anaekula bangi au anaekunywa pombe ila condition ni moja wote wanajiheshimu?
 
Dah bora mla Bange.

Maana mlevi anaweza asikumbuke kuoga wala kula ma akashindwa mechi.

Ila mlabange huwa wanapiga kazii ma hata miondoko ya takolee huwa kidogo hawezi kuwa down.

But all in all wote hamna kituu.

Nivyemaa mtu yule asie mlevi wa vyote hata chai
 
Back
Top Bottom